Silaha za Laser: Marekani na mbio za silaha mpya za miale na mionzi (DEW) katika Karne ya 21

Kiduku ni mjeuri tu, hayo makombora yake anayojaribu kila siku yanampa kiburi.
Kiduku kwanza makombora yake sio advanced ni ya kizamani sana. Halafu yeye ni mshamba sana ni sawa na mtu aliye baa na kila saa anaonyesha watu bastola yake.
 
Sisi bado tunatafuta magaidi wa kubumba au tumeacha.

Mimi nashauri kwamba tuachane kabisa na somo la sayansi kwa sababu halina kabisa maana yoyote kwetu na tunawapotezea watoto wetu muda bure tu.

Sisi tunasoma hilo somo la sayansi ili iweje. Sayansi ni utafiti na sisi hata siku moja serikali haijawahi kutoa hata senti tano kuwekeza kwenye utafiti kwanza sisi hatuna kitu kinachoitwa utafiti.

Kwa nchi zilizoendelea sayansi wanasoma Block Study kama asilimia 10 tu na zingine 90 wako field watu wanafanya utafiti na matokeo yake ndio hayo tunayoyaona. Sisi tunawangisha watoto vichwa bure tu na sayansi ya maigizo.
Africa tunasoma historia ya science, archimerdes princ, law of flotation etc
 
Mkuu hayo ni majaribio nimekupa exactly kilichotokea vitani, uturuki yupo Ahead of the rest kwenye hizo tech. Mpaka unaona silaha inaenda vitani ujue imeshapitia phase nyingi.
 
Marekani tayari ina mfumo wa radar uliotapakaa dunia nzima. Wanazo radar kwenye manowari na meli zinazolizunguka taifa lao na zinazozunguka dunia nzima, zipo radar kwenye mataifa yote ya NATO ambayo yako karibu na Russia.

Hypersonic walizo nazo Russia ni Air to ground, ambazo inabaidi watumie ndege kuzirusha. Kwa taifa ambalo lina ulinzi mzuri wa anga huwezi kusogelea anga yao hata kupata hiyo nafasi ya kufany mambo yako.
So hio budget waliopitisha ni hewa? Ungeandikia senate yao waache kupoteza Hela maana defence tayari wanayo.
 
Back
Top Bottom