Sikuwa najua kama Tanzania ina kabila la Wahima, Karagwe Kagera!

Wahima ni Koo la watusi. Tambua kua Watusi wanatofautiana kulingana na Koo na maeneo yao. Wapo Wahima, Wagamba, Wanyankore , Wanyaruguru na kadhalika. Kwahiyo Wahima ni Watusi.
Hawa wao wanabaguana kuitawala. Kuna Watusi walio bora zaidi ya Wengine. Watusi wa Rwanda wanajiona bora kuliko wengine
 
Wahima ni watutsi, Karagwe ilikuwa himaya moja na Rwanda, hata lugha zinafanana, watu wa Rwanda na Karagwe nii wamoja, Omukama Ntale alikuwa anatawala Rwanda hadi Karagwe
Mwami Ntale alitawala Rwanda, Karagwe, na Buha (Kasulu/Kibondo).
 
Back
Top Bottom