Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Ndo hivo tena mkuu mwaJ amejipumzisha hapa kwangu anakula vinono tu. Kwa wale tuliopitia mila na kuzizingatia tunajua sana namna ya kutunza mke, sio nyie watoto wa oysterbay@usharobaro.com mnajifanya kuiga mapenzi ya kidhungu kumbe hakuna kitu.
Halafu usivokuwa na adabu unashare matatizo yako na binti yangu Zion Daughter huku unamlalamikia mahabuba wangu mwaJ ambae pia ni mama yake!!??
Last edited by a moderator: