SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,078
He he he heee,jazba za jamaa anayeaema FUKUZA BUNGENI wakija huku nitapambana nao hujazskiaHuyu TL kwa hili la misaada kapotoka sana,inaonyesha ana hasira na jazba nyingi hadi amesahau hao wa kimataifa wakikubaliana na hoja zake hata wapiga kura wake nao wataathirika.Mtazamo huo wa TL ni sawa na mtu anayekata tawi alilokalia akitegemea kua hilo tawi litakapokatika eti yeye atabaki salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
May Allah bless Me and You