Pundamilia07,". . . The Arusha Declaration and the actions relating to public ownership which we took last week were all concerned with ensuring that we can build Socialism in our country. The nationalization and the taking of a controlling interest in many firms were a necessary part of our determination to organize our society in such a way that our efforts benefit all our people and that there is no exploitation of one man by another.'
a) Sikubaliani na serikali kumiliki njia kuu za uchumi kwani zinamuacha mwananchi asiweze kutumia uwezo wake katika kuweza kuzimiliki njia hizo kuu za uchumi. Matokeo yake serikali ilianzisha National Poultry Co. Ltd na nyinginezo ili ifuge kuku na badala ya kuwaachia wananchi wafanye biashara hiyo kwa ushindani zaidi.
b) Ningehakikisha kuwa serikali inajitoa katika kufanya biashara moja kwa moja na kuwaacha shughuli hizo zifanywe na wananchi ili wao ndiyo wawe ni mhimili wa kweli wa uchumi wa nchi hii. Ninatambua kuwa kujituma kw mtu mmoja mmoja ndiyo ndiyo njia nzuri ya kuifanya jamii izalishe na kutumia resources zake kwa mgawanyo unaotokana juhudi za uzalishaji.
Ningehakikisha kuwa mashirika yote ambayo ni mzigo kwa walipa kodi na hayachangiii katikapato la taifa ninayauza mara moja. Na yale mashirika mengine ambayo yanajimudu basi ningehakikisha yanabinafsishwa na wananchi wenye kupenda wananunua hisa humo. Ningehakikisha yale mashirika ambayo ni nyeti kama Reli, Bandari, Posta, Ndege na mengine machache kama hayo yanabinafsishwa na serikali inabakiza hisa chache kwa ajili ya interest ya watanzania wote.
Pundamilia)07
Hata Wamarekani walishindwa kubinafsisha reli na posta.
Kwa sasa posta inajiendesha yenyewe, ingawa nimesikia malalamiko kuwa watumaji barua wamepungua. Reli bado inapata ruzuku ya bunge. Waliwahi kuibinafsisha lakini wakati wa vita vikuu vya pili duniani wakaona umuhimu wa reli kubaki mikononi mwa serikali.Kwa bandari wanatoa tenda kwa kampuni binafsi kuziendesha (kama utakumbuka mgogoro wa hivi karibuni pale kampuni ya Ghuba iliposhinda tenda ikabidi waifute tenda hiyo baada ya malalamiko.)Hata wakubwa pia wanaweza kujifunza kutoka kwa wadogo. Kutokubinafsisha mashirika hayo si sababu ya kutoandaa mpango wa kuyabinafsisha hapa kwetu. Hata hivyo kama mashirika hayo huko marekani yanaachwa kwa sababu maalum na wanaweza kuyaruzuku bila ya kushindwa kuendesha shughuli za serikali basi ni sawasawa kabisa.
Nafikiri Zebra una miss onus ya kufanya hivyo au hujapitia post zote jambo ambalo linaeleweka.Hata wakubwa pia wanaweza kujifunza kutoka kwa wadogo. Kutokubinafsisha mashirika hayo si sababu ya kutoandaa mpango wa kuyabinafsisha hapa kwetu. Hata hivyo kama mashirika hayo huko marekani yanaachwa kwa sababu maalum na wanaweza kuyaruzuku bila ya kushindwa kuendesha shughuli za serikali basi ni sawasawa kabisa.
Naona kumbe umejaribu kupitia post nyingi iwezekanavyo, sasa tukija kwenye practical side maana umesema nipo more in academic than in the practical point.August,
Unaonesha wewe ni academician zaidi ya hali halisi.
Wakati Mwinyi anakabidhiwa nchi kulikuwa na mashirika ya umma nadhani kama sikosei karibia 400. (naweza kurekebishwa). na mengi ya mashirika hayo yalikuwa yanategemea ruzuku ya serikali au kuchotewa toka benki za serikali kwa ajili ya kujiendesha. Wakati huo huo serikali inahitaji fedha za kuendesha shughuli zake kwa maana ya kuwatumikia wananchi, ambapo sehemu ya pesa hizo tumekuwa tukipatiwa na wafadhili kabla hata ya Mwinyi kuingia madarakani. Je, unadhani kulikuwa na muda kuyafanya hayo unayoyasema wakati huohuo wale ambao wanakupa msaada wanakuelekeza kuacha kumwaga pesa kwenye mashirika ambayo hayana tija badala yake hizo pesa zichangie katika bajeti yako?
Kumbuka masharti ya IMF na WB yalilenga katika kuboresha uchumi na kuifanya serikali ijitoe katika uendeshaji biashara na kuwaachia watu binafsi ili wajitegemee na kuwa mhimili wa kujenga uchumi. Mawazo yako ni mazuri lakini wazo la serikali kuendelea kufanya biashara hilo ninalikataa kabisa. Ninaunga mkono urejeshwaji wa shughuli za biashara kutoka serikalini na kwenda kwa watu binafsi.
Nafikiri Zebra una miss onus ya kufanya hivyo au hujapitia post zote jambo ambalo linaeleweka.
Kwa sisi watanzania hakuna aliye kuwa na uwezo wa kumiliki viwanda, au supermarket nk, Mwl akaona ilikumkomboa huyu mtanzania na uchumi wa kumuachia Mtu mweupe aliye kuwa na mtaji aendele kukutumikisha wewe aliona tujipe maarifa, mwamko na mtaji thithi wenyewe kwa serikali kutoa huo mtaji na kukupa wewe exposure ya kuweza kummanage hizo shughuli, na pia faida zingine zinazo kwenda na sisi kumiliki nguzo kuu za uchumi, tuliona Ma-flat ya Bora, RTC, Hosco , BOT nk yote hiyo katika jitihada za kupiga hatua kwa kasi zaidi , kwa sababu kuna msemo united we stand.....
Sasa ukielewa hiyo concept utaelewa kwanini ilifanyika hivyo.
Sasa swali tulifanikiwa au hatufanikiwa huo ni mjadala mwingine, lakini aangalizo Mwl alipotoka alisema kuna mahali tumekosea nk nk, lakini kikuu kilicho takiwa kufanyika kwa walio mfuatia ni kurekebisha hizo kasoro, na kuacha vitu vya msingi, nalo ni sii kwa asilimia kubwa kumiliki nguzo kuu za kiuchumi.
Ngekewa tuko pamoja
Licha ya mashirika kuwa mengi na karibuni yote kundeshwa kwa kodi za wananchi na uchapishwaji wa noti mpya kila kukicha (refer Nyirabu-Nyerere relationship), serikali ilikuwa inafanya kazi ambayo haiihusu kabisa. Hebu angalia utitiri wa kazi au biashara ambazo serikali ilikuwa inahodhi:
Kampuni ya Kuku
Kampuni ya Maziwa
Kampuni ya Ng'ombe
Kampuni ya Usagishaji
Kampuni ya Usafirishaji ( UDA, KAMATA, KAU...RU, MA, etc.)
Kampuni ya Uvuvi
Kampumi ya Kilimo na Chakula
Kampuni ya Viatu
Kampuni ya Chai
Kampuni ya Chumvi
Kampuni ya Sukari (SUDECO)
Kampuni ya Magari
Na mengine mengi (orodha ni ndefu) ambayo serikali haikuwa na ulazima wa kuyaanzisha kuyahodhi huku yote yakiendeshwa kwa urasimu wa serikali. Watendaji wake wakuu wakilipwa mishahara na marupurupu yasiyolingana kamwe na uzalishaji wake. Namba ya ajira katika makampuni yote hayo haikujali uwezo halisi wa mahitaji ya biashara.
Tungeendelea kuchekesha na tusingekuwepo hapa tulipo kamamaamuzi sahihi ya kurekebisha uchumi yasingechukuliwa.
Azimio la Arusha halikuwa ni msahafu au biblia kana kwamba haliwezi kurekebishwa.
Azimio la Arusha msingi wake pia uliegemea katika mawazo ya mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu.
Azimio la Arusha ndiyo lililoweka misingi mibovu ya uchumi wa nchi yetu kwa kuwanyang'anya uwezo wa kufikiri watanzania wazawa katika kuchemsha bongo zao na kuibuka kuwa wafanyibiashara wakubwa, badala yake walitakiwa wafanye kazi zaidi kwenye serikali au mashirika yake kwa ajili ya kujenga uchumi wa nchi yetu changa na huku ikwaachia uwanja mpana usiokuwa na upinzani watanzania wenye asili ya kiasia wakitawala fursa ya kufanya biashara kwani wao Azimio la Ausha halikuwagusa kabisa. Walipewa haki zote za kufanya biashara bila ya kuulizwa kama wana maduka mawili au zaidi, biashara zaidi ya moja, nk.
Turudi nyuma katika ukweli, kipndi ambacho Mwiny yuko madarakani ilikuwa ni kipindi ambacho mabadiliko mengi na makubwa ya kiuchumi na kisiasa yalikuwa yana fanyika duniani. Kwa mfano, mabadiliko ya mfumo wa siasa ya vyama vingi, kuanguka kwa Soviet, urekebishaji wa uchumi kwa nchi masikini nk. Wote tunakumbuka jinsi IMF na WB walivyokuwa wanatuasa tubadilishe sera zetu ili kuvutia mabadiliko ya kiuchumi. Ili kuyakubali yote hayo kama kiongozi wa nchi kunahitaji ujasiri na busara tele la sivyo ukigoopa kugeuka jiwe basi itabidi ung'atuke tu.
Hata hivyo ni lazima tuangalie ni kwani nini tunakuwa na Kiongozi wa nchi anayechaguliwa na wananchi kila baada ya muda fulani na kumwekea ukomo?
Hii ni wazi kuwa tunahitaji mawazo mbadala ndiyo maana kwa kila nchi yenye busara imeweza kuona mbali na kuhakikisha kuwa kuna kuwa na uongozi mpya kabisa kila baada ya miaka fulani. Kwa mantiki hiyo basi ni vema kila kiongozi aingiaye madarakani afanye jambo ambalo litaweza kusahihisha ukomo wa kufikiri wa kiongozi aliyepita. Kwa mfano kabla ya uongozi wa Mwinyi, kiongozi aliyekuwepo
aliamini kuwa wananchi kupiga mswaki wa mti na mkaa ilikuwa ni 'sawa tu', kuogea sabuni ya kufulia iliyo katika kiwango cha chini kabisa ni 'sawa tu',
kupangia wananchi kiwango cha manunuzi ya bidhaa muhimu kwa wiki au mwezi kama vile sukari nusu kilo kwa mwezi mzima kwa familia ni 'sawa tu'
kuogea sabuni ya Lux na kutumia Colgate ni kuhujumu uchumi.
kutopatia nafasi watoto wanaomaliza darasa la saba nafasi ya kuendelea na elimu ni 'sawa tu'
Sasa unapofikia mahali unapewa nchi ipo katika hali kama hiyo wewe kama kiongozi mpya wa nchi utaendelea kutumikia mawazo ya kiongozi aliyepita? ni wazi kuna limitations, ni vema kiongozi akaja na mikakati ya kubadilisha hali hiyo na hasa anapoona kuwa 'si sawa'.
Pamoja na mambo mengi, siasa zote za nchi yeyote zisifike mahali masuala muhimu ya ustawi wa wananchi yakataifishwa kwa kisingizio cha kulinda madili ya viongozi, ni vema wakati hao viongozi walipoweka namna ya kudhibitiana basi hayakupaswa kutuathiri sisi wananchi wa kawaida ambao si sehemu yao.
Ninadiriki kusema kuwa Azimio la Arusha ndiyo chanzo cha kuona wanazuoni wetu wazuri tu wanaacha kazi zao nzuri na kukimbilia siasa kwani tayari walishajengwa mawazoni mwao kuwa kwenye siasa ndiyo kila kitu. Kila mtu anafikiria ubunge na si kufanya biashara kwani kila mtendaji mkuu katika mashirika ya serikali alipewa nyumba bure, usafiri wa kumwaga yeye na mkewe na watoto na mjomba na shangazi. Hakukuwa na ufuatiliji wa mtendaji huyo, sana sana akiharibu basi atahamishwa kwenda kuharibu pengine
Naona kumbe umejaribu kupitia post nyingi iwezekanavyo, sasa tukija kwenye practical side maana umesema nipo more in academic than in the practical point.
