SIkuwahi kula hii Kitu..

SIkuwahi kula hii Kitu..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951

Ukiwa ughaibuni, unakosa mambo kama haya ya migebuka, Huwezi kupata Hii kitu TESCO, ALDI, ASDA..nk..
 
Attachments

  • IMG00361-20110314-1425.jpg
    IMG00361-20110314-1425.jpg
    114.6 KB · Views: 737
Kuna baadhi ya migahawa ughaubuni wanapika vyakula vya kikwetu, Ngoshwe ulikuwa wapi mazee. Pole na karibu uendelee kuenjoy vyakula vya asili vyenye kila aina ya virutubisho.
 
Aisee yaani hapa mimate inanitoka :-*:-*:-*................
 
poleni wa ughaibuni mnalilia mpaka migebuka du!
 
Mbona wengine huwa tunaiagiziwa kutoka Bongo?! Halafu minne tu kwa 20 bucks! Mwezi huu wa tano itafika! Manaohitaji(Kwa walioko USA tu) Mni PM .Migebuka Tu!
 
poleni wa ughaibuni mnalilia mpaka migebuka du!

Pumzi yako tu siku hizi shosti, ukitaka vyakula vya kikwetu vimejaa belele tena kwenye supermarkets na vile vichache ambavyo havipo unaweza kuagiza toka Bongo unavipata baada ya siku chache tu tena bila shida yoyote ile.
 
Ngoshwe umenikumbus ule mwimbo wa Shem Karenga, "Niiingekuwa kwetuuuu"!titafika tu.
 
Hivi ughaibuni kukoje mweehh nahamu ya kusafiri nije nisafishe machoo:A S 39::smile-big: msaada bas nami nitoke mwenzenuuu
 
Pumzi yako tu siku hizi shosti, ukitaka vyakula vya kikwetu vimejaa belele tena kwenye supermarkets na vile vichache ambavyo havipo unaweza kuagiza toka Bongo unavipata baada ya siku chache tu tena bila shida yoyote ile.
poleni sana aisee,maana sie huku bweleleee,wafanya kuitiwa na jirani ukajichumie mwenyeweee kitu fresh!
 
Hivi ughaibuni kukoje mweehh nahamu ya kusafiri nije nisafishe machoo:A S 39::smile-big: msaada bas nami nitoke mwenzenuuu
kizuri kula na wenzio ukipigiwa chepuo nami unifikirie nkasafishe macho kidogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom