General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,237
- Thread starter
- #61
Mkuu hayo sio ya kuombea kabisaAisee General Galadudu... huo mchepuko wako uko hapa central unakufungulia kesi ya kukutwa na viungo vya albino... utajuta mwaka huu..
Mkuu hayo sio ya kuombea kabisaAisee General Galadudu... huo mchepuko wako uko hapa central unakufungulia kesi ya kukutwa na viungo vya albino... utajuta mwaka huu..
Umemuacha mkeo ukaenda kulala na zeruzeru[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Habarini za kwaresima wana Jf wenzangu, naamini kwa uwezo wa Mungu maisha yanasonga ivo ivo tu japo kiugumu ugumu, sitaki nipoteze muda na nafasi kubwa ngoja niende kwny mada moja kwa moja.
Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kuleta uzi hapa nikielezea namna nilivopendwa na binti mmoja mwenye ulemavu wa ngozi, tunasali nae jumuiya moja......., nikaomba na ushauri wa namna ya kumkwepa bila kumkwaza, kuna walionishauri nimgegede tu na wapo walionishauri kinyume chake,
kumbe wakati huo na yeye aliendelea kufanya mikakati mizito ya chinichini kuhakikisha ananipata........na kweli hatimae shetani akanizidi nguvu....... siku moja usiku tulikuwa kwenye sherehe ya upadrisho na jumuiya mbalimbali zilikuwepo......sasa baada ya kinywaji kutukolea nikamtoroka wife nikaenda kumgegedea kwenye gari.....!!
Wiki moja tena baadae tukakutana hotel flani nikamtafuna, sasa kutokana na jinsi alivyo nikaamua kwamba nisiwe nampiga kihard-core, nikaamua tu kutumia staili flani hivi inaitwa TEZI DUME, kumbe yeye ndo akanogewa nayo na huo ndo ukawa mwanzo wa usumbufu na pia nahisi unaweza kuwa ndio mwanzo wa tatizo linakuja mbele yangu,
Nasema hivyo kwa sababu cku za hivi karibuni amekuwa mbabe sana kwangu yani anaweza kuniita muda anaotaka yeye, nimeshamkataza sana lakin hanielewi anaweza kutuma sms kwangu hata saa 7 ucku wakati anajua niko na wife muda huo........ ipo siku nikaamua nimalize mchezo tuachane...... weeeeeewh...... aliposikia namwambia suala la kuachana alikuja juu vibaya sana.
Anasema kwamba nisimletee mambo kijinga kama nataka kuyaharibu maisha yangu basi nijaribu kumuacha ndo nitajua kuwa kwann yeye ni mwanamke atanifanyia kitu kibaya ambacho sintokaa nisahau......
Duh! kwa hakika yalikuwa maneno mazito na magumu sana kwangu, akamalizia kwa kusema "ukae unajua kuanzia sasa uwe unakuja muda wowote nitakaokuhitaji na ukijifanya mjanja basi nakufuata huko huko kwa mkeo"
Siku ya Valentine akasababisha nikatunga uongo hadi nikamuacha wife nikaenda kumgegeda yeye, wife nae ni mara nyingi sana keshaniuliza kuhusu ukaribu wangu na yeye, jumamosi iliyopita tulilala hotel flani na tukaachana asubuhi......
