Nakumbuka kaka yangu wakati anamvalisha engagement ring shemeji yangu nilipokuwa naangalia mikono yake alikuwa kama vile anatetemeka wakati anamvalisha nilipomuuliza what was happening akasema haelewi sasa sijui ni ile excitement
Mkuu kwako ilikuwajeYaani duh ni great moment sana na huwa haina maelezo
Kuna excitment au kauwoga au kawasiwasi au kutoelewa reactin ya mhusika
maana u can be with someone for long time ukitegemea she will be your wife to be ila siku ya siku umepiga goti unamuuliza "will u marry me" anamaliza dak tano hajajibu
Duh inakuwa balaa woga sio woga wasi wasi sio wasi wasi yaani ni excitment ya ajabu sana
Dah!!! Aisee alimuweka majaribuni kweli nafikiri mshikaji alishusha pumzi baada ya kusikia neno "YES"hahahahahahah lol
Nimeuliza sababu rafiki yangu kipenzi jana ilikuwa zamu yake ..
jama yake alimpeleka kwenye Gondola amefika huku juu kabisa jamaa
akapiga goti na kumuuliza ... Besti anasema akashika kiuno jamaa jasho likaanza
kumtoka .. Best hakumjibu kwa muda jamaa akaanza kutokwa na chozi ..
besti ndo akasema "YES" ... tulicheka kweli walivyotupa story .........
mpaka sasa hivi jamaa hajui ni nini alichukowa anawaza..
Yaani duh ni great moment sana na huwa haina maelezo
Kuna excitment au kauwoga au kawasiwasi au kutoelewa reactin ya mhusika
maana u can be with someone for long time ukitegemea she will be your wife to be ila siku ya siku umepiga goti unamuuliza "will u marry me" anamaliza dak tano hajajibu
Duh inakuwa balaa woga sio woga wasi wasi sio wasi wasi yaani ni excitment ya ajabu sana
Rocky anaingia mitini hataki kusema yeye kwake ilikuwajeSwali hivi watu huwa wana jitayarisha kwa haya mambo ??
yaani yuko tayari kwa jibu lolote lile...??
HAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.
Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?! hahh
Hahaha!!! Ngoja nikae kimya mieHAhahahahahha AD, you again!! Hunichoshi mydia.
Unajua sometimes huku kwetu wengi hii excitement huwa hatuipati kwani mara nyingi pete tunavishwa tukiwa tusajua kuwa tunaolewa (na pengine hata vikao vilisha anza). Yaani inakuwa kama kuformalize tu ambayo nafikiri inaipunguza sana hii excitement.
Hivi hakuna anayetaka kunivisha kikongwe mie nami niifeel kabla sijarudi udongoni?! hahh
Mkuu kwako ilikuwaje
Dah!!!mmmmhhhh
em fikiria umeshika pumzi ndani kwa muda halafu
mtu anakwambia "NO"
Swali hivi watu huwa wana jitayarisha kwa haya mambo ??
yaani yuko tayari kwa jibu lolote lile...??
duuhhhhhhhh
hiyo mi staki hahahaaha lol
Kwa hiyo ukisha anza tu kuishi na mtu kila mtu amesha
"assumed" unaolewa nae??dahhh
Hapo kwenye bluu hapo .. anakuja ngoja nim BP......
mmmmhhhh
em fikiria umeshika pumzi ndani kwa muda halafu
mtu anakwambia "NO"
Inauma Sana Mkuu, Inauma Sana tena sanaAD ni ngumu kumeza maumivu hayo
Maana expectation zako zote ulikuwa unategemea YES kutokana na love na great moment mlizoshare pamoja
Ila inapokuja kuwa NO aise ni ngumu sana maana hapo mhusika ina maana akajipange upya kuanza mchakato wa kumpata mwingine
Na wakati huo huo inawezekana jamaa kashajiandaa kwa masuala ya ndoa