ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi,
Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa vijana in their late 20s and even late 30s, wamejikuta mikono imegeuka kuwa processing industry.
