Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

Status
Not open for further replies.
Naomba nieleweke kuwa siyo kwamba mwathirika hana haki ya kuoa ama kuolewa bali siyo busara/ hekima/ UTU kuificha hali yako ya kiafya kwa unayemwambia unampenda. Ni bora umwambie ili umpe nafasi ya kujitafakari/kuchagua/kuamua yeye binafsi kama aendelee na uhusiano huo au asitishe.
KUOA AU KUOLEWA NI HAKI YA MSINGI KWA KILA BINADAMU BILA KUJALI HALI YA AFYA YAKE ILIVYO ,MUHIMU TU KUSIWE NA USIRI USIO WA LAZIMA.
BINADAMU WAKATI MWINGINE TUJARIBU KUWA NA UTU NA HURUMA, TUSIPENDE SANA KUUMIZA HISIA ZA WENZETU KWA MAKUSUDI.
 
Una psychological problem wewe, let me tell you single mom, kwa roho hiyo ya kunung'unika hauto pata mwanaume wa maaana.. Y
ou were naive hukupata elimu ya kutosha kuhusu wanaume... Kwa nini roho ikuume kwa kumpoteza Mwanaume anayekuambia utoe mimba.. He is a devil delete him songa mbele.

Next time usiwe na papara muoaji anajulikana... Take you time kuna viashiria katika tabia za binadamu no matter how you hide them they will always reveal..

Take care of small details
 
kushika mimba ni kosa la mwanamke. unasex vp ukiwa kwenye heat condom hauzijui.kwann unashidwa kujisimamia.ukisex hovyo hovyo kila mtu ataacha mtoto na kuoa ni mpaka aridhike yy.badiliken.
 
Hauko peke yako, na wala wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho kufanyiwa hivyo. Wewe endelea na maisha fanya mambo yako, hayo mambo ya mapenzi huwaga yanakuja yenyewe na siku moja utafurahi.
 
Pole sana,
Ndiyomaana mimi uwa naamini kuwa Kupata Mpenzi / Mchumba/Mume / Mke Bora ni bahati nasibu tu. Hasa baada ya jirani yangu Msichana mzuri kwa asili yake, mtiifu ,mcha Mungu,mpole ,mtiifu,mwaminifu gizani na mwangani, mvumilivu sana,asikuwa na tamaa ,yaani mwenye sifa zoote za kuwa MKE BORA . Aliyekuwa mfano kwa mabinti wa Rika lake. Wazazi wengi walitamani watoto wao wawe watulivu kama yule Binti, alikuwa mfano mzuri kwa jamii inayomzunguka lakin kwa bahati mbaya alikuja Kupata Mume ambaye alikuja kumsababushia kifo chake kwa kumuoa huku akijua kabisa ni Mwathirika aliyekuwa akitumia dawa. Lakin kwa ukatili wake alikuja kumwoa yule binti mfano kwenye jamii. Akaenda kuambiwa hosp kuwa ni mwathirika baada ya kupimwa kama taratibu za hosp kwa mjamzito zinavyotakiwa.
Baada ya kupewa taarifa hizo Mume hakuonesha kushtuka zaidi alimwomba Mke msamaha na kumwambia alijijua sikunyingi kuwa ameathirika na dawa alishaanza kutumia.,alikuwa anakunywa kwa Siri . Alimwomba msamaha mkewe ila SINA UHAKIKA KAMA MKE ALIMSAMEHE MUMEWE. Ninafahamu kwa Mke Aliumia sana sana +++ kujitunza,kujilinda,kujiheshimu ,kuomba sana ili apate Mume Bora akampata Mume wa aina yake.Baada ya kujifungua tu aliishi muda mfupi sana akafa yeye na mwanae kwa kupishana naye muda mfupi sana.
Kuanzia hapo nikaamini Kupata MKE AU MUME MWAMINIFU NI BAHATI NASIBU.
HONGERENI WOOTE MLIO KWENYE NDOA/ MAHUSIANO BORA. HAKIKISHENI MNAYAOMBEA / MNAYALINDA NA KUYATUNZA VIZURI.
HII DUNIA WAKATI MWINGINE HAITOI USAWA HATA KIDOGO.
POLE SANA SINGLE MOTHER, MUNGU YU PAMOJA NAWE. Samahani kwa msg ndefu.
Hadithi yako imenisikitisha sana...wakati mwingine maisha hayapo fea kabisa!!
 
Kinachoku cost ni maamuzi yako ya tokea zamani. Tulia jiulize unataka kufanya nini na kwa wakati upi.
 
