Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

Sikujua! Kumbe huyu dada ni Noctunal

Umenikumbusha miaka ya 2000 kuna msanii wa hip-hop kule majuu anaitwa NOCTURNAL na moja ya wimbo wake ni "The knoc" aliowashirikisha kina Dr.Dre na Missy Elliott. Kuhusu huyo dem ni bora ungeendelea nae kwani Nocturnal akiamua kubadilika huwa anabadilika kiukweli sana. But option is yours.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ
 
Unamjua zero iq
Mwaka flani nilipanga mitaa flani Kinondoni miaka hiyo nlikuwa single ndo nmetoka chuo nimepata ajira Bank Flani.

Kwenye hiyo nyumba alikuwepo bi dada mmoja mzuri kinyama...anapendeza and very sexy.nlikuwa namcheck nasema hiiiiiiiiiiii......

Bidada alikuwa mzuri na analeta njaa kinoma.then smart na ung'eng'e mwingi sana mdomoni.nlimpenda pia kwa hilo.you know....yes yes mzungu kala mafenesi.

Dada alikuwa ana miguu minne.RAV 4 moja mpya Damu ya mzee.miaka hiyo ndo zimetoka zinaitwa Kitchen Party kama sikosei.

Mimi ndo nmeajiriwa Bank flani sina hata miezi mingi maana ndo nmetoka Chuo.natumia TZ 11.

Basi siku moja nikawa na washkaji club moja hivi matata sana miaka hiyo kwa totozi kali za kishua.nliazima gari ya mzee nikawa na wana tunapiga makasia na tukaamua kutafuta midudu ya kupiga nyanjo/mikasi.

Yule sister alipita nikamwahi gizani kumwimbisha.kiukweli sikujua kama ndo yeye....maana sikudhania kabisa anaweza kuwa pale.though nliona sura yake si ngeni sana.but kwa kuwa ilikuwa gizani kidogo sababu ya taa za eneo husika.akakubali ila nimpatie 30,000. Kwa saa moja.

Nikamwelekeza aje kwenye gari flani...akaja ndo nikamwona vizuri.tulishtuka wote kwa sekunde kadhaa.nikamwambia asijali tupige kazi kwanza.maana mimi waarabu walishashuka kiunoni.

Nimemgonga la kwanza.tumekaa tunapiga stories na kunywa bia kwenye gari.ndo tukaanza taniania.akanambia yeye hufanya hizo shughuli mara tatu kwa week.but huwa analenga si kwa kila mtu.

Tukapeana na namba za simu.nikamla tena.tukapiga stories nilitumia 2 hrs kwenye gari tu.then tukaagana alinambia anawahi home kupumzika.

Kesho yake tuksalimiana.alinambia nikitaka nisiwe nafikiria pesa niwe naomba tu mzigo pale home napunguza uzito tuna enjoy basi.kweli tukaanza kudate.shida ikawa sasa kila tunapo make love lazima nitumie condom.na yeye anataka tupime ili tuwe tunakula live.

Mimi nlikuwa napata kigugumizi kidogo sababu ya yeye kuwa NOCTURNAL.baadaye bidada akaacha kuwa anatoka.akawa anataka awe ananipikia.na muda mwingi akawekeza kwenye salon yake.alichange maskini akitaka tuwe wapenzi na later on mke na mume.

Nlianza ona nampenda ,namfeel alikuwa na upendo na kujali pia.but ilikuwa inanitesa kuwa bi dada alishawahi jiuza.nliumia sana kwa jambo hilo na kuwish heri nsingejua.

Nlikuja kuhama ile sehemu...siku anajua nahama na sikutaka ajue naenda wapi alilia sana dada wa watu.siku mbili nlipigiwa simu na wenzie wanasema hataki kula anashinda analia tu.the day nmeenda kumwangalia.alikuwa so down and sad.alidhoofu ndani ya 4 days tu.

Nliumia sana.machozi yalinitoka.but nlishindwa kabisa kuamua kuja ishi naye.ilikuwa ngumu kwangu.kuishi na mwanamke ambaye alikuwa anajiuza.NOCTURNAL.inataka moyo sana.

Leo hii nipo Posta sehemu nakula nikafeel kukumbatiwa kwa nyuma.it was her.maskini....tumekumbatiana kama dk 2 bila kusema kitu.umri umeenda ila dada bado ni mzuri.kilichoniumiza ni pale aliposema ... i still love you and will always love you. Hilo limeuumiza sana moyo wangu.ameongea kwa hisia huku machozi yakimtoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ukatili wa wapiganaji wa islamic state au taliban bado kuna wana wanatembea na wake zao kiwiziwizi leo umuogope dem kisa ni bucha! Acha udaslam mchukue bibie kapimeni afya akiwa fit kula bila kuhofia chochote.. Maisha haya unaweza kuogopa nyama ya mrembo kua ina wadudu ukaja kula mishkaki ya ng'ombe mwenye kimeta ukafa..
 
Back
Top Bottom