Umenena vema mkuu, kuna issue ya madawa haiongelewi sana lkn ndiyo chanzo cha magonjwa mengi sana hapa nchini.Janabi anazungumza kulingana na uzoefu WA wagonjwa anaowatibu...
Overweight na obese based disease ni vitu serious...
Acha kula sasa tukusikie! Infwakti mnashabikia ujinga!Janabi anazungumza kulingana na uzoefu WA wagonjwa anaowatibu.
Overweight na obese based disease ni vitu serious.
Vyakula tunavyokula ni salama?
Ni natural?
Au mbegu za maabara zenye side effects tele.
Mbolea je ni natural?
Hakuna side effects za madawa?
Unasemaje ukisikia njaa Tu ule kumbe tunakula vyakula vyenye sumu nyingi?
Organic sana? Tafsiri yako ni ipi?Kwa nyumbani Tanzania, ukiondoa hawa kuku wa haraka haraka, vyakula vyetu bado ni organic sana.
Kwahiyo madhara yatokanayo na vyakula kwetu bado.
Hii Dunia kuna maeneo vyakula wanavyokula usiombe!
Ni matakataka tupu
Sidhani kama anazungumzia madawa hayoUmenena vema mkuu, kuna issue ya madawa haiongelewi sana lkn ndiyo chanzo cha magonjwa mengi sana hapa nchini.
Kuna tatizo kwenye prescription, matumizi, uhifadhi, na usalama wa dawa. Bado tuko nyuma sana ktk maeneo haya.
Dr Janabi ni super specialist kwenye internal medicine.Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake.
Kwahiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile.
Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu;
1. Kiu.........maji.
2. Njaa....chakula.
3. Miayo....uchovu.
4. Usingizi... Mapumziko.
N.k.
Kwahiyo kula unaposikia njaa, kunywa maji unaposikia kiu, nenda haja kubwa unapobanwa na haja..
Kama vile ilivyo kwenye haja kubwa kuwa unapobanwa na haja halafu ukajibanabana madhara hutokea mwilini, ndivyo hivyo hivyo hata kwenye njaa. Usipkula unaposikia njaa, mwili utakula baadhi ya cells ama tissues zake ambazo zilikuwa zikifanya kazi nyingine hivyo kupelekea madhara kutokea.
Hujawahi kusikia madaktari wakishauri watoto walale masaa 8+, watu wazima masaa 6+, watu wasibane mkojo muda mrefu, watu wapumzike vya ktosha kupunguza uchovu, n.k?
Sasa kwann unapokuwa na uhitaji wa chakula iwe nongwa?
Sikubaliani na prof. Janabi kuhusu nadharia yake ya mahusiano ya kisukari na vyakula. Ninachokiona ni kwamba wazungu wanataka kutuhamishia kwenye mfumo mpya wa maisha. Ni hao hao wazungu ndiyo walikuja na nadharia ya milo 4 kwa siku, sasa wanaipiga vita. What a contradiction!
Ni wao walioleta nadharia ya jogging, sasa wanasema jogging inaharibu mifupa ya miguu na inaleta matatizo uzeeni
Ila kweli jogging ama kukimbia inaleta madhara ikifanywa bila utaratibu... Mzee Bayi na wanariadha wengine wastaafu wanasumbuliwa sana na miguu hasa kwenye magoti. Kama unafanya jogging jitahidi sana kula bamia au chochote kile kitachosaidia kupata lubricant kwenye miguu hasa magotini. Wale wanaosema wamekimbia zaidi ya 5km wanajihatarisha sana.Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake.
Kwahiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile.
Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu;
1. Kiu.........maji.
2. Njaa....chakula.
3. Miayo....uchovu.
4. Usingizi... Mapumziko.
N.k.
Kwahiyo kula unaposikia njaa, kunywa maji unaposikia kiu, nenda haja kubwa unapobanwa na haja..
Kama vile ilivyo kwenye haja kubwa kuwa unapobanwa na haja halafu ukajibanabana madhara hutokea mwilini, ndivyo hivyo hivyo hata kwenye njaa. Usipkula unaposikia njaa, mwili utakula baadhi ya cells ama tissues zake ambazo zilikuwa zikifanya kazi nyingine hivyo kupelekea madhara kutokea.
Hujawahi kusikia madaktari wakishauri watoto walale masaa 8+, watu wazima masaa 6+, watu wasibane mkojo muda mrefu, watu wapumzike vya ktosha kupunguza uchovu, n.k?
