Penzi mpe lakini usimpe ngono!
Kabisa kabisa na wanawake wote wanatakiwa wajue hayo:biggrin:
....................................................@ Nigga anauliza mapenzi ni nini.
NIGGA , na masaidia
Kaunga kujibu, Mapenzi ni hali ya kuwa na upendo huwezi kuwa na mpenzi kama hujapenda, lakini unaweza kusex na mtu hata kama humpendi unaona tofouti zake.
Mwanaume anaweza kusex na mwanamke hata kama hajampenda na wengi wao wanafanya hayo, lakini mwanamke ni vigumu sana kusex na mwanaume kama hajampenda...katika hali ya kawaida, mapenzi hayaelezeki kuwa ni nini.
Ni vigumu sana mtu kukueleza maana ya mapenzi ndiyo maana kila mtu ana uelewa tofauti juu ya suala hilo, wale wanao sex na wanaume kama hajampenda ni lazima awe malaya tu, haswa wale wanao jiuza...nadhani umeona tofauti yake mapenzi na ngono ni vitu viwili tofouti kabisa:biggrin:
Ndo mana mwanaume anaye jua mapenzi ni nini hawezi kusex na kila mwanamke na siku zote nashanga kusikia wanawake wengine wanauliza nini mapenzi, wanao uliza vile ni wajinga tu au wana ka umalaya flani wanataka kugawa K zao ili waseme ngono ndo mapenzi:biggrin:
Mwanamke ambaye anajua mapenzi nini, hawezi kusex kabla ya kupenda na wengi wanao sex wakisha penda wana amini wazi wale wanaume watawao kumbe wamewadangaya tu ili wawapate, naongelea wale kidogo wametoka nje ya mafunzo ya dini...lakini walio shika dini yao haswa, ni vigumu sana kuvua chupi zao.
Wanaume wao kama nilivyo sema wao mapenzi ni nyimbo tu, ndo mana kila mwanaume ana view yake ya mapenzi...Wanaume kama fazaa na kina
HorsePower tukisha penda, hatuchezei ma bint za watu...tunaona ni bora tuwaowe kabisa tukisha owa tunacheza nao mchezo wa kitandani tena Kimya kimya na hakuna anaye jua tumekula mara ngapi tunda la roho ni kumya kimya-Ujumbe nadhani umefika wa nini mana ya Mapenzi:biggrin: