Sikukuu ya Eid huko USA huwaje?

Status
Not open for further replies.
Why not?


Opulent: A guest walks past the $11million Christmas tree in the Emirates Palace hotel atrium in Abu Dhabi



Acha uongo abu dhab haitambui x-max, wao wana public holiday 9 tu, na hiyo kitu x-max haipo. l
 
Mkuu Nguvu.
Sio kusheherekea tu. Wanafunga hadi biashara zao na kwenda mapumzikoni.
X-mas inasheherekewa na dunia nzima
Acha uongo, saudia arabia na x-max wapi na wapi, hukuna kitu kama hicho, watu sio wajinga wanasoma na kufuatilia mambo. nenda kawadanganye wadogo zako nyumbani.
 
Mkuu Nguvu.
Sio kusheherekea tu. Wanafunga hadi biashara zao na kwenda mapumzikoni.
X-mas inasheherekewa na dunia nzima

thubutu yako nimekaa saudi 4yrs hakuna kitu kama hicho
 
chrismas ni dunia nzima.

acha ubishi usiokuwa na maana wewe xmas dunia nzima huwa hawaendi kazini! tafuta hollyday za saudia uone kama utakuta hayo ma xmas na pasaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…