yeah uko sahihi sana, ngoja nijitahd nione kama ninaweza lol!Ni vizuri basi kutenganisha fact na opinion; it is okay kutetea opinion yako lkn sio kulazimisha.
Kutoa mifano halisi ni nzuri pia, ila ni nzuri (kama lengo lako ni kusaidia na sio kuonesha ni bora kuliko wengine) kwenda zaidi na kuonesha context.
Washauri nasaha, kidogo ninachojua hawapaswi kukuambia nini cha kufanya. Wanatakiwa wakusaidie u-come up with nini cha kufanya.
Mwenyewe nimekuwa very authorative ndio maana nimeona nibadilike!
Si muda wote binadamu anajielewa yeye ni nani na anahitaji nn,si muda wote,na ndo maana tuna marafiki ,ndugu na watu wengine wa karibu kutushauri.....Basics za kuishi na mme au mke vizuri zipo universal lakini si wote wanazifahamu,wewe kama unazifahamu unaweza kumpa mwenzio narudia acha choyo!!!Kweli?
Yaani mimi kukuamini kwamba unajua what is best for you ni roho mbaya?
Si muda wote binadamu anajielewa yeye ni nani na anahitaji nn,si muda wote,na ndo maana tuna marafiki ,ndugu na watu wengine wa karibu kutushauri.....Basics za kuishi na mme au mke vizuri zipo universal lakini si wote wanazifahamu,wewe kama unazifahamu unaweza kumpa mwenzio narudia acha choyo!!!
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!
Mkuu kwa kuwa wewe ni binadamu najua lazima ipo siku nafsi yako itaonja mauti!Bado sijachoka, kwanini nipumzike jamani. Nitakwambia lkn kwa jinsi ninayotaka kukuambia na sio kwa kukupangia jinsi ya kuishi.
Kuomba maisha malefu ni jambo zuri sana!suala la kifo halina uhusiana na uchovu wa mwili wako,kwa sababu usisahau kuna vifo vya ajali!Sijakataa ila namuomba Mungu isiwe soon maana sijisikii uchovu bado. Au ni kosa kuomba niwepo niwepo kwanza?
Kuomba maisha malefu ni jambo zuri sana!suala la kifo halina uhusiana na uchovu wa mwili wako,kwa sababu usisahau kuna vifo vya ajali!
Usijali nilikuwa nakutisha kidogo,jnajua fika,hakuna binadamu asiyeogopa kifo!nakutakia siku njema!Ulisema 'nikapumzike mahali .....,,,' ndio maana nikasema bado sijachoka. Usijali nilikuwa naweka humor kidogo kwenye maneno ya ukweli mchungu.
Tupo pamoja sister!Na wewe pia Tukutuku.
Mhh haya mama,i like your poet.Pale ambapo hujui au huelewi cha kufanya, niambie nitakusaidia mpaka ujue cha kufanya. Nitakufanya uziidentify options na mwisho ufanye informed choice. Umeona jinsi gani sio mchoyo miye; only that l am changing the style ya kukwambia!
Sorry I meant I like that you are a poet.i also used to write poems at school one of my favorite poem was "the Subsitute".....wish u see it one day.Thanks Mkada.
Sorry I meant I like that you are a poet.i also used to write poems at school one of my favorite poem was "the Subsitute".....wish u see it one day.