aka chipsimaini.ha ha ha, chips harage? Umenishusha sana.
huyu atakua ndio yule mhudumu wa Hotel kule Pangani, baada y kuishiwa chips mayai akaanza kuuza chips maharage....
hadi nimetoka Tanga, hakuna aliyeweza kunitambua achilia mbali kunitazama kwa macho ya samaki na Paka.
Mshindwe midume nyie wachoyo wa mali zenu.
Happy New Year, bora niwasamehe bure
aka chipsimaini.
Na wewe, what happens in vegas stays in vegas. Mbona mi nilienda kwa ile id ingine na hawakuconnect zem.dots?
hahahhahahahah hyo ni kali ya kufungia mwaka.