Sikukuu zinazoangukia week end

Sikukuu zinazoangukia week end

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
6,735
Reaction score
20,784
..napendekeza ziwe zinasogezwa jumatatu kama kipindi cha mzee ruksa. Hii ni kwasababu mfano huku serikalini hamna cha maana kinachofanyika siku ya jumatatu. Ni kupiga miayo, soga, kusoma magazeti, kusinzia n.k.
 
acha uvivu TheChoji hata ikiangukia jtatu bado utapiga miayo jnne
 
praiveti sekta wao huwa wanaendelea hata kama ni public holiday. Kama unazungumzia ngo's nadhani nao wanahitaji kupumzika maana wanakamuliwa mno. Na wanalipwa laki tatu.
 
Back
Top Bottom