Heading ya sred imenishtua kweli! bado kidogo nikwambie ulejeshe mahari yangu.
Bek to ze topik: nitakomenti baadae, mida hii siko serious kabisa yaani na stopenda kuchakachua sred ya mchumbaangu.
Ashadii nimekusoma ila bado tunatudi palepale kwamba mimba ni mtoto mtarajiwa...na kubeba mimba sio kuzaa.
Hivyo mtu anapoamua kuilea mimba na kuazaa hata kupata mtoto basi anakua alipanga kuwa na mtoto. Unless huyo mtu hakujua ana mimba miezi yote tisha na kushtukizwa na uchungu basi mtoto atakaezaliwa amepangwa!!
Mengine yote nakubaliana na wewe...watoto ni zaidi ya zawadi!!
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didnt plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.
Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Mayasa hiyo avatar yakonaipenda. I looove this chick! Jumbo Uche sijui!Lizzy bana.. haya kua uyaone!
Hii mada nzuri sana ila nachelea mkanganyiko kati ya mimba na mtoto... BTW Lizzy una mtoto?? kama ndio je wewe ulipanga?
Hakuna mtoto wa bahati mbaya wakati walirithizia kufanya hilo tendo.
Mayasa hiyo avatar yakonaipenda. I looove this chick! Jumbo Uche sijui!
Lizzy darling it is true kabisa kuwa isopangwa ni mimba na once mtu akishaamua kuilea basi anakuwa mtoto aliyepangwa despite the fact kuwa ametolewa katika mimba isopangwa. BUT what about wale ambao wanapata mimba wasizozipanga na wakaamua they dont want to kee the baby but wakajikuta wanagonga mwamba mimba haitoki?! je mtoto atakayezaliwa si atakuwa mtoto asopangwa? nauliza tu
True that!!
NK hao watu wanaosema waziwazi kwamba huyu mtoto alikua bahati mbaya/au kuwaonyesha kwamba hawawapendi hua hawafikirii hisia za watoto hao.
Ni mbaya sana kwakweli....inaweza kumharibu sana mtoto kisaikolojia!!
<br />Sasa mbona umeishia kwenye kua uyaone bibie...?!Sema tuyaone manini!!
Hii mada nzuri sana ila nachelea mkanganyiko kati ya mimba na mtoto... BTW Lizzy una mtoto?? kama ndio je wewe ulipanga?