Sikubaliani na Tundu Lissu katika hili...

TUNDU LISSU SIO KIUMBE WA KUKAA NAYE KARIBU. ANANUKA SHERIA. ''
Kinywa cha lisu kinapoitafsiri sheria. Huwa kinatoa mvuke wa haki.. Lisu aliumbwa kuichezea sheria sio sheria kumchezea yeye.. Kesho kwenye kanisa naloabudu, Vijana wenye mapenzi mema nataifa hili.. Wameandaa misa maalumu ya kumuombea Tundu lissu.
 
Ni akili za kipuuzi kudhani kuwa kuna taifa la nje litaweza saidia kuwasurubu hawa WAHUNI CCM
kama haya mataifa they are want democracy to take its part, why are they still supporting the government of zanzbr?
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia

Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu

Si lazima kila kitu tukubaliane nacho

Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia

Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli

Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo

Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope

Lisu analituhumu kanisa kupata upendeleo wa vibali vya kazi. Kinachoonekana ni hapa ni kuwa Lisu hajui utaratibu unaotumiwa na kanisa katoliki kuwawezesha wamisionary wageni kupata working permit.

Miaka yote Wamisionary wanaofanya kazi Tanzania hukusanya taarifa zao za maombi ya Residence permit na kuzipeleka Ofisi ya Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu. Baraza linachambua na kukagua viambatanisho mhimu ikiwa ni pamoja na malipo ya ada za vibali hivyo.

Baraza huwasilishwa documents hizo Ofisi ya Uhamiaji. Kama Lisu analalamikia huu utaratibu na kuuita upendeleo kwa wakatoliki? Akumbuke kanisa katoliki ni taasisi iliyodumu muda mrefu zaidi duniani. Hivyo imeshaandaa working standards ili kuepuka hujuma na migongano na serikali.

Lisu ikiwa ana stress za Lowasa kutangaza nia asema tu watu watamuelewa. Aache kuchonga maneno akifikiri kila mtu ni mbumbumbu.
Hata wewe hujajibu hoja za Tundu Lissu pamoja na kwamba unabwabwaja na maneno ya kukaririshwa bila kujua nini unaongea,kama kweli akili yako si ya kushikishwa hebu jikite kujibu hoja hizo!!!
 
Kabla sijasema chochote,natamani kujua kama TL anatujali sisi watz au anajali mkate wake tu,?Tukikosa misaada watoto wetu hatutachanja kuzuia maradhi,watakufa.ARVs hatutapata na watakaokufa ni wengi mno,bujeti yetu itasimama,umeme wa REA hautakuja tena,dhiki zitaongezeka ili yeye awe na amani,je hiyo ni sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unasikia akili MGANDO ndiyo hizo za kwako ambazo pamoja na shida wanazopata watanzania wewe huzioni akili yako umeangalia misaada kutoka nje misaada ambayo hata mama yako huko kijijini haipati na hujui kama mpaka leo hii ukienda hospitali madawa hakuna na watu wanaendelea kufa.Amka ndugu utaendelea kuimba wimbo wa watawala mpaka lini???wao wanalinda kitumbua chao kupitia akili zako MGANDO.
 
Naishauri serikali isimkamate wala kumtia ndani huyu Lissu, aongee hadi achoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali haiwezi kunyamaza kimya wakati wananchi wake wakiamshwa kutoka kwenye usingizi wa pono na akina Tundu Lissu,Serikali inajua pindi wananchi watakapoamua kutoka usingizini hawatavumilia majizi ya ccm kuendelea kufilisi nchi yao hivyo watawatimua haraka sana.Hapo sasa ndiyo utaona serikali inatoa macho kulinda isitolewe madarakani na wananchi ndiyo maana wanaosema kweli na kuwaamusha watu wanawekwa ndani ili kuwaogopesha wengine wasije wakajaribu kuwaamsha.
 
