sikutaki tena PLATOZOOM

sikutaki tena PLATOZOOM

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Hii ni kwa sababu ambazo alizitoa chumbani zisizo na msingi! kumbe amenisaliti na ....... watajitaja..... SITAKI TENA NAKWENDA KUSOMEA USISTAAAAAAA


NB: SITAKI USUMBUFU WA AINA YOYOTE KUANZIA SASA KUTOKA KWA YEYOTE!!!!!!!!!!!
 
Hahahahaaaaaaaaa
Mi simooo!
Ulidhani peremende kumbe kwa ndani imewekwa flagily lazma uchungu wake uusikilizie
Ila naomba kama umeamua hivyo ukimwona platozoom na BADILI TABIA usiumie moyo maana muda si mrefu utamwona keshamnasa
 
Last edited by a moderator:
maHuge!
We binti nini tena? Mapepo?
Hebu njoo nikuombee, kwa jina la.....
Inabidi nikuombee usiku mzima!
Kesho nikurejeshe kwa Plato, ukiwa fresh kichwani.
 
charminglady nini tena?? kha! au umenogewa na ................. alivyokuiba mchana, simtaji anajijua!
 
Last edited by a moderator:
Bwahahahahahahahaaaaa Erickb52...... Acha nitege antena hapa, naweza kuopoa....



Hahahahaaaaaaaaa
Mi simooo!
Ulidhani peremende kumbe kwa ndani imewekwa flagily lazma uchungu wake uusikilizie
Ila naomba kama umeamua hivyo ukimwona platozoom na BADILI TABIA usiumie moyo maana muda si mrefu utamwona keshamnasa
 
Last edited by a moderator:
jamani ctaki maswali kuhusiana na hilî. . . nimeamua mwenyewe nikiwa na akili timamu. . . na ctak kuwa na mtu yeyote tena!
 
Hii ni kwa sababu ambazo alizitoa chumbani zisizo na msingi! kumbe amenisaliti na ....... watajitaja..... SITAKI TENA NAKWENDA KUSOMEA USISTAAAAAAA


NB: SITAKI USUMBUFU WA AINA YOYOTE KUANZIA SASA KUTOKA KWA YEYOTE!!!!!!!!!!!
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.
 
maHuge!
We binti nini tena? Mapepo?
Hebu njoo nikuombee, kwa jina la.....
Inabidi nikuombee usiku mzima!
Kesho nikurejeshe kwa Plato, ukiwa fresh kichwani.

may be sobhuza kaniloga?
 
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.

mkuu umeua. . . Halafu unamwitia Judgement? Mmmh mie sipo
 
Last edited by a moderator:
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.

me msafi km theluj et
 
ndo maana Bishanga kashindwa kuondoka jamvi hili kama alivyotangaza,chit chat is vere vere! me like she much much! teh teh, we charminglamdy kuchanika kwa Jamvi sio mwisho wa maongezi,come to me beibe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom