Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,625
- 11,636
Edson mwasongwe wa kyela mbeya
Ni Mwasabwite sio Mwasongwe.
Edson mwasongwe wa kyela mbeya
Jaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
Jaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
Una maanisha nini hapo, ulikuwa haustahili?[Uhamiaji ni wala rushwa sana na wanatoa ajira kwa kujuana? Au walifanya bahati nasibu kuchagua?
Kwa mtu anayejiamini uwezo wake hawezi kuja na porojo kama hizi akipata kazi.
Jaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
Jaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
Mnakuja kwa sura nyngne ili kuonesha kua mmetenda haki kumbe uzush mtupu, 1 day itaelewaka kwa mlichotufanyia! Acha kutusanifu ndugu!
Kuna mdau aliwahi kutaja mtu kimemo cha KAGASHEKI Na kwel aisee yuko ktk yale majina ya ajira, Tz ni noma
unakumbuka kumbe, bado Emmanuel Kwenye majina ya Koplo au konstebo.
Uwezo wako wa kuchambua na kuoanisha ni mdogo. Alichokisema kina maana zaidi ya hizo finyu ulizozisema.
Vipi kama anamaanisha kuwa inawezekana kupata kazi serikalini bila rushwa wala refa ikiwa na ukinzani wa mawazo ya waomba kazi wengi? Acha kumshambulia eti hajiamini wakati wewe ndio umekurupuka kwa kutomuelewa.
UMEKERA!!
ni kwa neema tu na rehema tuuuuuu(gospel song)mwimbaji simjui kwa jina
Asante kwa pongezi na pia kwa tuhuma, lakini lengo langu halikuwa kuonyesha kuwa hakuna rushwa au kujuana katika kupata kazi, lengo langu lilikuwa kuwaonyesha na kuwapa moyo watoto wa wakulima wenzangu kwamba inawezekana kupata kazi pasipo rushwa wala kumjua mtu. Ukweli ni kwamba hii haikuwa interview yangu ya kwanza nishafanya sehemu kibao ikiwemo tpdc na sio just written bali mpaka oral na sio kwamba najisifia am good especially when it come to oral interview lakini kuna sehemu nilikosa kwa sababu nilikuwa mtoto wa mkulima na kuna sehemu nilikosa kwa sababu wenzangu walikuwa wazuri zaidi yangu na yote hayo hayakunikatisha tamaa niliendelea kupambana mpaka hapa nilipofika na bado ntaendelea kupambana mpaka kieleweke kimaisha. Kwahiyo kwa wale mliozani sikustahili ndiyo maana nimekuja hapa mmekosea sana japo siwalaumu kwani uwezo wenu wa kufikiri umeishia hapo kwa wale mtakaokuwa inspired well and good pambaneni one day mtasema kama nilivyosema na kwa wale mlokuwa na mashaka kama am sincere au la ondeeni shaka sijatumwa nimesema kwakuwa nazani inasaidia kujua unaweza pata hata kama huna mkwanja na humjui mtu.
Tuombeane duwa tu mchakato uishe salama na mwisho wa siku tusaini contract maana kwa sisi wa mikoani interview ni expensive hata kama hutoi rushwa (nauli na malazi) kwakuwa kila interview lazima uende dar mara mbili I mean kwa ajili ya written na oral gharama ambayo si chini ya 300,000/- per job interview.
Asanteni kwa wote mliotia baraka na kwa wapondaji pia maana bila nyinyi life haliendi.