HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,322
- 103,593
Sisi waliiba kiufundi zaidi, kwani tuligundua baada ya week mbili tokea wameondoka, walichukua vitu wakaacha mabox tupu hivyo tulipoenda kagua tukajua kila kitu kipo, sherehe bana ndo ikatujulisha kuwa hatuna kitu, tuliishia kuta mabox pekee, kwenda anza chunguza tumeibiwa sana tu.
Tena mtu aliemleta ni wa kanisani kwetu we acha tu iliuma.
Waliiba kuanzia vigae, mabati,milango ambayo ilikuwa imebakia baada ya ujenzi.
Tena mtu aliemleta ni wa kanisani kwetu we acha tu iliuma.
Waliiba kuanzia vigae, mabati,milango ambayo ilikuwa imebakia baada ya ujenzi.