tatizo vimechakachuliwa, yaani kuna rafiki yangu mswedeni alikula ugali tukiwa iringa, akafika kwao akanunua unga akapika, akaniandikia ktk facebook kuwa si mtamu kama tuliokuwa tunapika iringapumzi yako tu siku hizi shosti, ukitaka vyakula vya kikwetu vimejaa belele tena kwenye supermarkets na vile vichache ambavyo havipo unaweza kuagiza toka bongo unavipata baada ya siku chache tu tena bila shida yoyote ile.