Sasa kwann unapokuwa na uhitaji wa chakula iwe nongwa?
Sikubaliani na prof. Janabi kuhusu nadharia yake ya mahusiano ya kisukari na vyakula. Ninachokiona ni kwamba wazungu wanataka kutuhamishia kwenye mfumo mpya wa maisha. Ni hao hao wazungu ndiyo walikuja na nadharia ya milo 4 kwa siku, sasa wanaipiga vita. What a contradiction!
Ni wao walioleta nadharia ya jogging, sasa wanasema jogging inaharibu mifupa ya miguu na inaleta matatizo uzeeni
Hakuna haja ya matusi , hii ni hoja imeletwa , tuweke hoja zetu kumpinga baaaasiDr Janabi ni super specialist kwenye internal medicine.
Vipi kuhusu wewe dume jike una wasifu gani kuhusu masuala ya afya ili tuache kumsikiliza Prof Janabi tukusililize wewe dume jike wa JF?
Mkuu ni kwa namna gani bamia inaweza kuleta lubricant kwenye Joints , nataka kujifunzaIla kweli jogging ama kukimbia inaleta madhara ikifanywa bila utaratibu... Mzee Bayi na wanariadha wengine wastaafu wanasumbuliwa sana na miguu hasa kwenye magoti. Kama unafanya jogging jitahidi sana kula bamia au chochote kile kitachosaidia kupata lubricant kwenye miguu hasa magotini. Wale wanaosema wamekimbia zaidi ya 5km wanajihatarisha sana.
Wewe ni Dr wa mifugo au binadamu? Umeupiga mwingi. Big upMbona maelezo yako yanalandana na maelezo ya Prof Janabi.
Yeye anasisitiza watu waache kula hovyo. Wale pale wanapohisi njaa. Maji wanywe pale wanapohisi kiu. Si kwa sababu ni saa saba ni muda wa lunch basi unaenda kubugia hata kama husikii njaaa.
Jioni imefika, mwili hauhitaji tena chakula kwa kiwango kikubwa. Kula chakula kidogo subiri kidogo kisha kapumzike. Watu wanakula chapati 3, maharage ya nazi, maji lita moja, juice glass moja, matunda, alafu anaenda kulala.
Ukiuliza eti shughuli ipo usiku. Akilala ni kujamba tu puup, shuuu, triiii, shughuli yenyewe kimoja chali.
Anachokosea kwa mbali Prof Janabi ni kushindwa kuweka bayana kuwa kuna makundi kutokana na majukumu yao wanapaswa kula kiwango cha chakula chenye wanga. Wafyatua matofali, wajenga madaraja na barabara na kupasua magogo, si sawa na watu wanaokaa mezani kuzungusha makalio.
Kila kundi lipate chakula kulingana na mahitaji ya mwili kwa muda husika.
Atakuja kijana wa hovyo mshamba_hachekwi aseme mimi ni Chawa.
Mimi sio msemaji. Subiri waje wataalamu zaidi kuelezea.Mkuu ni kwa namna gani bamia inaweza kuleta lubricant kwenye Joints , nataka kujifunza
Organic sana? Tafsiri yako ni ipi?
Tanzania haswa Dar es Salaam, vyakula wanavyokula vina sumu kwa kiwango kikubwa. Mboga mboga na viungo vinapigwa viua wadudu leo, kesho vinachumwa na kuuzwa sokoni.
Mbolea zinatumika zenye kushurutisha mmea ukue kwa haraka ili mkulima auze apate fedha.
Sijui ni nchi gani upo, ila nchi za Ulaya wapo serious sana katika kuzingatia afya za walaji. Mpaka kwenda kwa walaji chakula hupitia katika hatua kadhaa za uthibiti.
Mara kibao Watanzania wenzako unaodai bado wanakula vitu organic, wanaomba kusafirisha vyakula haswa mboga mboga kwenda nje. Ni wachache sana wanafaulu, why? Kwa sababu vyakula hivyo vinakosa sifa ya kuliwa na binadamu.
Vyakula organic ni vipi??Kwa nyumbani Tanzania, ukiondoa hawa kuku wa haraka haraka, vyakula vyetu bado ni organic sana.
Kwahiyo madhara yatokanayo na vyakula kwetu bado.
Hii Dunia kuna maeneo vyakula wanavyokula usiombe!
Ni matakataka tupu
Vyakula natural vinakuaje?Janabi anazungumza kulingana na uzoefu WA wagonjwa anaowatibu.