Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
- Thread starter
- #21
hivi mi huwa nawashangaa sana wakaka!
..binafsi naamini when it comes to lov kuna vitu wala ht haviingii, elim cjui nn huko!
Inategemea mmeamua kuyajenga vipi hayo mahusiano!
,..ckatai we a differ,...
..ss mwanaume anakuaproach,mko powa tu mapenz yanaanza vzr,ukimwambia tu nina masters,kosa anaanza kujishtukia,hajiamini,muoga!ooh,unajua ww umenizidi eli bla bla kibao,..ht mi nakupotezea coz hujiamini
..mtu anaweza kuwa ana elim ya kawaida lkn ana focus!na hili ndo la mhimu!anafikiria mikakati/mipango ya baadae
..badirikeni,mjue mtu wako weka pembeni mambo ya elim etc,km anaringia hyo elim na vingine tema tafuta mwingine
^^
christine ibrahim
Lakini ndo mitazamo mnayoijenga humu,,kiasi kuwa tunafikiri labda furaha yenu si ktk upendo bali kuwa na mwanaume mwenye elimu na pato kukuzidi ili ujivunie mbele ya shosti zako
^^
Last edited by a moderator: