Aise hawa mahouse helper kila mmoja na vituko vyake!!!!
1. Tina Nyama kilo 1 atakula jikoni mtakuta nusu
2. Tina Juice ana blend jugge Zima kwa watoto wawili, anawawekea katika vikombe vidogo nyingine yake
3.Mwingine alikuwa anajichekesha na kujilengesha kwangu, kuinusuru ndoa niliamuru aondoke haraka sana. Wife aka mind akidhani labda nilimtaka akawa mgumu. Nilimpa uwazi baada ya binti kuondoka
4. Mwingine Mabwana hadi walikuwa wanakuja kupigana kwenye gate
5. Mwingine alikaa almost 8 years!! Kumbe alikuwa na bwana jirani na akawa anaiba vitu bila sisi kugundua na bwana anatafuta soko. Tulikisia kwa current price ni over 50m (vingi vya ujenzi imported from Dubai and China). Tulimwamini sana. Kumbe pia alikuwa anaenda kwa waganga kutupumbaza tusigundue. Kweli tulikuwa hata hatupitii stoo tuliyo hifadhi!!! Kimsingi maombi yalituponya ndipo tukafunguka na kuona uovu ule. Tulimfukuza kama mnyama!!!