"Sikutegemea" Nimeamini kila jambo lina sababu

Yaani haya maisha hatari sana, yani hapo ulipoishia ndio yanapoanza yangu. Basi baada ya kunilipa million yangu tukaanza kupasha kuporo bwana, jana kucheki kwenye kamkoba kake nakuta ARVs tobaaaa.sorry nilikuwa naota

ha ja te te te
 
ha te te te Mara akanipa mtandao wa joti mhhhhh mzee wa kupasha kipolo anatusua leo
 
mshahara wa dhambi ni mauti.ILA sio mbaya wengine wakijiwaisha wenyewe si unajua dunia ni ndogo.jitaidi mkuu hadi kipashio kiote sugu then ukimaliza nenda kajipimie kijeneza chako cha wastan kwa raha zako.
 
Naomba msaada kwenu. Ujue siku hizi tunaogopa malaria siyo UKimwi. Huwa nawaonea sana huruma vijana wa kiume, siku hizi maadili hakuna, hamuoni soo kutongoza yeyote anayepita kwenye macho yanu. Hamna adabu kabisa, unakuta kijana wa miaka 26 anaangukia jimama la 50 yrs, aibu huoni. Huyo shetani aliyevuruga vichwa vyenu ki ukweli amefanya kazi kubwa yenye mafanikio.

Heshimuni sana miili yenu, najua wengi matamanio yenu ni kutest wa umri huu yukoje, ila unapofanya ngono na mtu ujue mnakuwa mwili mmoja in one way.
 
vipi na hawa dada zetu au binti zetu kutembea na wababa watu wazima 55s yrs?
 
Ndiyo yale yale kaka, nimeongea one side ila inaangukia kwa wote. Miili yetu ni hekalu takatifu. Tusaidiane, unahisi nin kinapelekea watu kutokugongoza wa umri wao wanadandia watu watu wazima? Ongelea upande wa kiume na mimi nitakuja na upande wa kike.
 
ok, ni ushauri mzuri.. ila unabidi uwe umatembea na kiboko ili ukikutana na ujinga kama huo ni kiwachapa tuu
 
Ukinitongoza nakupa za uso, imagine unatembe ana mtu anayemzidi mwanao miaka 5 si ukosefu wa nidhamu? Tuwe na kiasi na aibu pia.
 
kukosa pesa kubaya sana.
unaweza kutengeneza scripts ukajihisi umekua tajiri kumbe unaishi ndotoni.
 
Back
Top Bottom