bernard morrison

Bernard Morrison (born 20 May 1993) is a Ghanaian professional footballer who is currently playing for Simba SC in the Vodacom premier league.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    Bernard Morrison: Mchezaji mwenye kasi na munkari ya ushindi ambayo Yanga iliikosa kwenye mechi muhimu

    Bernard Morrisson BM3, the gifted one, King of Football ni mchezaji mwenye kasi/pace/speed na jitihada ya dhati ambayo Yanga ilikuwa inaikosa kwa muda mrefu,Benard Morrisson anajua kucheza kikubwa na kimalengo,hii ndiyo inayotakiwa katika hizi klabu kubwa hapa nchini, sina shaka na Simba ambayo...
  2. Chizi Maarifa

    Bernard Morrison katumwa na Simba kuja mwaribu Mayele....

    Huyu jamaa mshenzih sana.... Kwenye video hapa tunaona wakati mayele kainamishwa yeye anaenda kumtia kidole. Tunaona jinsi ambavyo Mayele anaruka na apotizama kumwona BM anatulia Huyu BM alitumwa na Simba kuja kuharibu wachezaji Yanga. Tutamshusha busha mbwa huyu.... Asije akatuharibia chezaji...
  3. Komeo Lachuma

    Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  4. Dr Matola PhD

    Sikubaliani hata kidogo na utovu wa nidhani wa Bernard Morrison, lakini kuna hoja za msingi ni lazima zijibiwe na TFF.

    3ANAANDIKA Mchao Tv KWA MFANO TU Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi. Kwa mfano Bodi ya Ligi...
  5. BigTall

    Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

    Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. "Hii ni kutokana na nyinyi...
  6. M

    Barua ya wazi kwa Bernard Morrison

    Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA! Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji kikubwa sana Cha soka lakini katika maisha umekuwa? ukiwakatisha tamaa wale ambao wangeweza kulea...
  7. GENTAMYCINE

    Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  8. GENTAMYCINE

    Ni matumaini yangu Uongozi wa Simba SC utaandaa Uongo wa kutuambia kwanini Bernard Morrison hatoenda South Africa tarehe 24 April, 2022

    Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze Faulo apate Kadi Nyekundu ili sababu ya Yeye kutoenda Afrika Kusini katika Mechi ya marudiano na...
  9. John Haramba

    Bernard Morrison aomba radhi Simba kwa utovu wa nidhamu alioufanya

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameomba radhi kwa wachezaji wenzake, benchi la ufundi pamoja na kwa uongozi wa klabu yake kwa utovu wa nidhamu aliouonyesha. Imeelezwa kuwa Morrison ambaye ni raia wa Ghana ametumia group la mtandao wa WhatsApp kuomba radhi kwa wenzake kisha akaomba...
  10. John Haramba

    Usajili wa Bernard Morrison kurudi Yanga, kuna mvutano mkali unaendelea!

    Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini. Baadaye Morrison akapost kwenye pages zake kuwa kuna kitu kikubwa kinakuja akiwa ameweka picha...
  11. Frumence M Kyauke

    Bernard Morrison ameshare Video fupi ikimwonesha alivyokuwa akistarehe visiwani Zanzibar

    Bernard Morrison (Amezaliwa 20 May 1993) Ni Mchezaji maarufu wa Ghana anaechezea timu ya Simba SC kwenye Ligi ya Vodacom Premier Bernard Morrison Personal information Club information Senior career* National team‡ Date of birth 20 May 1993 Place of birth...
  12. Christopher Wallace

    Bernard Morrison apimwe akili na utimamu

    Kwa clip aliyoipost katika ukurasa wake wa Instagram, naziimba mamlaka za nchi hii zimpime akili kijana huyu maana tunaweza tukawa tunacheka na kufurahi kumbe tunampiteza mwenzetu! Apimwe kwa haraka..
  13. GENTAMYCINE

    Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  14. M

    Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  15. Action and Reaction

    Mwakalebela agongwa na kitu kizito kutoka kwa Morrison

    Kwakweli vandugu Mwakalebela hiyo jana inasemekana hajalala kutokana na majibu ya CAS. Hili ni pigo kubwa kwake kwani alikuwa akimdhoofisha Morrison pale anapofanya vizur hasa anapofunga goli au kutoa Assist huanzisha mjadala wa Morrison kwakukumbushia kesi CAS. Sio muda kitambi kitaanza...
  16. liwaya

    Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  17. M

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  18. demigod

    Ghetto la Bernard Morrison ni hatari

    Hivi ndivyo wenzetu wanavyojali wachezaji wao... Ona ghetto la mchezaji wao wa kimataifa linavyo fanana. Yanga SC mna mengi sana ya kujifunza...kutoka kwa Boss Mo Dewji.
  19. GENTAMYCINE

    Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  20. GENTAMYCINE

    Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
Back
Top Bottom