Sikuwahi kujua kama Mwingira wa Efatha kawekeza kijiji kizima namna hii!

Katika uandishi herufi L na R imekuwa janga la kitaifa sasa
Janga kubwa Sana mkuu! Janga kubwa lingine linalokuja ni matumizi ya herufi 'H' utakuta mtu anaandika Hembe badala ya Embe. Halienda badala ya alienda.Ni shida Sana...
 
Ata sisi tunamini nabii ya mwisho Ni yesu kristo na atarudi siku ya mwisho ,,,kwaheriiii
Kumbe unaamini Yesu ni "nabii" siyo Mungu.

Hapo wewe una imani sawa na Waislam, kuwa Yesu ni Nabii na Mtume wa Allah. Lakini sio wa mwisho kwa kuwa alikuwepo zamani. Atarudi kwa kazi maalum tu.
 
Na YESU KRISTO alisema katika kitabu cha Yohana mimi ndie Alfa na Omega yaani Mwanzo na mwisho Manabii waatakao kuja nyuma yangu ni manabii wa uongo swali linakuja Je naabii aliekuja baada ya YESU KRISTO ni nani
Ata sisi tunamini nabii ya mwisho Ni yesu kristo na atarudi siku ya mwisho ,,,kwaheriiii
Kumbe unaamini Yesu ni "nabii" siyo Mungu.

Hapo wewe una imani sawa na Waislam, kuwa Yesy ni Nabii na Mtume wa Allah. Lakini sio wa mwisho kwa kuwa alikuwepo. Atarudi kwa kazi maalum tu.
 
Kumbe unaamini Yesu ni "nabii" siyo Mungu.

Hapo wewe una imani sawa na Waislam, kuwa Yesy ni Nabii na Mtume wa Allah. Lakini sio wa mwisho kwa kuwa alikuwepo. Atarudi kwa kazi maalum tu.
Nitashanga kuona au kusikia mkatoliki i mean MRoman Catholic ,akisema yesu ni MUNGU atakua hajaenda mafundisho sawasawa YESU Ni mwana wa mungu aliyekuja Kama nabii pasipo mimba yake kutungwa na mwanadamu kwani marium alipata kwa nguvu za MUNGU pasi kuingiliwa na mwanadamu
 
Na YESU KRISTO alisema katika kitabu cha Yohana mimi ndie Alfa na Omega yaani Mwanzo na mwisho Manabii waatakao kuja nyuma yangu ni manabii wa uongo swali linakuja Je naabii aliekuja baada ya YESU KRISTO ni nani
Niwazi mtume Muhammad alikuja bada ya yesu kristo....,na hawa wengine wanao jita mtume na nabii.....,vyote kwa ujumla
 
Nitashanga kuona au kusikia mkatoliki i mean MRoman Catholic ,akisema yesu ni MUNGU atakua hajaenda mafundisho sawasawa YESU Ni mwana wa mungu aliyekuja Kama nabii pasipo mimba yake kutungwa na mwanadamu kwani marium alipata kwa nguvu za MUNGU pasi kuingiliwa na mwanadamu
Waislam tunaamini Nabii Yesu alayhi salaam kazaliwa kimiujiza. Soma uzao wake ulivyoandikwa kwenye Qur'an...

Qu'ran 3:
45. Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu). 45

3_46.gif

46. Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema. 46

3_47.gif

47. Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
47
 
Ni huko Kibaha kwa Mathias, upande wa kushoto unapotokea Dar- 7km kuelekea kijiji kilipo, maelfu Kwa maelfu ya watu idadi (inakadiriwa ni kama mara mbili au tatu ya ujazo wa watu ambao huingia katika maonyesho ya siku ya Sabasaba) wamehudhuria kusanyiko katika kijiji kinachomilikiwa na mtume na nabii Mwingira.

Nimefanikiwa kufika eneo hilo watu ni wengi sana na eneo ni kubwa sana takribani square mita 2,000,000sq na zaidi maarufu kama kijiji cha Mwingila. Huduma zilizomo ni Umeme, maji, network, bank hospital na sasa wanatarajia kuweka na hoteli za kifahari, mkusanyiko huo umeleta watu kutoka kila mkoa na wengine kutoka nje ya nchi ambao kila kundi la watu wana mtaa wao wa mkusanyiko.

Mwenyeji mmoja kasema mkusanyiko huo hufanyika kila mwaka Kwa siku saba Kwa ajili ya waumini wake kupokea uponyaji, kushiriki mkutano huo, kila muumini huchangia Pesa Kwa ajili ya malazi na Chakula. Jumba ambapo mtume hupumzika hapatakiwi watu kukatiza ovyo.

Picha ya hapo chini ni kanisa lililopo huko lenye kubeba watu zaidi ya million moja

Wengi hapo ni wajane
 
Na YESU KRISTO alisema katika kitabu cha Yohana mimi ndie Alfa na Omega yaani Mwanzo na mwisho Manabii waatakao kuja nyuma yangu ni manabii wa uongo swali linakuja Je naabii aliekuja baada ya YESU KRISTO ni nani
Hayo kama hukuweka nukuu na au namba za hizo aya kwenye kitabu cha Yohana yatabaki kuwa ni maneno yako. Weka ushahidi tujisomee na kama tuna swali tukuulize kutokana na maandiko na siyo maneno yako.

Soma Yesu anasema nini...

Yohana 14:
15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
17 ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.
 
Back
Top Bottom