Cha kushangaza hiyo j2 akanitumia sms za kusifia tulichofanya jana na mambo mengine meeeeengi..... halafu mbaya zaidi wakati text inaingia simu yangu alikuwa nayo wife anataka kupiga simu sehemu...... akaisoma..... hii ndo kesi kubwa sana inayoendelea kuunguruma nyumbani kwangu kwa sasa huku wife akitaka kulipeleka kanisani hili suala,
Nilipomwambia yeye wala haoneshi kabisa kujali juu ya ujinga alioufanya. Ushauri wenu tafadhali nifanye nini kuokoa hili jahazi linaolekea kuzama, nawaahidi safari hii nitausikiliza na kuufuata ushauri wenu
Duh..... hilo ni la maana zaidiMkuu kwanza shukuru Mungu wife amejua maana tishio kubwa kwako ni huyo mchepuko. Kwakuwa my wife wako amejua basi tafuta njia yoyote ya kumalizana na wife halafu muache huyo mchepuko aje kuharibu anavyotaka. Nakuhakikishia ikiwa mchepuko atajua umetatua na mkeo basi nguvu yake kwisha ila inabidi ukae naye mbali na wala hana la kukufanya labda akuitie ni muuza viungo na hapo utashinda pia. Achana naye egemea kwa mkeo hata kama kuna msala, kimbilia kwa my wife wako.
Hakuna blackmailing tena kutoka kwa huyo mchepuko. Mwambie aende kokote
Kizuri ni kwamba hana mimbaHumu JF kuna kila aina ya watu, hivyo ujue wengine ndio hao mawakala wasdetani au ma ibilisi wenyewe wanawashauri nanyi mnaenda kufanyia kutenda kama vile ni sifa.
Mnavutiwa na maneno ya kutengeteza maisha ya watu mkfikiri wanawatakia mema kumbe ni kuwaingiza katika matatizo.
Sasa weqe una mke ukatamani kujionyesha ni dume eti ule ukimbie, haya unalo na ni wewe wa kujisaidia.
Utapokea ushauri mwingine utakuvutia na utajichimbia shimo la moto.
Uliyataka, ombea awe hajapata mimba yako.
Dini yangu hairuhusuOa mke wa pili
Za ki hard-core huwa natumia kwa yale mazoefu so huyu nilikuwa namhurumia kutokana na ulaini wa ngozi yakeMi nadhani unatakiwa kubadilisha staili ya TEZI DUME na uanze kumpa za Ki-Hardcore
Ni staili flani hivi ambayo unatumia kumgegeda mtu ambae labda anaumwa au ana uchovu au vyovyote vile iwavyo lakini ni kwamba hii ni staili ya kugegeda kwa utulivu sanatezi dume ndiyo staili gani?
Kifo cha mende?Ni staili flani hivi ambayo unatumia kumgegeda mtu ambae labda anaumwa au ana uchovu au vyovyote vile iwavyo lakini ni kwamba hii ni staili ya kugegeda kwa utulivu sana
Kuna jambo moja hivi linaingia kichwani mwangu na kutoka, lakini likikaa sawa nitafanya kitu kimoja ambacho kitashangaza duniaHebu muache tuone atakufanya nini
Ni kweli mkuu nilifuata ushauri wa waliosema eti nionje papuchi ya kigeninakumbuka ulipoleta uzi kuhusu uyu bint na wengi walikwambia mpotezee nikiwemo mm....sasa kwa sababu inaonekana your not good at following advices jst deal with it yourself,by the way ts your own doing
Kwani zeruzeru sio binadamu?Umemuacha mkeo ukaenda kulala na zeruzeru[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuna sms nyingi nilikuwa nachati nae na kuna siku baada ya kumaliza kugegedana tulipiga picha tukiwa nusu utupuWe nae mbona simple nunua kama una sim aina ya Samsung yani mie natumia Samsung just download application inaitwa sim security then mblok kwa sms calls zake kifupi mblok kila sehem then futa no yake then mpotezee kwani ana ushahidi gani kama umetembea nae Ila ugomvi na wife wko Sijui hata ujielezeeje duh pole mwaya
Duh hapo mtihani usirudie tena next time Ila kua nae karibu ili u delete ivyo vitu then mbwage mblok kila sehemKuna sms nyingi nilikuwa nachati nae na kuna siku baada ya kumaliza kugegedana tulipiga picha tukiwa nusu utupu
Pia inahusisha na kifo cha mende lakini hapo kwny kifo cha mende hamgusani mwanaume akiwa juu inabidi aji balansi asimlalieKifo cha mende?