#mimi bado,...ila nafikiri ni bora mtu anayelia maake watu wanavyo lalamikia ndoa zao humu jamvini ni balaa mara ni muda gani wa kurudi nyumbani,mara kafanya nini,...mmmh sijui,...ni bora kuwa single and available
hahahah looohh
Husninyo wapita mbali hivyo ..
karibu karanga na chai basi ..
Thank you sana AD
Yaani huwa nikikumbuka nafurahi na huwa tunaenda ile sehemu mara kwa mara just kupumzika na kupata kahawa
we si umenitenga kwenye hili lithread wakati mwenzio nina hamu ya kujibu silly qns leo.
Nibakishie karanga.
HAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.
Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?! hahh
Hongera Sana Mkuu, kuna kipindi kwenye mahusiano kila kitu kikiwa kinaenda sawa unaona maisha mazuri sana yaani raha sanaYaani AD nilichoeleza hapo juu was just my part
It was out of nothing niliaandaa kiparty bila yeye kujua somewhere out of our usual place
Nikawaambia washkaji zangu na ndugu wale wa karibu kuwa i want to engage my girl ambaye wote walikuwa wanamjua
Before nilikuwa nishamfanyia suprise nyingine maana nilimnunulia nguo moja nzuri sana aliyokuwa anaipenda na anaitamani kwa mjuda mrefu
Ni nguo ya outing za usiku so nikamuomba that day kuwa nitaomba nitoke naye akiwa amevalia that dress i bought for hre twende dinner mahali
She accepted and we drive to that place and out of blue a table was prepared for us na it was just two of us as per arrangement. Baada ya kama nusu saa tukiwa tunapata wine walianza kuja marafiki mmoja baada ya mwingine then my ndugu then the place (was just in a special place in a hotel ) full and walianza kupata kinywaji wakati wanasubiri na story zikiwa zinaendelea
Kwake ilikuwa suprise akauliza what is going on nikamwambia i don know maana niliaarange hii just me and u ila nashangaa watu wametoka wapi
Bado akiwa kwenye mshangao nilitoka kwenye kiti nilichokuwa nimekaa nikapiga goti langu na in her suprise i ask her to marry me
After a long breath and quiteness of the place and every one looking at her alitoa chozi (sijui la furaha au mshangao) then she said YES and alinishika mkono kuninyanyua pale chini and lile furushi la maua lililoandaliwa lililetwa kwake
You know what happen next was hug and kissing and wow ........ so nice one nikikumbuka
That is my story AD
mmmhhhh
kumbukumbu ya hiyo sehemu hutakaa uhisahau..
Hongera sana mkuu ..
kwakweli unakitu hata cha kuongelea..
na mimitoo ana kumbukumbu yake taaamu kweli...
inapendeza sana kwa kweli..
Hongera Sana Mkuu, kuna kipindi kwenye mahusiano kila kitu kikiwa kinaenda sawa unaona maisha mazuri sana yaani raha sana
Nyamayao mzima wewe lakini, nimefurahi kusikia hii ya kanisani maana huwa ni kwa wachache sana, halafu kwenye kupeana mkono wa amani alifanya timing nzuri sanamie nililiaaa sana, jmc alikuwa ananikazania kesho lazima twende church na nilikua cna mpango huo kabisa but ile kazana yake mpaka kunical kuniamsha nijiandae, ckuwa hata na wazo, wakati wa kupeana mkono wa amani(catholic wananielewa) ndipo aliponivisha, nilitoka nje kama nakimbizwa vile, nililia cjui machozi ya furaha, cjui ya kushtukizwa, yani nilikuwa cnaga/cwazii tutafikia huko kabisa.
sawa uamuzi wako sababu ni maisha yako...
Na kama maisha ya watu hapa Jamvini yanakukatisha tamaa
kwa kwli nakupa pole.. sababu wengine hapa wanafuata mkumbo tu
na wengine wanajaza tu posters ....
#
Mkuu kwa mentality hii uliyo nayo kichwani mwako sijui kama utaoa au hata kufikia kumwambia gal yoyote will you marry me
hayo ni malalamiko ya mtu mmoja kati ya kumi na wengine out of blue wanatunga story waone reaction ya watu
Ndoa ni yako wewe na maisha ni yako wewe
Wewe ndo utakayetengeneza nyumba yako na mke wako na familia yako
Ukiishi kimtandao na wanaokushauri kuwa bila kuwa na nyumba ndogo bado hujakamilika utaishia huko huko
mie nililiaaa sana, jmc alikuwa ananikazania kesho lazima twende church na nilikua cna mpango huo kabisa but ile kazana yake mpaka kunical kuniamsha nijiandae, ckuwa hata na wazo, wakati wa kupeana mkono wa amani(catholic wananielewa) ndipo aliponivisha, nilitoka nje kama nakimbizwa vile, nililia cjui machozi ya furaha, cjui ya kushtukizwa, yani nilikuwa cnaga/cwazii tutafikia huko kabisa.
asante kwa pole yako,....kwa hiyo unataka kuniambia ni porojo za jf sio_good
bana sjakutenga ..
nimeuliza kwa wale ambao wako kama mimi(bado)
Je unaifikiria hiyo siku??.. ntakutengaje na wakati tuko jahazi moja..
nahitaji mtu kipande ya pili ku balance hiii canoe .. hahaha lol
ahahahahhaaaaaaaaaaaaaaa!.....you are right kiongozi wangu
labda iwe imeandaliwa, ikiwa surprise huna jibu kwasasa jinc utakavyoipikea, yaani ile hata cku moja hujawahi kumckia jamaa akiongelea hilo, hapo kila mtu ana dizain yake ya mshangao/mshtuko/raha yake!
asanteee
ok labda ni badilishe swali kidogo ni seme ..
je una "fantasize" hiyo hiyo siku??
Nyamayao mzima wewe lakini, nimefurahi kusikia hii ya kanisani maana huwa ni kwa wachache sana, halafu kwenye kupeana mkono wa amani alifanya timing nzuri sana
bana sjakutenga ..
nimeuliza kwa wale ambao wako kama mimi(bado)
Je unaifikiria hiyo siku??.. ntakutengaje na wakati tuko jahazi moja..
nahitaji mtu kipande ya pili ku balance hiii canoe .. hahaha lol