Sikubaliani na Tundu Lissu katika hili...

Hakuna misaada isiyo na masharti. Nchi za magharibi zinatoa misaada kwa sharti la kuwepo demokrasia, uhuru wa habari na kuheshimu haki za binadamu. Sasa kama masharti hayo yalikubaliwa na serikali ya ccm ni lazima yafuatwe ili misaada iendelee kutolewa na kama hayafuatwi ni kuwakumbusha wahisani kama afanyavyo Lissu ingawa inaonekana kama ni kukosa uzalendo lakini tatizo ni siasa za kukomoana.
Africa ni shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia

Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu

Si lazima kila kitu tukubaliane nacho

Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia

Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli

Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo

Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope

Uwe unasikiliza na kuelewa na si kupayuka. Amesema misaada inayokandamiza haki za watanzania, demokrasia, uhuru wa kutoa maoni.

Mfano bajeti yetu tunategemea takribani 60% kwa wafadhili, inamaana kwa matumizi ya kawaida na kiutawala bado hatujitoshelezi ikiwamo na fedha za kukamata watu na kuwafungulia kesi kwa kutoa maoni yao, katika bajeti % kidogo ndio huenda kwenye maendeleo tena haizidi 27%.

Kwa maana nyingine kuzihudumia wizara bado tunakopa au misaada. Kwa pesa za msaada za maendeleo hazina tatizo kama miradi ya barabara, umeme, maji n.k Lisu hana tatizo nazo, ila za utawala ndio tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unafikiri kanisa ni nani? Hata hivyo iliyotuhumiwa ni serikali kwa hiyo itajibu tuhuma ila sisi kazi yetu ni kuwafahamisha watu kama nyie
Kanisa ndo linaweza kujibia hili

May Allah bless Me and You
 
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia

Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu

Si lazima kila kitu tukubaliane nacho

Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia

Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli

Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo

Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope

Sikubaliani na wewe pia Sikubaliani na Lisu! Nchi hii haihitaji msaada, uwezo tunao tatizo ni misappropriation ya resources tulionazo! Let us stop this! Njia anayotaka kutumia Lisu ni mbinu ya kivita ya kumkatia adui yako resources ie throttling the enemy 's nose to deny him /her fresh air! Sasa kama ni hivyo ina maana Lisu ana vita na Watanzania? Pambaneni kisiasa achana na sisi raia!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
We unafikiri kanisa ni nani? Hata hivyo iliyotuhumiwa ni serikali kwa hiyo itajibu tuhuma ila sisi kazi yetu ni kuwafahamisha watu kama nyie
Mambo yote yanayohusu kanisa katoliko yanajibiwa na wahusika wa kurasini

May Allah bless Me and You
 
Tundu Lissu ni mwehu tu. Historia ya vikwazo inaonesha kuwa kamwe watawala huwa hawaathiriwi na vikwazo isipokuwa wananchi wa kawaida. Rejea vikwazo dhidi ya Zimbabwe ,Iraq,Iran,Venezuela,Burundi,Eritrea nk. Lissu ni mpumbavu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia

Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu

Si lazima kila kitu tukubaliane nacho

Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia

Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli

Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo

Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope

Hiyo ndiyo inafaa ili tupate Uhuru wa kweli wa kujieleza ubaguzi,chuki na visasi vimezidi.Acha wasilete pesa tuna madini na mafuta yanatosha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia

Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu

Si lazima kila kitu tukubaliane nacho

Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia

Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli

Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo

Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope

Hata Mimi sikubaliani na wewe!
Kaa chini na utafakari kwa kina Hui ya a loch karma Lissu Mtizamo wa kisiasa na itukadi kando utabaini ukweli. Vinginevyo unanufaika na utaratibu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu ni mwehu tu. Historia ya vikwazo inaonesha kuwa kamwe watawala huwa hawaathiriwi na vikwazo isipokuwa wananchi wa kawaida. Rejea vikwazo dhidi ya Zimbabwe ,Iraq,Iran,Venezuela,Burundi,Eritrea nk. Lissu ni mpumbavu tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tungekuwa na Bunge Makini lenye wabunge wanaojali Utaifa wao,wasiofikiria matumbo hao kweli kabisa hata Mimi nisingekubaliana na Lissu,lakini Binge letu hakuna mwenye uwezo wa kutetea kweli na haki!Wote wapi kwa ajili ya maslahi hao binafsi wakisubiria vyeo na uwaziri,bora Lissu kasema ukweli unaouma sana.
 
Lissu anaweza akawa na hoja za msingi, lakini aina yake ya uwasilishaji wa hoja hizo anaonekana kama mropokaji tu. Hivi unawezaje kuwa kiongozi makini kwa kutoa tu tuhuma za upendeleo wa ukoo, mara kabila, mara ukanda bila kuwa na uchambuzi makini.

Hivi katika orodha ya maafisa wote waandamizi serikalini wakiwemo mawaziri, wale wa kanda ya ziwa hawana sifa ya kuwa kwenye hizo nafasi!? wamepewa kwa upendeleo!?.

Kama anataka kujipambanua kama kiongozi ni bora ajue ni hoja ipi hasa anayoisimamia na namna anavyoweza kuiwasilisha kwa mtiririko wenye mantiki, siyo kuropokaropoka maneno yenye mlengo wa kibaguzi ambayo ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
 
Mtoa mada ana dalili za kuolewa na kiongozi wa huko nchini sisiemu ndoa njema, maana hujui unachoeleza umetimia mda mwingi kuandika upumbavu kabisa fyuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu TL kwa hili la misaada kapotoka sana,inaonyesha ana hasira na jazba nyingi hadi amesahau hao wa kimataifa wakikubaliana na hoja zake hata wapiga kura wake nao wataathirika.Mtazamo huo wa TL ni sawa na mtu anayekata tawi alilokalia akitegemea kua hilo tawi litakapokatika eti yeye atabaki salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye hayupo salama wamenyimwa platform yakufanya siasa which is their rights sunction kwa tanzania ni muhimu sana hasa kipindi hiki cha magufuli na polisi kutumia nguvu kunyanyasa wananchi # sunctiontanzania now#
 
unashangaza sana mtoa mada.hivi unalialia kisa lissu kaomba tusipewe misaada? kwani nini maana ya nchi huru? lissu yuko sahihi. tujitegemee. pia sikubaliani na kitendo cha kukandamiza demokrasia yetu kwa kuvunja katiba yetu kamwe.
 
Lissu anaweza akawa na hoja za msingi, lakini aina yake ya uwasilishaji wa hoja hizo anaonekana kama mropokaji tu. Hivi unawezaje kuwa kiongozi makini kwa kutoa tu tuhuma za upendeleo wa ukoo, mara kabila, mara ukanda bila kuwa na uchambuzi makini.

Hivi katika orodha ya maafisa wote waandamizi serikalini wakiwemo mawaziri, wale wa kanda ya ziwa hawana sifa ya kuwa kwenye hizo nafasi!? wamepewa kwa upendeleo!?.

Kama anataka kujipambanua kama kiongozi ni bora ajue ni hoja ipi hasa anayoisimamia na namna anavyoweza kuiwasilisha kwa mtiririko wenye mantiki, siyo kuropokaropoka maneno yenye mlengo wa kibaguzi ambayo ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
hivi kati ya lissu na mkulu nani mropokaji zaidi?
 
Back
Top Bottom