...sikwambii.....

Thanks.
Ni kweli kuna uhusiano mkubwa wa mada hii na para ya mwisho ya lara 1, in fact ujumbe mkuu ni KUJIAMINI.

Last edited by a moderator:
elimu inasaidia ila sio kila kitu kinaaply lara,kumbuka tunatofautiana kimazingira na kilife style
mafundisho ya mwanamke wa monduli hayawezi kuwa sawa na wa masaki never!
 
Hata shule kuna VILAZA na VIPANGA so unakuta mtu ana Masters na PHD Kaajiriwa tena kwa mshahara wa mawazo ila Bakhresa form 4 anamiliki maviwanda kibao!

So kupata sex education inategemea na ukipanga wako! Unaweza ukaenda shule ila usielimike sema lazima utastaarabika! Hata sex education hivo hivo japo unaweza usielewe ila utaambulia mawili matatu!
 
elimu inasaidia ila sio kila kitu kinaaply lara,kumbuka tunatofautiana kimazingira na kilife style
mafundisho ya mwanamke wa monduli hayawezi kuwa sawa na wa masaki never!

Sikatai sio yote ila kuna baadhi katika hiyo elimu dunia usingeenda hapo usingeyajua maishaaaa! Cha maana ni kuwa sharp na kusort ukiwa unapata hiyo elimu dunia! Mi niko radhi nisichange sendoff wala harusi ila kitchen party never miss!!!!!!
 
It is so frustuating hizo A, B, C za kuwa kama Kaunga sasa sijui huyo Kaunga ndiye authority wa vigezo vya kuwa mwanamke! Na zaidi is she 100% perfect, na huyo mumewe ni 100% perfect?

Ili uzoefu wangu ufanye kazi, unatakiwa uwe 100% Kaunga na mumeo awe 100% Eiyer na muishi katika mazingira ambayo ni 100% yale ninayoishi mimi na Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
happy new year kaunga mzidishie maufundi apate kujirekebisha

Thanks dear.
Maufundi ntayazidisha kama yataniletea raha, lkn kama ni kwaajili ya kumkeep; he can as well go! Primary goal yangu ni kujipa raha; as selfish as it may seem lkn ndio ukweli WANGU.
 
Thanks dear.
Maufundi ntayazidisha kama yataniletea raha, lkn kama ni kwaajili ya kumkeep; he can as well go! Primary goal yangu ni kujipa raha; as selfish as it may seem lkn ndio ukweli WANGU.
haaaaaaaa ma dear KAUNGA raha mpate wote na sio apate mmoja mwingine anagugumia kwa maumivu poa jipe raha inapo bidi
 
Sikatai sio yote ila kuna baadhi katika hiyo elimu dunia usingeenda hapo usingeyajua maishaaaa! Cha maana ni kuwa sharp na kusort ukiwa unapata hiyo elimu dunia! Mi niko radhi nisichange sendoff wala harusi ila kitchen party never miss!!!!!!
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!
 
Elimu kama huwezi kuicustomize ifit Mazingira yako haifai na wala haitalast. Kwa asili ya binadamu hasa watu wazima kitu lazima kimake sense au kiendane na what we knew before (our assumptions) na then unakibadilisha kulingana na Mazingira yako. We do that everyday kwa zile formal na non formal elimu tunazopata. Lkn kuna watu wanachukulia yale wanayopewa kama ndivyo inavyopaswa kuwa (wakaka wengi wanalalamikia mapenzi ya tamthilia); ndoa nyingi zinaharibika kwa ushauri wa mashoga.

Nikiwa mmoja wapo nimeshauri wengi kuwa hiyo ndoa haifai (hopefully hakuna aliyevunja just because nimeshauri hivyo).

A good councilor hakuambii nini cha kufanya, bali anakusaidia ufikie maamuzi ya maisha yako. This is what l want to be this year.

"Sikwambii nini cha kufanya, bali nitakusaidia ujue cha kufanya"
 
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!

Anakwambia jinsi ya kumthibiti mume, wakati wake kila akiona sketi damu inakimbilia kwenye central bolt. LOL
 
I beg to differ with this..Mimi naamini tunazaliwa tukiwa hatujui kitu..na mambo mengi tunafundishwa na kuelekezwa tunapoanza kujitambua..Halikadhalika mahusiano yanafundishika, kuna mambo ni 'common' kwa wababa au wamama..kujifunza hakukomi na kuelekeza au kuelekezwa ni sehemu ya maisha yetu..Kiukweli hakuna 'ndoa' au 'mahusiano' ambayo ni unique..ukiangalia na kutafakari kwa makini utaona matatizo kwenye ndoa/mahusiano mengi yanafanana..na sio siri pia kuna watu ni extaordinary..lakini hii isikutishe, hao wako wachache!

I second that idea..hata usomeje huwezi kuelewa kila kitu..na kujifunza is just a process!
Kuambizana na kukanyana lazima kuwepo tu...
Sikatai sio yote ila kuna baadhi katika hiyo elimu dunia usingeenda hapo usingeyajua maishaaaa! Cha maana ni kuwa sharp na kusort ukiwa unapata hiyo elimu dunia! Mi niko radhi nisichange sendoff wala harusi ila kitchen party never miss!!!!!!
 
lara1, si tu kwamba najipa moyo, kuna misingi ambayo hata ikitikisika haiwezi kubomoka. Hilo unalijua wazi. Ila napenda critical posts kama hizi.

Anakwambia jinsi ya kumthibiti mume, wakati wake kila akiona sketi damu inakimbilia kwenye central bolt. LOL
sio hilo tu mume kamkimbia kamuachia nyumba
 
Kumbe na wewe ni malenga? Thanks my, ila mengine kuhusu uloandika Smile kakujibu hapo juu. Utasema hujui kumbe wajua zaidi ya mke wake.

Unajua KUJUA ni subjective, mimi naweza jua kuishi na mume wangu ambaye ni mlevi, sex maniac na pesa nje nje. Ila sijui kuishi na mume asiye kunywa, lazy in bed na bahili; huoni kama nikimpa ushauri reference itakuwa ya uzoefu wangu zaidi?

"Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, ila nitakusaidia uchague jinsi ya kuishi maisha yako."
 
hahahah OMG iddnt see ths.....mang* fan...hahahahahahah
 
hahahahah Smile asanteeeeeeeeeeeeeeeee.................
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!
 
Last edited by a moderator:
SnowBall you are allowed to differ. Lkn naomba ucomment kwenye original post kwanza ili nielewe tunadiffer wapi.

Maana nakubali elimu ni muhimu. Ila muhimu zaidi ni ile inayokukomboa na sio kukustaarabisha (domesticate). Maana kukustaarabisha ni kukufanya according to standards za mtu, watu au kundi fulani.

Na mimi nimekataa kumwambia Smile awe kama Kaunga (kumpa majibu ambayo yamefanya kazi kwangu) kwani nataka awe Smile kama Mungu alivyopanga. Ndio maana nikasema:- "Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako".

Baada ya watu wenye mapenzi mema kuniambia ni uchoyo nikasema sawa. Ikiwa Mungu ametaka kunitumia basi, bado "Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, lakini nitakusaidia UCHAGUE jinsi ya kuishi maisha yako".
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…