Wewe ukipewa ushauri na mtu au masharti si utaomba muda wa kuyatafakari na kuona faida na hasara zake.
Na zaidi ya hapo wewe ukiwa ulikuwa na dira yako ambayo sasa mtu mwingine anataka ubadilishe mwelekeo utakuwa na shaka zaidi, hivyo kama Kiongozi utawauliza wenzako na baadae wataalamu iwe Ma-lecturer UD, na wafanyakazi wengine wa serikali, na utaangalia hiyo experience na nchi zingine ikiwezekana.
Kwa mfano tuliambia NBC ni kubwa saana ivunjwe vipande vipande, lakini utaona Barclays ina matawi karibu nusu ya dunia, sasa sijui ipi ni kubwa saana inayo hitaji kuvunjwa vunjwa.
Kwenye techinical aspect ya re-organisation ya nbc wakati ule labda wangeanza kuuza nyumba za wafanyakazi ili kuongeza mtaji wao na kuongeza financial discipline , kuweleza kwenye IT na kuondoa matatizo ya control hasa madeni yasiolipika, rushwa, kupoteza kwa documents nk, mashirika mengine hata wange kodisha management kutoka nje ingekuwa afadhali kuliko walivyo fanya, hata sasa hivi wewe mwenyewe na wanataaluma wengi wakiulizwa nini njia ya kufuata utasema ni ya mtanzania kumiliki nguvu za kiuchumi, jinsi gani, sasa hapo ndipo mimi na wewe tunatakiwa tutafakari.
Na pia kushindwa kwa mashirika yetu kuna sababu nyingi, moja ilikuwa kujaribu ku-subsidies vita vya ukombozi, ku-create nafasi za kazi, na siasa nayo ilichochea jambo hili ambapo watu waliojaria kwa vi-note walikuwa wengi, na utaalamu mdogo, na mikopo kutolewa bila kufuata vigezo, hivyo tatizo letu kubwa lilikuwa management, financial discipline , na siasda hivyo basi tungeaanza na hayo marekebisho, halafu tukajipima tunaenda sawa au ndio tumfuate IMF, au world bank.
Kuongezea tu unaona Sasa hivi Mkapa anajuta kuwafuata WB/IMF bila kupimia uzuri na ubaya wa hayo mambo, na hao hao waliotekeleza sera za IMF/WB bila kupimia leo hii wanona waliuzwa au walichuuzwa.
Maana leo hii kumtoa ABSA nbc ni shughuli, pili makampuni yao yote yanaweka fedha kwenye Bank zao, sasa hapo mshindi ni nani.
tatizo letu sisi ni viongozi kufanya vitu vyote kama vile wao ndio wanajua kila kitu, na matatizo ya mikataba mingi inaonekana toka siku "A" lakini watu hufumba macho, baada ya siku "c" hao hao walio amua wanaanza onja machungu ya uamuzi wao.
". . . The Arusha Declaration and the actions relating to public ownership which we took last week were all concerned with ensuring that we can build Socialism in our country. The nationalization and the taking of a controlling interest in many firms were a necessary part of our determination to organize our society in such a way that our efforts benefit all our people and that there is no exploitation of one man by another.'
a) Sikubaliani na serikali kumiliki njia kuu za uchumi kwani zinamuacha mwananchi asiweze kutumia uwezo wake katika kuweza kuzimiliki njia hizo kuu za uchumi. Matokeo yake serikali ilianzisha National Poultry Co. Ltd na nyinginezo ili ifuge kuku na badala ya kuwaachia wananchi wafanye biashara hiyo kwa ushindani zaidi.
b) Ningehakikisha kuwa serikali inajitoa katika kufanya biashara moja kwa moja na kuwaacha shughuli hizo zifanywe na wananchi ili wao ndiyo wawe ni mhimili wa kweli wa uchumi wa nchi hii. Ninatambua kuwa kujituma kw mtu mmoja mmoja ndiyo ndiyo njia nzuri ya kuifanya jamii izalishe na kutumia resources zake kwa mgawanyo unaotokana juhudi za uzalishaji.
