FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Hahaha!!! Watu wako busy wanakula pilau bana mkwe
Hahaha!!! Inabidi tuwe wapole tu, tutulie kama maji ya mtunginiMkwe unatafuta nini humu wakati maua mazuri leo yako barabarani fahari ya macho ..
nashukuru kwa mwaliko fl1 nipo njiani....mungu akubariki sana...ninanjaa yaani naweza kumla ng'ombe nusu peke yangu
Hahaha!!! Inabidi tuwe wapole tu, tutulie kama maji ya mtungini
Usijali ujio wangu utakuwa wa amani mno nitabeba kitambaa cheupe kuashiria peacekaribu sana ak-47 make sure unakuja bila silaha za maangamizi
safety first
tupo mammy......kweli Idd imepoa sana....hata mitaani sisikii shamrashamra.....sijui watu wanalia wapi leo....
madame hivi ulinambia hakuna hata mmoja alokwalika hehehe pole sana swirry ...
naona kweli kumepoa sana sijui kulikoni ?
Tukutane Mac Elies au Arusha Sundowntupo mammy......kweli Idd imepoa sana....hata mitaani sisikii shamrashamra.....sijui watu wanalia wapi leo....
Mimi natangulia Malaika Resort utanikuta hukoMwenzio kila nikiingia hapa nachomoka naona pako kimya sana...ngoja nielekee kwenye mwaliko.
Haya jaribu hiiDaaah Sigma hizo menu zako mbona hazieleweki zaidi nimeona saladi na maji ya kunywa...hiyo Red meat sijui bado haijapikwa?
Tukutane Mac Elies au Arusha Sundown
Haya nasubiria ukipata niambiehapana....huko hakufai leo...kutakuwa kumejaa....si unajua tena......ngoja nitafute sehemu nyingine......
<br />Haya jaribu hii<br />
<img src="http://thehutong.com/blog/wp-content/uploads/2009/10/roast-dinner1.jpg" border="0" alt="" />