Sikubaliani hata kidogo na utovu wa nidhani wa Bernard Morrison, lakini kuna hoja za msingi ni lazima zijibiwe na TFF.

3ANAANDIKA Mchao Tv

KWA MFANO TU

Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi.

Kwa mfano Bodi ya Ligi wangekaa na kamati yao ya saa 72 na kutoa maamuzi kungekuwa na ubaya gani???

Na kama maamuzi yangekuwa kama jinsi walivyoamua, maana yake Morrison angeikosa michezo ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Septemba 13, angeukosa pia mchezo dhidi ya Ihefu (ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 29 kabla ya kusogezwa mbele) na angeukosa pia mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 3.

Tuna-assume mchezo kati ya Yanga dhidi ya Ihefu ungeahirishwa kama ilivyo hivi sasa, maana yake ni kwamba Morrison angeikosa michezo ya Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar (Septemba 13), dhidi ya Ruvu (Oktoba 3) na adhabu yake angeimalizia kwa kuukosa mchezo dhidi ya Namungo ambao kwa mujibu wa ratiba utachezwa Oktoba 13... halafu kwenye Kariakoo Derby dhidi ya Simba (Oktoba 23) mtoto mtukutu angekuwa ndani ya nyumba.

Jana Bodi ya Ligi walitoa taarifa ya kuusogeza mbele mchezo kati ya Yanga na Ihefu (kutoka Septemba 29 hadi Novemba 29, yaan miezi miwili mbele) halafu leo Bodi ya Ligi hao hao wanatoa taarifa za kumfungia Morrison michezo mitatu kutoka sasa ambapo mchezo dhidi ya Simba unakuwa mmojawapo kwa kosa la siku 16 nyuma.

KWA MFANO TU lakini.....Yanga wakihoji uhalali wa adhabu ya BM33 kutoka leo Shirikisho la TFF na Bodi ya Ligi watajitetea kwa lipi??

KWA MFANO TU lakini.....Yanga wakiituhumu TFF kuwa inawahujumu, ni utetezi upi utakaotolewa na wenye mamlaka kupinga hoja hiyo??

KWA MFANO TU.....Yanga ikilalamika kuwa kuna bingwa anaandaliwa na Shirikisho la soka (TFF) kama jinsi Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu alivyowahi kulituhumu Shirikisho, ni nani atakayekuwa na mamlaka ya kuchukua hatua za kinidhamu juu ya kauli hiyo.

KWA MFANO TU......yaan ni mfano tu, ni mfano ambao........
Makolo wanafurahi sana,
 
Jaribu kua mfuatiliaji mzuri wa sheria na kanuni,rafu ya inonga ilishaadhibiwa na muamuzi kwenye mechi husika, kitendo alichofanya Morrison ni kutendo ambacho si cha kiuanamichezo na muamuzi hakukiadhibu kwakua hakukiona hivyo kinapaswa kuadhibiwa kwenye kamati ya maadili.

Kama muamuzi angekiona na kutoa adhabu yake pale pale ya kadi yoyote ile Morrison asingeadhibiwa tena!!!
Sheria namba ngapi?
 
Huku ni kuendeshwa na ushabiki tu kwa kuwapangia mamlaka ya soka namna ya kufanya kazi.

Halafu si mlisema hakuna pengo kuna Kisinda, Moloko, Nkane, kwahivyo kilio na malalamiko ya nini hapa.
Kama hakuna kusema basi hakuna kusahihishana. Upumbavu ni ugonjwa usiona dawa jitahidini kubadirika makolo ilikiwezekana ugonjwa huu uwatoke,japo siyo rahisi sana
 
Na dickson job kwanini alipewa nani pia akafungiwa mechi tatu na kamati na faini juu

Wewe ni mavi
Watu msiokuja na hoja na akili zenu pungufu ndio mko hivyo, he u niambie ni mechi gani hiyo ilitokea kwa Job akapewa kadi na kufungiwa na hiyo bodi. Usijiropokee tu.
 
Jaribu kua mfuatiliaji mzuri wa sheria na kanuni,rafu ya inonga ilishaadhibiwa na muamuzi kwenye mechi husika, kitendo alichofanya Morrison ni kutendo ambacho si cha kiuanamichezo na muamuzi hakukiadhibu kwakua hakukiona hivyo kinapaswa kuadhibiwa kwenye kamati ya maadili.

Kama muamuzi angekiona na kutoa adhabu yake pale pale ya kadi yoyote ile Morrison asingeadhibiwa tena!!!
We umeshamaliza kila kitu uzi ufungwe
 
Halafu ukifanyiwa rafu na mpinzani ukarudisha basi ww ndo mwenye makosa ndio maana ulaya mchezaji anaweza akafanyiwa rafu na mwenzake refa asimuone na wala asimpe adhabu ila aliyefanyiwa rafu akirudisha refa akamuona basi hapo mwenye makosa ni aliyelipiza kufanya foul ila yanga kuanzia uongozi wao mpaka mashabiki wao hakuna anayejua sheria za mpira ndio maana wao ni bora liende na manara kashawajua walivyo mambumbu basi anawajaza upepo tu.
 
Aaa wapi mifano ipo mingi sana Mukoko alipewa kadi nyekundu na bado akaadhibiwa na kamati vivyo hivyo kwa Djuma na Dickson Job, jamani muwe mnafatilia kwanza mkiona watu wanalalamika sio kwamba wanapenda kulalamika
 
Halafu ukifanyiwa rafu na mpinzani ukarudisha basi ww ndo mwenye makosa ndio maana ulaya mchezaji anaweza akafanyiwa rafu na mwenzake refa asimuone na wala asimpe adhabu ila aliyefanyiwa rafu akirudisha refa akamuona basi hapo mwenye makosa ni aliyelipiza kufanya foul ila yanga kuanzia uongozi wao mpaka mashabiki wao hakuna anayejua sheria za mpira ndio maana wao ni bora liende na manara kashawajua walivyo mambumbu basi anawajaza upepo tu.
Unaongea uongo au haujui unacho kiongoea? tangu lini kosa likafutwa na kosa? Mchezaji akifanyiwa foul aka react wote wanakua naemakosa na wata adhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa
 
Dawa ni Yanga kuwa makini ukishajiona ni mtoto wa kambo usifanye ujinga wa makusudi.
Kamati imepata sababu halali kutoa hukumu, kosa ni la mchezaji wetu ambae Kwa mpenzi wa Yanga anapaswa kulikemea.
 
Mr Karai ni mpumbavu sana anapaswa kujua wanayanga wengi wana PhD na wanaweka kumbukumbu ya maamuzi ya TFF, utumbo wote wa Karai tunauona , kumzuia BM33 kucheza Derby kwa hila hakuzuii kichapo bali kutapunguza tu idadi ya magoli kutoka 6 hadi 4. ubora wa Yanga ndio huamua matokeo ya Derby na kombe la ligi Yanga tutabeba kibabe tu hakuna cha kuzuia hata hila za Mjinga Karai ziwe million!

Huyu Inonga uchochoro mpumbavu sana alitaka kumvunja mguu Sureboy hata kama kimsingi mnasema refa alitoa adhabu haikulingana na kosa kamati ya TFF ilipaswa kutenda haki kwa kumuongezea adhabu nje ya uwanja!! Double standards za kipumbavu hazisaidii kukuza mpira wa bongo!

TFF wote mlioko ofisini akili hamna mmejaa ujinga tu na uonevu tu ndo maana timu ya Taifa Stars imerudi kuwa kichwa cha mwendawazimu watu wanajipigia , Farid Musa alikuwa nyota wa mchezo wa kwanza dhidi ya Uganda kila mtu aliona tukafungwa goli moja la kujisahau eti mechi ya marudiano kisa Farid ni Yanga mkamuweka nje mkatujazia wachovu Makolo wa Msimbazi kina Mzamiru na Boko na uchochoro zingine za Simba garbage in garbage out! tukapigwa 3 mtungi! hivi TFF hamna aibu kwa Taifa Stars kubugizwa kila mechi nyie mkiwa wahusika? hamuoni aibu timu yetu kuliaibisha taifa chini ya uongozi wenu kina Mr Karai? si mtoke waje wengine?

TFF hii hamna akili nyie Makolo Fc! mmemfungia Haji Manara kwa uonevu na hasira zenu za Bugatti kuwapa makombe wananchi na hamkusema kamvunjiaje heshima Mr Karai na hamkutosheka mmemfungia na BM33 sasa imevuja wananchi tumeambiwa mnamsaka Mayele mumpige ban mechi tatu Makolo muongoze ligi , nyie hamfai mnatuhujumu Yanga si mtoke hivi uchaguzi wa Rais TFF lini Utopolo tuje tugombee!

Natoa RAI wananchi wanayanga na utopolo wenzangu wote uchaguzi wa TFF ukifika tuchangamkie fursa bila aibu wa kusita , kila mwananchi mwenye pesa, dira ya mpira wa kisasa, elimu ya soka la dunia, muda wa kushughulikia mpira, anaejua fitna za mpira na kamati ya ufundi, mwenye uwezo wa kuongea , mwenye ujasiri wa kushindana na Makolo bila woga , mwenye ushawishi katika jamii na uwezo wa kuongoza basi ajitokeze tujazane hata elfu TFF tuchukue forms tugombee tuwatoe Makolo FC ofisini. Tusikubali waendelee kututawala madudu yao Makolo FC pale TFF tunayaona na tuseme imetosha sasa ni wakati wananchi tuchukue hatua, tutangaze wazi ujinga zao sote kwa pamoja tupaze sauti ziwafikie Makolo walioko TFF kuwa tumejua "wanatuhujumu"

GSM wanapaswa kuingilia kimafia na kuvunja mikakati ya Mr Karai kushusha hadhi na spidi ya Yanga makombe!

kutenda haki duniani huleta bahati na Barka kutoka juu!!
 
Mr Karai ni mpumbavu sana anapaswa kujua wanayanga wengi wana PhD na wanaweka kumbukumbu ya maamuzi ya TFF, utumbo wote wa Karai tunauona , kumzuia BM33 kucheza Derby kwa hila hakuzuii kichapo bali kutapunguza tu idadi ya magoli kutoka 6 hadi 4. ubora wa Yanga ndio huamua matokeo ya Derby na kombe la ligi Yanga tutabeba kibabe tu hakuna cha kuzuia hata hila za Mjinga Karai ziwe million!

Huyu Inonga uchochoro mpumbavu sana alitaka kumvunja mguu Sureboy hata kama kimsingi mnasema refa alitoa adhabu haikulingana na kosa kamati ya TFF ilipaswa kutenda haki kwa kumuongezea adhabu nje ya uwanja!! Double standards za kipumbavu hazisaidii kukuza mpira wa bongo!

TFF wote mlioko ofisini akili hamna mmejaa ujinga tu na uonevu tu ndo maana timu ya Taifa Stars imerudi kuwa kichwa cha mwendawazimu watu wanajipigia , kutenda haki huleta bahati na Barka!
Ukiwa mpumbavu kweli ni mpumbavu tu.
Kwa hiyo kutunza kumbu kumbu za maamuzi unahitaji PhD au ni roho za kike tu?
 
Back
Top Bottom