Ningehakikisha kuwa mashirika yote ambayo ni mzigo kwa walipa kodi na hayachangiii katikapato la taifa ninayauza mara moja. Na yale mashirika mengine ambayo yanajimudu basi ningehakikisha yanabinafsishwa na wananchi wenye kupenda wananunua hisa humo. Ningehakikisha yale mashirika ambayo ni nyeti kama Reli, Bandari, Posta, Ndege na mengine machache kama hayo yanabinafsishwa na serikali inabakiza hisa chache kwa ajili ya interest ya watanzania wote.
Hapa tutazungumzia magnitude ya kufanya hivyo; leo hii nchi za Kibepari zinaingilia kati umiliki wa uchumi na zimekuwa zikifanya hivyo kwa muda mrefu. Tusingeweza kuacha njia za uchumi zote ziwe mikononi mwa kikundi cha watu watu wachache. Tusingeweza kusubiri kama kina Obama miaka 40 baadaye kuona kuwa wananchi ni lazima wawe na interest katika kuendesha uchumi wao.a) Sikubaliani na serikali kumiliki njia kuu za uchumi kwani zinamuacha mwananchi asiweze kutumia uwezo wake katika kuweza kuzimiliki njia hizo kuu za uchumi.
Kwenye hili la kuku inaonekana hujui lengo la shirika hilo lilikuwa ni nini. Sisi tulikuwa wafugani wa kuku wa mayai na wa nyama. Shirika la Kuku lilikuwa linafanya urahisi wa sisi wengine kwenda kununua vifaranga kutka katika matawi yake mbalimbali. Ulikuwa unaweka oda halafu unaenda kuchukua au wanakutumia maboxi yenye matobo matobo ya vifaranga. Ilikuwa inahakikisha chakula cha kuku kipo na chenye mchango wa lishe inayotakiwa.Matokeo yake serikali ilianzisha National Poultry Co. Ltd na nyinginezo ili ifuge kuku na badala ya kuwaachia wananchi wafanye biashara hiyo kwa ushindani zaidi.
Serikali karibu zote duniani zinafanya aina fulani ya biashara. La maana ni kuchagua ni biashara gani na kwa kiasi gani. Fannie Mae na Fred Mac ni makampuni ya biashara ya serikali, leo hii GM na Chrysler ni makampuni binafsi lakini serikali ya Marekani ina hisa? why is that? Kwa sababu kuna mambo fulani kwenye uchumi uwezi kuachia tamaa za watu za fedha kuyafanya, matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona.b) Ningehakikisha kuwa serikali inajitoa katika kufanya biashara moja kwa moja na kuwaacha shughuli hizo zifanywe na wananchi ili wao ndiyo wawe ni mhimili wa kweli wa uchumi wa nchi hii.
Nipe mfano wa nchi yoyote duniani yenye mfumo ambao hauusishi serikali kwa namna fulani hata kwa umiliki?Ninatambua kuwa kujituma kw mtu mmoja mmoja ndiyo ndiyo njia nzuri ya kuifanya jamii izalishe na kutumia resources zake kwa mgawanyo unaotokana juhudi za uzalishaji.
Hilo ni suluhisho potofu, suluhisho bora ni kuangalia jinsi gani unaweza kuyasaidia kuyafanya ya faida. Kuyauza tu hakutayafanya kuwa na faida. Kuuza mashirika hakutasababisha yawe na faida. Mtu mwenye hekima na utaalamu ni yule anayejiuliza jinsi ya kuyafanya mashirika hayo yawe bora na yenye faida.Ningehakikisha kuwa mashirika yote ambayo ni mzigo kwa walipa kodi na hayachangiii katikapato la taifa ninayauza mara moja.
Hoja yako ya mwisho ina negate kabisa hoja nyingine. Kama serikali haifai kufanya biashara kwanini tena iwe na hisa badala ya kuacha sekta binafsi ifanye mambo yote? Unless unaamini upande mwingine kuwa serikali inaweza kushiriki katika biashara ya aina fulani.Na yale mashirika mengine ambayo yanajimudu basi ningehakikisha yanabinafsishwa na wananchi wenye kupenda wananunua hisa humo. Ningehakikisha yale mashirika ambayo ni nyeti kama Reli, Bandari, Posta, Ndege na mengine machache kama hayo yanabinafsishwa na serikali inabakiza hisa chache kwa ajili ya interest ya watanzania wote.
Kuna Pepsi walikuwa wafanya biashara na hakuna share holding ya serikali, na ushindani ulikuwa kama hakuna, kuna Coca Cola, kuna Toyota Tanzania LTD, KJ motors, JV Group of Companies, Somaia Group, na mengineyo mengi tu, je kwanini hawapo mpaka leo au katika ili nguvu waliokuwa nayo mwanzo, na licha ya kupewa exmption za kila aina na wizi juu?
Tukaona new kids on the block kama marehemu Gulamali, Dewji Kassim na nduguze yule wa Pan African na yule wa Simba SC sio huyu Mo' Dewji mbunge wa Singida, Afro Cooling System imeishia wapi, haya makampuni ya kutengeneza mafuta ya kula ndio hayo tena, yanaenda kinyume nyume badala ya quality na prduction kuongezeka, kulikuwa na VOIL, na yale mafuta ya pamba wapo wapi nk nk.
Maana kipindi kile cha IMF/WB tulitekeleza kila kitu walicho kitaka je mafanikio yapoje? Mimi nilitegemea shs yetu sasa ingekuwa atleast 1 to centi hamsini za kenya lakini utaona ndio tumezidi kuchwa mbali, wakati Kenya ardhi iliyo na rutuba ni 1/3 sisi ni 3/4, mahindi S'wanga na kwingine yanalimwa na watu binafsi, Shinyanga mchele kibao, lakini leo hii sehemu maskini ni hizo mbili au yenye miundo mbini mibovu, uje Singida na alizetti yao, hivyo hivyo, tabora na tumbaku yao mambo ni hayo hayo.
Post hii sijaielewa mkuu, unasema nini kuhusu hayo makampuni. Na unahusianisha na nini? Na AD, Mwinyi n.k sijakupata kabisa, hayo makampuni ni ya miaka gani? Baada ya Mwinyi au kabla? Na kwa nini ni makapuni ya watu binafsi? Yaani umeniacha lengo la post yako sijalielewa samahani kwa usumbufuSasa Wareboya na Pundamilia ( Mnyama Mpole, mtaratibu hope mwenye Busara pia).
Kuna Pepsi walikuwa wafanya biashara na hakuna share holding ya serikali, na ushindani ulikuwa kama hakuna, kuna Coca Cola, kuna Toyota Tanzania LTD, KJ motors, JV Group of Companies, Somaia Group, na mengineyo mengi tu, je kwanini hawapo mpaka leo au katika ili nguvu waliokuwa nayo mwanzo, na licha ya kupewa exmption za kila aina na wizi juu?
Tukaona new kids on the block kama marehemu Gulamali, Dewji Kassim na nduguze yule wa Pan African na yule wa Simba SC sio huyu Mo' Dewji mbunge wa Singida, Afro Cooling System imeishia wapi, haya makampuni ya kutengeneza mafuta ya kula ndio hayo tena, yanaenda kinyume nyume badala ya quality na prduction kuongezeka, kulikuwa na VOIL, na yale mafuta ya pamba wapo wapi nk nk.
Maana kipindi kile cha IMF/WB tulitekeleza kila kitu walicho kitaka je mafanikio yapoje? Mimi nilitegemea shs yetu sasa ingekuwa atleast 1 to centi hamsini za kenya lakini utaona ndio tumezidi kuchwa mbali, wakati Kenya ardhi iliyo na rutuba ni 1/3 sisi ni 3/4, mahindi S'wanga na kwingine yanalimwa na watu binafsi, Shinyanga mchele kibao, lakini leo hii sehemu maskini ni hizo mbili au yenye miundo mbini mibovu, uje Singida na alizetti yao, hivyo hivyo, tabora na tumbaku yao mambo ni hayo hayo.
Hapa tutazungumzia magnitude ya kufanya hivyo; leo hii nchi za Kibepari zinaingilia kati umiliki wa uchumi na zimekuwa zikifanya hivyo kwa muda mrefu. Tusingeweza kuacha njia za uchumi zote ziwe mikononi mwa kikundi cha watu watu wachache. Tusingeweza kusubiri kama kina Obama miaka 40 baadaye kuona kuwa wananchi ni lazima wawe na interest katika kuendesha uchumi wao.
Kwenye hili la kuku inaonekana hujui lengo la shirika hilo lilikuwa ni nini. Sisi tulikuwa wafugani wa kuku wa mayai na wa nyama. Shirika la Kuku lilikuwa linafanya urahisi wa sisi wengine kwenda kununua vifaranga kutka katika matawi yake mbalimbali. Ulikuwa unaweka oda halafu unaenda kuchukua au wanakutumia maboxi yenye matobo matobo ya vifaranga. Ilikuwa inahakikisha chakula cha kuku kipo na chenye mchango wa lishe inayotakiwa.
Sisi wananchi tuliokuwa tunafanya shughuli hiyo hatukulazimika kwenda Zambia kutafuta vifaranga.
Serikali karibu zote duniani zinafanya aina fulani ya biashara. La maana ni kuchagua ni biashara gani na kwa kiasi gani. Fannie Mae na Fred Mac ni makampuni ya biashara ya serikali, leo hii GM na Chrysler ni makampuni binafsi lakini serikali ya Marekani ina hisa? why is that? Kwa sababu kuna mambo fulani kwenye uchumi uwezi kuachia tamaa za watu za fedha kuyafanya, matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona.
Amtrak ni shirika la reli la nchi ya kibepari zaidi; angalia hata matreni ya DC na NY
Nipe mfano wa nchi yoyote duniani yenye mfumo ambao hauusishi serikali kwa namna fulani hata kwa umiliki?
Hilo ni suluhisho potofu, suluhisho bora ni kuangalia jinsi gani unaweza kuyasaidia kuyafanya ya faida. Kuyauza tu hakutayafanya kuwa na faida. Kuuza mashirika hakutasababisha yawe na faida. Mtu mwenye hekima na utaalamu ni yule anayejiuliza jinsi ya kuyafanya mashirika hayo yawe bora na yenye faida.
Hoja yako ya mwisho ina negate kabisa hoja nyingine. Kama serikali haifai kufanya biashara kwanini tena iwe na hisa badala ya kuacha sekta binafsi ifanye mambo yote? Unless unaamini upande mwingine kuwa serikali inaweza kushiriki katika biashara ya aina fulani.
". . . The Arusha Declaration and the actions relating to public ownership which we took last week were all concerned with ensuring that we can build Socialism in our country. The nationalization and the taking of a controlling interest in many firms were a necessary part of our determination to organize our society in such a way that our efforts benefit all our people and that there is no exploitation of one man by another.'
a) Sikubaliani na serikali kumiliki njia kuu za uchumi kwani zinamuacha mwananchi asiweze kutumia uwezo wake katika kuweza kuzimiliki njia hizo kuu za uchumi. Matokeo yake serikali ilianzisha National Poultry Co. Ltd na nyinginezo ili ifuge kuku na badala ya kuwaachia wananchi wafanye biashara hiyo kwa ushindani zaidi.
b) Ningehakikisha kuwa serikali inajitoa katika kufanya biashara moja kwa moja na kuwaacha shughuli hizo zifanywe na wananchi ili wao ndiyo wawe ni mhimili wa kweli wa uchumi wa nchi hii. Ninatambua kuwa kujituma kw mtu mmoja mmoja ndiyo ndiyo njia nzuri ya kuifanya jamii izalishe na kutumia resources zake kwa mgawanyo unaotokana juhudi za uzalishaji.
Ningehakikisha kuwa mashirika yote ambayo ni mzigo kwa walipa kodi na hayachangiii katikapato la taifa ninayauza mara moja. Na yale mashirika mengine ambayo yanajimudu basi ningehakikisha yanabinafsishwa na wananchi wenye kupenda wananunua hisa humo. Ningehakikisha yale mashirika ambayo ni nyeti kama Reli, Bandari, Posta, Ndege na mengine machache kama hayo yanabinafsishwa na serikali inabakiza hisa chache kwa ajili ya interest ya watanzania wote.
Mkuu sijakupata, lengo la post yako unataka serikali imiliki makampuni tena?
au kuwa ubinafsishwaji ulikosewa?
au ubinafsishaji usingefanyika kabisa?
Ndiyo, kuna mambo ambayo katika Tanzania yetu yangeendelea kuwa mikononi mwa wananchi (siyo serikali per se). Kosa mojawapo la Azimio la Arusha ni kuweka makampuni mikononi mwa serikali moja kwa moja (100 percent) badala ya kutafuta mfumo wa jinsi gani Watanzania wangeweza kumiliki makampuni hayo. Hii ndiyo modeli yangu mpya ya uendeshaji wa TRL.
Ndiyo ulikosewa sana; huwezi kubinafsisha tu ilimradi umelitoa shirika mikononi mwa umiliki wa umma. Ubinafsishaji ulifanyika kwa minajili ya kuua mashirika yetu ya umma ili mashirika ya binafsi yafanikiwe; hawakutumia akili wala kusudi la kutaka kuyaendesha kwa faida. Ulifanywa kwa misingi ya kuwa "tumeshindwa" labda wageni "wataweza".
Ungesoma msingi wa ubinafsishaji ulikuwa ni nini; sera ya CCM wakati ule ilisemwa wazi kuwa ni kubinafsisha "mashirika yenye hasara".. siyo kubinafsisha mashirika ya umma yenye faida. Badala kukaa chini na kutumia ubongo na kuona ni jinsi gani tunaweza kuboresha mashirika hayo mengine tukaamua kuyaachia tu!
Hivi unafikiri ni kwanini Serikali ya Obama imeweka hisa kwenye Chrysler, GM na kusaidia makampuni kadhaa ya kifedha kupitia TARP wakati makampuni hayo yalikuwa ni ya binafsi? Kwanini kwa mfano hata pamoja na kufanya hasara Marekani haijauza Posta yake, haijauza Amtrak, haijauza Freddie Mac na inayo hata OPIC? Unajua kwanini serikali inaendesha PBS, Export Import Bank of the United States, North Dakota Mill and Elevator? Nchi hii ndiyo ya kibepari yenyewe!! Hadi kampuni ya Bima ya FDIC ni ya serikali.. why why why? Wakifanya Wamarekani tunaelewa lakini Nyerere kutaka kuanzisha kampuni ya Taifa ya Bima tumeona kosa!
pointi yangu ni kuwa karibu nchi zote duniani (sijapata nchi ambayo haifanyi hivyo) serikali inaendesha makampuni mbalimbali kwa kanuni za biashara za kibinafsi. Yaani, makampuni ya serikali yanaendeshwa na kushindanishwa na makampuni mengine na yale yanayopata ruzuku (kama Amtrak) yanasimamiwa kwa namna ambayo inaongeza ubora na kuhakikisha kuna japo faida ya aina fulani na yanapewa uhuru mkubwa wa kujiendesha kibiashara.
Kuna ubaya gani wa kufanya makampuni yanayomilikiwa na serikali yetu kuendeshwa kibiashara siyo kama charities?
mtazamo wangu tu,
huyu mzee JKN alikuwa na mawazo ambayo wengi wetu mpaka leo tunashindwa kumwelewa alikuwa na theory ambazo ni misingi hasa ya utu, nadhani kama Nyerere angekuwa dictator basi hii nchi kwa sasa ingekuwa mbali sana kimaendeleo kutokana na filosofia zake,