wee si ulibanwa na kibebi chako, afu wee mrefu ivo, ingenikaba koo
nilikuwa nadhani ndio wale uliowaweka banda la uani ili kuzinusuru ndoa zetu! Acha alalamike maana hatukwenda kuvunja ndoa zetu Tanga! Potelea mbali!!!
huyu atakua ndio yule mhudumu wa Hotel kule Pangani, baada ya kuishiwa chips mayai akaanza kuuza chips maharage....
Nakumiss sana Babu yangu.
mmh; wee babu tangu nikufundishe kuhashuana imekuwa tabu.
Heri ya Mwaka mpya!
Mambo!? Heri ya mwaka mpya!
Heri yangu mie ni nzuri tu, sijui wewe Shemeji langu Originale.............
Mie mzima kiafya! Ila Tanga imenisababisha kuvutiwa na viwanja vinavyoitwa "Nyumbani!". Sasa nipo hapa Nyumbani Hotel & Restaurant hapa Moshi na nipo nyuma ya Ndovu kama kawaida!
Hah hah hah hah! Mie mwenyewe nimeacha Bia. Siku hizi nakunywa Ndovu tena ya moto! Lol
Alafu kweli kabisa, amekaa mkauzu kauzu. Alafu unakumbuka aliongeza na cha juu kwenye bili.
am i rude? Hivi ulionaga movie ya problem child? Kevin McUlay na kabinti flani hivi. Ntake radhi la sivyo panachimbuka.mmh; hata kama I was treated unfairly?
Acha nilalamike.
Happy New Year 'rude step kid'
we tulikujua sana ila tulikua tunakuchunia tu.....tena ulitufuatilia sana wakati tunaenda CHUMVINI....