Pole dada usikate tamaa kiasi hicho wala huna haja ya kuchukia wanaume wote wapo wazuri dada wapo lakini kwa bahati mbaya umekutana nao wale sio........nimefurahi sana kwamba hukufanya kitendo kibaya kwa mtoto utamfurahia sana huyo mtoto na atakuwa faraja kwako hata kama babake alikutenge...........endelea kulea mwanao nawe hope raha pale uanvyoweza
 
Niwasalimu wote na pole mlotoka kazini, mlokuwa mmekaa home kizembe acheni mafanikio nikujituma , mnaoumwa poleni,

miaka kadhaa iliyopita nilikuwa binti mwenye nidham sana niliheshimu wanaume kwa wanawake, sikutarajia kufanya mapenzi kabla ya ndoa,

hata walokuwa wakinitongoza nikiwa kidato cha 4,5,6 niliwakataa kwakuwa walishindwa sharti lakusubir hadi nimalize masomo tufate utaratibu ,

nikaenda chuo nikawa na kijana mmoja hivi naye hivyo hivyo, alikuwepo kijana mmoja tulifahamiana pale ila alikuwa anatoka wilaya jirani akarusha ndoana nlivyomwambia no akatulia. Tukaendelea kuwasiliana kama washkaji tu kawaida na marafiki kwa alipotezea kama aliwahi nitongoza ila ndo haipiti week bila ' hi single mother'

2012 nikapata kazi ile naripoti tu nakutana naye ofisi hyohyo kaja naye kusain mkataba eeeh bwana urafiki ule ukawa tooo close ndo akanambia sahivi tuna kazi hebu tukubaliane nkaona isiwe tabu kila mti akaweka yake hadharan pale mi nlikuwa na mafupi tu kuwa nlishakuwa na x, y ila hawakuweza shart lakusubiri basii hatukuwa wapenzi

eeh bwana si mnajua tena mambo ya kuanza mapenz ukubwani tukaendelea hivyohivyo tukawa timekubaliana aende kwetu basi ili kuweka mambo vizur kaniunganisha na mamake, shangazi sometimes babake japo niwasalimu na akanambia nimwelekeze shangazi yake namna yakufika kwetu tukafanya hivyo,

ile kukaa pamoja mara kwa mara ikatokea tukavunja amri ya mungu mara 1,2,3 mimba duuu eee kimbembe kikaanza umezaa mno haraka na wakati kulingana na ugeni wa hayo mambo nlikuwa na kataa hadi nalia ila ndo unakuta umekuja kumsalimia kwake utapiga kelele ubakwa? haifai wangejiuliza uliingia kufata nini

basi akanambia japo tutaoana ika hyo mimba toa siitaki labda kama si yangu ila kama ni yangu toa ukizaa uajijua, basi ugomvi wakutoa mimba ndo ukaibua mazito kumbe kazalisha wanawake 3 na ndo hivyo wana maisha magumu kazi yake kuwadhihaki , kumbe ni mshirikina yeye na familia yake, tulivyogombana nkayajua hayo nkamwambia kwa style hii hatuwezani akawa anachart na babake mzazi eti watafute mtaalam anitengeneze sikuamin macho yangu,

mimba ile sikutoa maana hata naanzaje kuulizia mambo hayo basii nkazaa mtoto wangu nakumbuka mimba ilikuwa na complication kibao hadi nadondoka baranaran na mambo mengi ukimwambia anajibu kwa hiyo mi ni daktari au? ulivyokataa kutoa mimba ulitegemea nini?

basi nikakubaliana na hali nikalea mwanangu ana miaka 3 now, kuna kijana mmoja ananifwatilia siku nyingi nkaona si tabu hebu nijaribu tena ndo tunawasha moto wa mapenzi hata haujawaka vizur nadaka mesage za mkewe ni mme wa mtu nikajiona mwenye nyota ya bundi nimeumia sana, nahuzunika japo ni mwezi sasa ila nawaza maisha haya

ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini mungu( ni huo uzinzi nlofanya nkabeba mimba?) nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi kujua, natamani nitumie helicopter nimwagie wanaume wote petrol angani niwalipue nawaona waatili sana hawana huruma,

nafikia mahali nawaza niwe na style gani ya maisha niwaepuke wanaume kama ebola.
Pumbavu,Nyege zako mwenyewe na papuchi umegawa mwenyewe vp unataka kutumwagia petrol?
 
Me nafikiri kuna tatizo kuu ndani yako...hebu kaa karibu na MUNGU sana kwa moyo wote...maana hata unachokinena kuhusu chuki juu ya wanaume ni kile kilichojaa ndan ya moyo...
 
Tafuta watu wa chini uanze nao,hao wenye maisha mara nyingi wana makoloni hatari.
 
Hili tatizo limewakuta wasichana wengi wa aina yako. Sababu ni kutokuwa na uzoefu wa mahusiano. Uwezekano wa kulizwa hata ukimpata mwingine ni mkubwa pia.
 
Nadhani kuna vitu mungu anasahau 🙁
Mbona hakutukutanisha wakati una mimba?
 
Na Mimi ni single father ni aje tukikutana na kuwa wamoja?

QUOTE=Single mother;14641734]Niwasalimu wote na pole mlotoka kazini, mlokuwa mmekaa home kizembe acheni mafanikio nikujituma , mnaoumwa poleni,

miaka kadhaa iliyopita nilikuwa binti mwenye nidham sana niliheshimu wanaume kwa wanawake, sikutarajia kufanya mapenzi kabla ya ndoa,

hata walokuwa wakinitongoza nikiwa kidato cha 4,5,6 niliwakataa kwakuwa walishindwa sharti lakusubir hadi nimalize masomo tufate utaratibu ,

nikaenda chuo nikawa na kijana mmoja hivi naye hivyo hivyo, alikuwepo kijana mmoja tulifahamiana pale ila alikuwa anatoka wilaya jirani akarusha ndoana nlivyomwambia no akatulia. Tukaendelea kuwasiliana kama washkaji tu kawaida na marafiki kwa alipotezea kama aliwahi nitongoza ila ndo haipiti week bila ' hi single mother'

2012 nikapata kazi ile naripoti tu nakutana naye ofisi hyohyo kaja naye kusain mkataba eeeh bwana urafiki ule ukawa tooo close ndo akanambia sahivi tuna kazi hebu tukubaliane nkaona isiwe tabu kila mti akaweka yake hadharan pale mi nlikuwa na mafupi tu kuwa nlishakuwa na x, y ila hawakuweza shart lakusubiri basii hatukuwa wapenzi

eeh bwana si mnajua tena mambo ya kuanza mapenz ukubwani tukaendelea hivyohivyo tukawa timekubaliana aende kwetu basi ili kuweka mambo vizur kaniunganisha na mamake, shangazi sometimes babake japo niwasalimu na akanambia nimwelekeze shangazi yake namna yakufika kwetu tukafanya hivyo,

ile kukaa pamoja mara kwa mara ikatokea tukavunja amri ya mungu mara 1,2,3 mimba duuu eee kimbembe kikaanza umezaa mno haraka na wakati kulingana na ugeni wa hayo mambo nlikuwa na kataa hadi nalia ila ndo unakuta umekuja kumsalimia kwake utapiga kelele ubakwa? haifai wangejiuliza uliingia kufata nini

basi akanambia japo tutaoana ika hyo mimba toa siitaki labda kama si yangu ila kama ni yangu toa ukizaa uajijua, basi ugomvi wakutoa mimba ndo ukaibua mazito kumbe kazalisha wanawake 3 na ndo hivyo wana maisha magumu kazi yake kuwadhihaki , kumbe ni mshirikina yeye na familia yake, tulivyogombana nkayajua hayo nkamwambia kwa style hii hatuwezani akawa anachart na babake mzazi eti watafute mtaalam anitengeneze sikuamin macho yangu,

mimba ile sikutoa maana hata naanzaje kuulizia mambo hayo basii nkazaa mtoto wangu nakumbuka mimba ilikuwa na complication kibao hadi nadondoka baranaran na mambo mengi ukimwambia anajibu kwa hiyo mi ni daktari au? ulivyokataa kutoa mimba ulitegemea nini?

basi nikakubaliana na hali nikalea mwanangu ana miaka 3 now, kuna kijana mmoja ananifwatilia siku nyingi nkaona si tabu hebu nijaribu tena ndo tunawasha moto wa mapenzi hata haujawaka vizur nadaka mesage za mkewe ni mme wa mtu nikajiona mwenye nyota ya bundi nimeumia sana, nahuzunika japo ni mwezi sasa ila nawaza maisha haya

ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini mungu( ni huo uzinzi nlofanya nkabeba mimba?) nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi kujua, natamani nitumie helicopter nimwagie wanaume wote petrol angani niwalipue nawaona waatili sana hawana huruma,

nafikia mahali nawaza niwe na style gani ya maisha niwaepuke wanaume kama ebola.[/QUOTE]
 
msamehe huyo boy wako. usikate tamaa maisha bado yapo. mm nna rafiki yangu yalimkuta hayo but now ana ndoa yake na she is very happy
 
Remember, everything happens for reason. Hakuna mafanikio yasiyo na historia ya vikwazo labda aliyefanikiwa asiwe na uwezo wa kutunza kumbukumbu za magumu aliyowahi kupitia. Be patient, courageous and remain focused on what is good for you and your life. Hayo ni mapito tu wala yasikuumize kichwa. Kuna waliopitia mambo magumu kuliko hayo na wapo wamesimamisha maisha vizuri sana wanasonga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom