Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

Status
Not open for further replies.
Namshukuru Mungu sana, mwanadamu mwenye kisasi alitaka kuniangamiza ila Mungu mwwmye nguvu aliniokoa kwwnye midimo ya mamba....Asante mungu my husband loves me.



Their is a hope mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini Mungu (ni huo uzinzi nilofanya nikabeba mimba?) Nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi kujua, natamani nitumie helicopter nimwagie wanaume wote petrol angani niwalipue nawaona wakatili sana hawana huruma.

Nafikia mahali nawaza niwe na style gani ya maisha niwaepuke wanaume kama ebola.
Jamani, mimba ai-upload mwingine kiberiti ututie wote? Yaan sio haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini Mungu (ni huo uzinzi nilofanya nikabeba mimba?) Nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi kujua, natamani nitumie helicopter nimwagie wanaume wote petrol angani niwalipue nawaona wakatili sana hawana huruma.

Nafikia mahali nawaza niwe na style gani ya maisha niwaepuke wanaume kama ebola.
Tatizo sio wanaume bali wanawake. Kosa lilianzia pale ulipomkataa anayekuepnda na kumfuata mwenye vitu unavyovipenda. Siku zote tafuta upendo.. Usitumie penzi kama fimbo ya kumpumbaza mwanume, atakapogundua matokeo yake ni kilio na kusaga meno. Pole sana
 
Uzi wa mwaka 2015 saiv mnaleta shobo Niko nae nakula vitu hadimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom