Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

EF9671B6-2BAF-4BD3-8C84-A00C8CEA16B5.jpeg
 
To love a 'call girl'. It happens. Na wala sio dhambi kuoa a prosti if love jumps-in to play.

Btw, wote mlikutana kwenye 'biashara' ya usiku... wewe mnunuaji, yeye muuzaji. Eventually yeye pekee ndo anaonekana ni 'mchafu' na haoleki. Ila wewe mnunuaji unajiona upo clean.

Women are always victims! gadem.

-Kaveli-
 
Nenda kwa shingongo mkuu unajua kutunga stori siku hz pale hamna
 
Mnunuzi kamhukumu muuzaji wa bidhaa anayoihitaji akaenda kununua bidhaa ile ile kwa muuzaji mwingine
 
Acha uzembe ndugu yangu! Narudia tena acha uzembe!

Mwanamke ambae yuko tayari kubadilika, kuacha yake mabovu just kwa ajili yako mzee huyo anastahiki ndoa! Mwanamke anaekusikiliza, kukuheshimu na kukuthamini huyo ndio anakufaa!

Usimuhukumu kwa habari zake zilizopita, muhukumu kwa anayotenda akiwa nawe! Ama mzee mwenzangu unatafuta kina juma ndala ndefu ukitoka nae anatoka!

Sina uhakika na stori yako kama ni chai ama lah! Ila kama ni kweli basi mzee usimpoteze huyo manzi oa baba angu! Mtu kakubali kuacha kuuza kwa ajili yako mzee, sio jambo dogo!

Mie nishakuwa katika mahusiano ya namna hiyo, naelewa!
 
Wewe ndo umekuwa sababu ya kuongoka kwake. mwambie siku ukimkuta tena chimbo ndo mwisho wa penzi.Usiache kondoo apotee. Binafsi anafaa kuwa mke
Sentensi yako ya mwisho inaukweli flani. Women are so unpredictable, unaweza kuoa ambaye siyo nocturnal lakini ndani ya ndoa akawa malaya balaa! Na huyu nocturnal akawa mtulivu ndani ya ndoa hadi ukashangaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka flani nilipanga mitaa flani Kinondoni miaka hiyo nlikuwa single ndo nmetoka chuo nimepata ajira Bank Flani.

Kwenye hiyo nyumba alikuwepo bi dada mmoja mzuri kinyama...anapendeza and very sexy.nlikuwa namcheck nasema hiiiiiiiiiiii......

Bidada alikuwa mzuri na analeta njaa kinoma.then smart na ung'eng'e mwingi sana mdomoni.nlimpenda pia kwa hilo.you know....yes yes mzungu kala mafenesi.

Dada alikuwa ana miguu minne.RAV 4 moja mpya Damu ya mzee.miaka hiyo ndo zimetoka zinaitwa Kitchen Party kama sikosei.

Mimi ndo nmeajiriwa Bank flani sina hata miezi mingi maana ndo nmetoka Chuo.natumia TZ 11.

Basi siku moja nikawa na washkaji club moja hivi matata sana miaka hiyo kwa totozi kali za kishua.nliazima gari ya mzee nikawa na wana tunapiga makasia na tukaamua kutafuta midudu ya kupiga nyanjo/mikasi.

Yule sister alipita nikamwahi gizani kumwimbisha.kiukweli sikujua kama ndo yeye....maana sikudhania kabisa anaweza kuwa pale.though nliona sura yake si ngeni sana.but kwa kuwa ilikuwa gizani kidogo sababu ya taa za eneo husika.akakubali ila nimpatie 30,000. Kwa saa moja.

Nikamwelekeza aje kwenye gari flani...akaja ndo nikamwona vizuri.tulishtuka wote kwa sekunde kadhaa.nikamwambia asijali tupige kazi kwanza.maana mimi waarabu walishashuka kiunoni.

Nimemgonga la kwanza.tumekaa tunapiga stories na kunywa bia kwenye gari.ndo tukaanza taniania.akanambia yeye hufanya hizo shughuli mara tatu kwa week.but huwa analenga si kwa kila mtu.

Tukapeana na namba za simu.nikamla tena.tukapiga stories nilitumia 2 hrs kwenye gari tu.then tukaagana alinambia anawahi home kupumzika.

Kesho yake tuksalimiana.alinambia nikitaka nisiwe nafikiria pesa niwe naomba tu mzigo pale home napunguza uzito tuna enjoy basi.kweli tukaanza kudate.shida ikawa sasa kila tunapo make love lazima nitumie condom.na yeye anataka tupime ili tuwe tunakula live.

Mimi nlikuwa napata kigugumizi kidogo sababu ya yeye kuwa NOCTURNAL.baadaye bidada akaacha kuwa anatoka.akawa anataka awe ananipikia.na muda mwingi akawekeza kwenye salon yake.alichange maskini akitaka tuwe wapenzi na later on mke na mume.

Nlianza ona nampenda ,namfeel alikuwa na upendo na kujali pia.but ilikuwa inanitesa kuwa bi dada alishawahi jiuza.nliumia sana kwa jambo hilo na kuwish heri nsingejua.

Nlikuja kuhama ile sehemu...siku anajua nahama na sikutaka ajue naenda wapi alilia sana dada wa watu.siku mbili nlipigiwa simu na wenzie wanasema hataki kula anashinda analia tu.the day nmeenda kumwangalia.alikuwa so down and sad.alidhoofu ndani ya 4 days tu.

Nliumia sana.machozi yalinitoka.but nlishindwa kabisa kuamua kuja ishi naye.ilikuwa ngumu kwangu.kuishi na mwanamke ambaye alikuwa anajiuza.NOCTURNAL.inataka moyo sana.

Leo hii nipo Posta sehemu nakula nikafeel kukumbatiwa kwa nyuma.it was her.maskini....tumekumbatiana kama dk 2 bila kusema kitu.umri umeenda ila dada bado ni mzuri.kilichoniumiza ni pale aliposema ... i still love you and will always love you. Hilo limeuumiza sana moyo wangu.ameongea kwa hisia huku machozi yakimtoka.
Wewe ni selfish na immature.. Wew umeenda kuwinda Umeona ni sawa Ila yeye akiwinda ni tabu. Hujakua bado
 
popo mmekutana...ila koo tofauti....huwa wanabadilika jombiii....endelea kuhangaika tuu.....tena mnajuana vema...changu dume na changu jike...
 
Acha uboya kwani anayeliwa mchana akina Mwajuma Ndalambili wanaliwa kwa miguu ya kuku na huyo tofauti ni nini?
Watu wanabadili tabia, tena bora huyo kuliko wale wako underground

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom