Sikujua kama ritual s3x ipo Afrika

Sikujua kama ritual s3x ipo Afrika

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Kutoka nchini Zambia, mwanaume mmoja amerudi nyumbani kwake na kumfumania mke wake wa ndoa akiwa chumbani na mwanaume mwingine. Mwanamke huyo ambaye ni mjamzito alikuwa akivunja amri ya sita na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mchungaji (kutokana na picha zake zilizosambaa zikimwonyesha akiwa madhabahuni).

Katika chumba hicho, mume wa mtu akapigwa na kitu kingine kizito baada ya kuona mazingira ya kiganga yaliyokuwa yanaendelea; tunguli, vibuyu, mishumaa na unga unga ukionekana chumbani humo. Hata hivyo haijajulikana mwisho wake umekuwaje lakini wengi wameshtushwa na namna "ibada" hiyo ilivyojumuishwa na ngono.

Tukio hili linanirudisha nyuma sana, maelfu ya miaka kabla Yesu hajazaliwa. Huko mashariki ya kati, mwanamke aitwaye Yezebeli mke wa mfalme Ahabu. Malkia huyu alishiriki vyema kuisambaza dini ya mungu baali ambapo waliabudu kwa aina nyingi ikiwemo kufanya ngono (ritual sex).

Ingawa natambua uwepo wa aina ya madhehebu haya "rituals" sikujua uhalisia wake kwa mazingira yetu.
 
Mchizi inaonekana haja mind kuchapiwa

Kamaindi kuona vibuyu
 
Sio kitu kigeni kwa jamii za siri(hasa occultism) ambazo hao mitume na manabii wapo. Wengi hufanya hayo kupata nguvu za kutenda miujiza, ishara na maajabu.Mambo yanayotendwa na hao watu ni zaidi ya ushetani maana wajamaa wanakula kila sketi inayopita mbele zao wake za watu ndio usiseme na hakuna wa kuwafanya lolote maana kabla hajafanya huo upuuzi anakuwa tayari ameshafanya damage control. My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4:6.
 
Mchizi inaonekana haja mind kuchapiwa

Kamaindi kuona vibuyu
Mkewe itakuwa anasali kwa huyo mtume au nabii. So jamaa akili oshasokotwa hapo Kawa kama zuzu tena anaweza mpa hata soda kama pole kwa kazi au sadaka. Kazi ipo
 
Navyowachukia haya matapeli sijui tractor , sijui nabii matakore, nabii tuberculosis . Majizi tuu haya manabii wa uongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom