feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,595
- 4,205
Watakuwa hawajakosea kabisa.Kwani watakuwa wamekosea kunishauri?
Watakuwa hawajakosea kabisa.Kwani watakuwa wamekosea kunishauri?
Ogopa kukorofishaa na mlemavu wa ngoziSasa unaogopa nini kumuacha?
Ni ngumu kuisha kienyeji ivo nitakuwa nimewadhalilisha ma General wenzanguDuh, poti umeisha aisee.
Kwani vinafanana?maneno yako ma avatar yako ngoma droo
We nae bwana una mambo ya ajabu sana, kwani hadi u Google si unitafute tu nije nikuelekeze MUBASHARANgoja ni Google
Kwani umewekewa tego auHahaha namie nakulove too sema ukija kwangu utaganda bure[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu nini kifuatie baada ya kutokutumia condomMimi nakushauri tu ukimgegeda tena kamwe usitumie condom
we ulivyotiana mmh nitaona kinyaaaWe nae bwana una mambo ya ajabu sana, kwani hadi u Google si unitafute tu nije nikuelekeze MUBASHARA
Ndo nataka ivo lakini nyie mnanitia majaribuni sasaMmmmh galadudu baki njia kuu
Nani nimwambie ukweli?Jaribu kumwambia ukweli tu then myamalize,ukiendelea kuficha ndo unazidi kuharibu
Utamu mujarabu na mungu akipenda basi atabahatika mimba.Halafu nini kifuatie baada ya kutokutumia condom
Siku zote mwanajeshi unatakiwa uwe na roho ngumu we unadhani huo u General nilipewa vp bila kuwa na roho ngumuMkuu una roho ngumu sana
Hainaga makombo hii wewewe ulivyotiana mmh nitaona kinyaaa
Nikimpa mimba si ndo atataka ahamie nyumbaniUtamu mujarabu na mungu akipenda basi atabahatika mimba.
sitakiHainaga makombo hii wewe
Anaweza akaharibu mustakabali wa maisha yako yote yaliyosalia hapa dunianiOgopa kukorofishaa na mlemavu wa ngozi
Kumbe we hutaki kujua aina ya ma staili tofauti tofauti, utakalia tu kujua zile local stylesitaki
Hilo kweli linaweza kusaidiaKama Vipi Nitupie huo Mzigo alafu uone jinsi ntakavyouacha kwenye mataaa....... DUh! Pole sana Kaka, Komaa, Mwambie waifu ulipitiwa, kiri na utubu kisha mtoe wife mpeleke mbali kidogo na mazingira ya home hata kwa siku mbili au tatu and while you are there repent, Mwambie muanze ukurasa mpya na yeye akusaidie kuelewa kuwa unajuta kwa ulilolifanya!!!