USA Eid si public holiday, ila waumini wa uislamu huchukua likizo ya siku mbili au tatu kwa wale walioajiriwa na wale waliojiajiri hufunga biashara zao ili washerehekee sikukuu hiyo.
USA mbali huko!! hapo SAUZI hata hawaitambui.
Why not?hivi saudia arabia wanasherehekea x-mas
USA mbali huko!! hapo SAUZI hata hawaitambui.
Xmass inasherekewa Dunia nzima...Jina la Bwana lihimidiwe..
Habari za mchana wana bodi
Eid Mubarak.
Ningependa kujulishwa USA nao wana pumzika (Eid mosi na Eid pili) kama tufanyavyo sisi huku wa Tanganyika na Zanzibar?
Habari za mchana wana bodi
Eid Mubarak.
Ningependa kujulishwa USA nao wana pumzika (Eid mosi na Eid pili) kama tufanyavyo sisi huku wa Tanganyika na Zanzibar?
hivi saudia arabia wanasherehekea x-mas