^^
Ni jambo ambalo tayari nilishaliondolea tumaini,,kwamba kuna wanawake wasomi ambao hawana harakati ninazoziona MMU
..
Nilimtembelea rafiki angu ambae ni mhitimu wa kidato cha sita.Ana biashara ndogo ndogo tu,,lakini ni kukuta ameoa mwanamke anaepigiwa mfano na kila mtu,,ambae ni
.Mhitimu Chuo Kikuu,
.Hatangulizi pesa anaishi kadri ya uwezo,
.Mahitaji yake sawa na watu wengine,
.Anajua kupata na kukosa,
.Hamtoi kasoro mumewe,
Nilimdadisi kujua kama amepitia matatizo ktk maisha yake,akasema hapana Nikamuuliza alifikiria nini kumkubali ambae kwa kawaida binti mwenye elimu yake,umbo safi,anatongozwa kila kona,,asingekubali hilo.Jibu lake halikuwa refu,alisema "napenda kujenga maisha"
..
Imani yangu ilikuwa imepotea kuhusu mitazamo ya wanawake humu ndani,lakini kumbe nilikosea,wapo ambao wanajua maisha na wanatambua nini kinatakiwa ktk ndoa.
...
WALE WANAOTAFUTA WACHUMBA,wasikate tamaa Wanawake wapo ambao kweli wanahitaji ndoa bila vigezo na masharti ya kuvunja moyo.
^^