Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,736
- 26,081
- Thread starter
- #81
2011 alipo maliza chuo na bila ajira alikuwa na saving ya 750,000
2015- miaka 4 imepita saving yake 12,000
!!!!
usikurupike kijana, niko kwenye ujenzi wa nyumba kipindi hiki hivyo kufulia ni kawaida mtu wangu.. najenga nyumba bila hata ya kuchukua mkopo.
we endeleza diss uku ukiwa umepanga milele