chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Usije ukapashwa wewe
Hahaaaaaa
Usije ukapashwa wewe
Donald trump nazidi kumuamini
nilidhsni chini ya godoro uliweka 750,000 alizoondoka nazo, imekuwaje ukamwambia ni 700,000 unayomdai? ukiwa muongo sharti uwe na kumbukumbu. zinga la bongo movie................................................
2011 alipo maliza chuo na bila ajira alikuwa na saving ya 750,000
2015- miaka 4 imepita saving yake 12,000
!!!!
Ndiyo yale yale kaka, nimeongea one side ila inaangukia kwa wote. Miili yetu ni hekalu takatifu. Tusaidiane, unahisi nin kinapelekea watu kutokugongoza wa umri wao wanadandia watu watu wazima? Ongelea upande wa kiume na mimi nitakuja na upande wa kike.
Kutokujitambua "who are you?"
"This answer will lead to know thyself"
Once you know power within yaself upo huru....
Emotional intelligence!