Kabla sijasema chochote,natamani kujua kama TL anatujali sisi watz au anajali mkate wake tu,?Tukikosa misaada watoto wetu hatutachanja kuzuia maradhi,watakufa.ARVs hatutapata na watakaokufa ni wengi mno,bujeti yetu itasimama,umeme wa REA hautakuja tena,dhiki zitaongezeka ili yeye awe na amani,je hiyo ni sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku DC akiamua ukae ndani 48hrs kisa hujamuamkia hata Kama ni mdogo wako ndio utakuja kuelewa kwamba Lissu yuko mbali Sana kwenye kuwaza Huwez muelewa Kama unaubongo mdogo
 
Kama unasikia akili MGANDO ndiyo hizo za kwako ambazo pamoja na shida wanazopata watanzania wewe huzioni akili yako umeangalia misaada kutoka nje misaada ambayo hata mama yako huko kijijini haipati na hujui kama mpaka leo hii ukienda hospitali madawa hakuna na watu wanaendelea kufa.Amka ndugu utaendelea kuimba wimbo wa watawala mpaka lini???wao wanalinda kitumbua chao kupitia akili zako MGANDO.
Zangu mgando,zako myeyuko!tunyimwe misaada kwa faida ya nani?acha kuabudu kila neno la mpumbavu,chenjua kabla ya kuandika wewe,kwani lisu ni malaika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zangu mgando,zako myeyuko!tunyimwe misaada kwa faida ya nani?acha kuabudu kila neno la mpumbavu,chenjua kabla ya kuandika wewe,kwani lisu ni malaika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ni ya ki-ombaomba unafikiria kila wakati huwezi kuishi bila kuwa ombaomba,hata hiyo misaada unayoitolea udenda mara zote huipati na wanayoifaidi ni wengine wewe umekuwa kama kasuku. Mkubwa akisema Tundu lissu yuko hivi wewe ndiyo unabeba kama ajenda yako unaanza kubwabwaja ovyo bila kujijua,WAKE-UP!!!!
 
Akili yako ni ya ki-ombaomba unafikiri kila wakati huwezi kuishi bila kuwa ombaomba,hata hiyo misaada unayoitolea udenda mara zote huipata na wanayoifaidi ni wengine wewe umekuwa kama kasuku Mkubwa akisema Tundu lissu yuko hivi wewe ndiyo unabeba kama ajenda yako unaanza kubwabwaja ovyo bila kujijua,WAKE-UP!!!!
Akili yangu ya kiombaomba siyo basi wewe mwenye ya kitoatoa fanya kitu kionekane.Mwanaume hutenda,siyo kupiga mbiu tu ya kutaka usaidiwe. Kama wamewashinda jipangeni upya,siyo eti mnataka dunia nzima iwatetee! Mna nini? Tafakari ndugu hii ni dunia ya faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimchimbia mtu kaburi elewa Unajichimbia mwenyewe..... Ukiwa unafunga mikutano ya vyama ujue wewe ndio unajichimbia na hii inafanya watu watafiti mwenendo wako wote kwasababu hawapo busy na majukumu yao uliyoyafungia. Rais ili aondokane na hili aruhusu uhuru wa vyama vya upizani kuendesha mikutano pia aruhusu bunge huru la sivyo anakiangamiza chama chake mwenyewe. Kumbuka clips hizi zinazunguka Sana kwenye majukwaa ya whatsapp nk kuliko hotuba zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUKO PAMOJA NA LISSU ........ TUMECHOKA KUSWAGWA KAMA MBUZI NCHI YETU WENYEWE KISHA MAMBO YA AJABU YANAENDELEA WATOKEE WENGINE KUMI KAMA LISSU enought is enought
 
Huyu TL kwa hili la misaada kapotoka sana,inaonyesha ana hasira na jazba nyingi hadi amesahau hao wa kimataifa wakikubaliana na hoja zake hata wapiga kura wake nao wataathirika.Mtazamo huo wa TL ni sawa na mtu anayekata tawi alilokalia akitegemea kua hilo tawi litakapokatika eti yeye atabaki salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache sana watakuelewa, wengine wanashabikia bila kujua madhara yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia

Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu

Si lazima kila kitu tukubaliane nacho

Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia

Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli

Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo

Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope

Tanzania ni nchi tajiri sana,
Hatuhitaji misaada ila sisi ndiyo tunatakiwa kutoa misaada.
Au hukumsikia mlipuko wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom