Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

Mwaka flani nilipanga mitaa flani Kinondoni miaka hiyo nlikuwa single ndo nmetoka chuo nimepata ajira Bank Flani.

Kwenye hiyo nyumba alikuwepo bi dada mmoja mzuri kinyama...anapendeza and very sexy.nlikuwa namcheck nasema hiiiiiiiiiiii......

Bidada alikuwa mzuri na analeta njaa kinoma.then smart na ung'eng'e mwingi sana mdomoni.nlimpenda pia kwa hilo.you know....yes yes mzungu kala mafenesi.

Dada alikuwa ana miguu minne.RAV 4 moja mpya Damu ya mzee.miaka hiyo ndo zimetoka zinaitwa Kitchen Party kama sikosei.

Mimi ndo nmeajiriwa Bank flani sina hata miezi mingi maana ndo nmetoka Chuo.natumia TZ 11.

Basi siku moja nikawa na washkaji club moja hivi matata sana miaka hiyo kwa totozi kali za kishua.nliazima gari ya mzee nikawa na wana tunapiga makasia na tukaamua kutafuta midudu ya kupiga nyanjo/mikasi.

Yule sister alipita nikamwahi gizani kumwimbisha.kiukweli sikujua kama ndo yeye....maana sikudhania kabisa anaweza kuwa pale.though nliona sura yake si ngeni sana.but kwa kuwa ilikuwa gizani kidogo sababu ya taa za eneo husika.akakubali ila nimpatie 30,000. Kwa saa moja.

Nikamwelekeza aje kwenye gari flani...akaja ndo nikamwona vizuri.tulishtuka wote kwa sekunde kadhaa.nikamwambia asijali tupige kazi kwanza.maana mimi waarabu walishashuka kiunoni.

Nimemgonga la kwanza.tumekaa tunapiga stories na kunywa bia kwenye gari.ndo tukaanza taniania.akanambia yeye hufanya hizo shughuli mara tatu kwa week.but huwa analenga si kwa kila mtu.

Tukapeana na namba za simu.nikamla tena.tukapiga stories nilitumia 2 hrs kwenye gari tu.then tukaagana alinambia anawahi home kupumzika.

Kesho yake tuksalimiana.alinambia nikitaka nisiwe nafikiria pesa niwe naomba tu mzigo pale home napunguza uzito tuna enjoy basi.kweli tukaanza kudate.shida ikawa sasa kila tunapo make love lazima nitumie condom.na yeye anataka tupime ili tuwe tunakula live.

Mimi nlikuwa napata kigugumizi kidogo sababu ya yeye kuwa NOCTURNAL.baadaye bidada akaacha kuwa anatoka.akawa anataka awe ananipikia.na muda mwingi akawekeza kwenye salon yake.alichange maskini akitaka tuwe wapenzi na later on mke na mume.

Nlianza ona nampenda ,namfeel alikuwa na upendo na kujali pia.but ilikuwa inanitesa kuwa bi dada alishawahi jiuza.nliumia sana kwa jambo hilo na kuwish heri nsingejua.

Nlikuja kuhama ile sehemu...siku anajua nahama na sikutaka ajue naenda wapi alilia sana dada wa watu.siku mbili nlipigiwa simu na wenzie wanasema hataki kula anashinda analia tu.the day nmeenda kumwangalia.alikuwa so down and sad.alidhoofu ndani ya 4 days tu.

Nliumia sana.machozi yalinitoka.but nlishindwa kabisa kuamua kuja ishi naye.ilikuwa ngumu kwangu.kuishi na mwanamke ambaye alikuwa anajiuza.NOCTURNAL.inataka moyo sana.

Leo hii nipo Posta sehemu nakula nikafeel kukumbatiwa kwa nyuma.it was her.maskini....tumekumbatiana kama dk 2 bila kusema kitu.umri umeenda ila dada bado ni mzuri.kilichoniumiza ni pale aliposema ... i still love you and will always love you. Hilo limeuumiza sana moyo wangu.ameongea kwa hisia huku machozi yakimtoka.
Msamee mkuu Yale yalikua mapito tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hata ingekuwa mm ningemwacha tu, ndoa ina safari ndefu sana kutotilia maanan mambo ya msingi, kama amefanya ukahaba mpaka akanunua gari je kutembea km ngapi,nafuu single mother kuliko huyo
 
Acha uzembe ndugu yangu! Narudia tena acha uzembe!

