Sikupi yotee leo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Pengine si mbaya kukumbushana hizi kwa wale vijana wanaoendelea ku google jamani
usiogope ama kukimbia katika mambo moja wapo unaweza kumpenda mwenzio
kweli kweli na bahati mbaya akakupitia shetani la uzinzi mkiwa mnafanya uzinzi
baada ya muda tena uko karibu kabisa na kilele cha mlima kilimanjaro na shetan wake
anakubana katikati anasema sikupii yoote ..kama huna iman unaweza hisi umechukua jini
na wengine anabana nanii yako katikati kabisaa akuna game kwend mbele wala nyuma

mwisho akiona umekataaa tamaaa anakwambia endelea sasa niwa wachache kama mie walioumizwa
wakawa wanaendelea wakiamini watabadilishana humo kwa humo

so si mbaya pengine yamekukuta na si mara moja mnakuwa kwenye peakseason kabisa mwenzi anakwambia
sikupi yooote mkiwa wote kwenye lindi la bahari ukikuatana na lenyewe ndio linakubana kati kati
sasa ole ukute umekutana na vifiga vyetu vya kizungu mwaya akibana unasikia mpaka mfupa wa nanii unataka kuvunja nanniiyako ..siku moja niliwahi kukimbia kabisa alinibana aliponiachia nkaomba naenda kuchukua maji nje sikurudi zidi ya kuomba apitie 30000 ya nauli yake nikiamini sikumleta lakini na haki ya kumrudisha alipotoka ...kupata mke/mume sahihi ni shuguli jamani ....kuwa na imani usiogope
 
Hahahahaaa! P. Didy bwana ULIWEKWA LOCK UP!!!! Bahati yako ungekutana na type za KINONDONI hapo akishabana ANAOMBA LAKI SITA YA LESSWIG, Ole wako umnyime!!!!! Na hivi mifupa imekomaaaa! LOL!
 
  • Thanks
Reactions: awp
duh yaelekea unaexperienc ya kubanwa mara kwa mara eeeh?upunguze kushuka bonden kila tmy,kwan kupata mwenza kwako test kuu ni kupewa k ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom