General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Habarini za kwaresima wana Jf wenzangu, naamini kwa uwezo wa Mungu maisha yanasonga ivo ivo tu japo kiugumu ugumu, sitaki nipoteze muda na nafasi kubwa ngoja niende kwny mada moja kwa moja.
Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kuleta uzi hapa nikielezea namna nilivopendwa na binti mmoja mwenye ulemavu wa ngozi, tunasali nae jumuiya moja......., nikaomba na ushauri wa namna ya kumkwepa bila kumkwaza, kuna walionishauri nimgegede tu na wapo walionishauri kinyume chake,
kumbe wakati huo na yeye aliendelea kufanya mikakati mizito ya chinichini kuhakikisha ananipata........na kweli hatimae shetani akanizidi nguvu....... siku moja usiku tulikuwa kwenye sherehe ya upadrisho na jumuiya mbalimbali zilikuwepo......sasa baada ya kinywaji kutukolea nikamtoroka wife nikaenda kumgegedea kwenye gari.....!!
Wiki moja tena baadae tukakutana hotel flani nikamtafuna, sasa kutokana na jinsi alivyo nikaamua kwamba nisiwe nampiga kihard-core, nikaamua tu kutumia staili flani hivi inaitwa TEZI DUME, kumbe yeye ndo akanogewa nayo na huo ndo ukawa mwanzo wa usumbufu na pia nahisi unaweza kuwa ndio mwanzo wa tatizo linakuja mbele yangu,
Nasema hivyo kwa sababu cku za hivi karibuni amekuwa mbabe sana kwangu yani anaweza kuniita muda anaotaka yeye, nimeshamkataza sana lakin hanielewi anaweza kutuma sms kwangu hata saa 7 ucku wakati anajua niko na wife muda huo........ ipo siku nikaamua nimalize mchezo tuachane...... weeeeeewh...... aliposikia namwambia suala la kuachana alikuja juu vibaya sana.
Anasema kwamba nisimletee mambo kijinga kama nataka kuyaharibu maisha yangu basi nijaribu kumuacha ndo nitajua kuwa kwann yeye ni mwanamke atanifanyia kitu kibaya ambacho sintokaa nisahau......
Duh! kwa hakika yalikuwa maneno mazito na magumu sana kwangu, akamalizia kwa kusema "ukae unajua kuanzia sasa uwe unakuja muda wowote nitakaokuhitaji na ukijifanya mjanja basi nakufuata huko huko kwa mkeo"
Siku ya Valentine akasababisha nikatunga uongo hadi nikamuacha wife nikaenda kumgegeda yeye, wife nae ni mara nyingi sana keshaniuliza kuhusu ukaribu wangu na yeye, jumamosi iliyopita tulilala hotel flani na tukaachana asubuhi......
Cha kushangaza hiyo j2 akanitumia sms za kusifia tulichofanya jana na mambo mengine meeeeengi..... halafu mbaya zaidi wakati text inaingia simu yangu alikuwa nayo wife anataka kupiga simu sehemu...... akaisoma..... hii ndo kesi kubwa sana inayoendelea kuunguruma nyumbani kwangu kwa sasa huku wife akitaka kulipeleka kanisani hili suala,
Nilipomwambia yeye wala haoneshi kabisa kujali juu ya ujinga alioufanya. Ushauri wenu tafadhali nifanye nini kuokoa hili jahazi linaolekea kuzama, nawaahidi safari hii nitausikiliza na kuufuata ushauri wenu