Mwanamke ambae yuko tayari kubadilika, kuacha yake mabovu just kwa ajili yako mzee huyo anastahiki ndoa! Mwanamke anaekusikiliza, kukuheshimu na kukuthamini huyo ndio anakufaa!
Usimuhukumu kwa habari zake zilizopita, muhukumu kwa anayotenda akiwa nawe! Ama mzee mwenzangu unatafuta kina juma ndala ndefu ukitoka nae anatoka!

Sina uhakika na stori yako kama ni chai ama lah! Ila kama ni kweli basi mzee usimpoteze huyo manzi oa baba angu! Mtu kakubali kuacha kuuza kwa ajili yako mzee, sio jambo dogo!

Mie nishakuwa katika mahusiano ya namna hiyo, naelewa!
Ndoa ina up 's and dawn's nyingi sana mkuu, yapasa uchunguzi wa kina ili kujua kama demu ana feelings za dhati na sio za kuagiza eti, lakini pia tambua tabia ya mtu ni kama ngozi. Katika maisha ya ndoa hufikia mda mnakosana mapenzi yanaisha kbs kutokana na either ndugu, watoto, social pressure n.k hapo watu hurudia tabia zao za asili maana ile walizificha na kuacha kwa maslahi ya ndoa ila wanazirudia bila kujali., Mimi sioni kama huu ushauri una mantiki labda jamaa aoe tu alijua kaoa kahaba ajiandae kulingana na tatizo lakini si kutegemea mtu kuacha tabia yake
 
Kuna tukio lilintokea kama hilo,mpaka sasa nmeapa siwez kuanzsha uhusiano wa kimapenz bila kuwa na taarfa zake za nyuma za mhusika
 
Ndoa ina up 's and dawn's nyingi sana mkuu, yapasa uchunguzi wa kina ili kujua kama demu ana feelings za dhati na sio za kuagiza eti, lakini pia tambua tabia ya mtu ni kama ngozi. Katika maisha ya ndoa hufikia mda mnakosana mapenzi yanaisha kbs kutokana na either ndugu, watoto, social pressure n.k hapo watu hurudia tabia zao za asili maana ile walizificha na kuacha kwa maslahi ya ndoa ila wanazirudia bila kujali., Mimi sioni kama huu ushauri una mantiki labda jamaa aoe tu alijua kaoa kahaba ajiandae kulingana na tatizo lakini si kutegemea mtu kuacha tabia yake

Unaona ushauri huu hauna mantiki, ni sawa naheshimu maamuzi yako, ushauri sio kupangiwa la kufanya, ila ushauri unaongeza options za kuchagua la kufanya

Mie nimeongea hayo sababu nishakuwa na mahusiano ya namna hiyo, halafu pili kwa mujibu wa maelezo aliyotoa mwenyewe inaonesha kwa karibia 81% demu anamoenda mshikaji kwa dhati! Labda kama awe anatupiga fix.
Changamoto za kwenye ndoa hazikwepeki hata ukamuoea nani sijui, lakini changamoto lazima ukutane nazo, sio woote wauza papa ni kwamba ndio tabia yao kila mtu ana sababu zake! Wapo wengine mtaani hawauzi official, ila nao niwadangaji!
Mzee amini yangu nakwambia mtu ambae kaonesha yuko tayari kuacha yake kisa wewe kwa asilimia 100 basi ruka nae nafsi ikiridhika.

Huu ni ushauri tu anaweza changanya na zake za kuzaliwa ukweli uwe mchungu kumeza na uwe mtamu kutema.
 
Waingereza wana kamsemo kanaenda hivi
"You cant turn a ho into a housewife"

'Ho' ukiongezea herufi chache tu kama 'usewife' unapata housewife lakini haiwezekani sasa.
 
Back
Top Bottom