Sikuamini,,kumbe bado wapo!!

Sikuamini,,kumbe bado wapo!!

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Ni jambo ambalo tayari nilishaliondolea tumaini,,kwamba kuna wanawake wasomi ambao hawana harakati ninazoziona MMU
..
Nilimtembelea rafiki angu ambae ni mhitimu wa kidato cha sita.Ana biashara ndogo ndogo tu,,lakini ni kukuta ameoa mwanamke anaepigiwa mfano na kila mtu,,ambae ni
.Mhitimu Chuo Kikuu,
.Hatangulizi pesa anaishi kadri ya uwezo,
.Mahitaji yake sawa na watu wengine,
.Anajua kupata na kukosa,
.Hamtoi kasoro mumewe,
Nilimdadisi kujua kama amepitia matatizo ktk maisha yake,akasema hapana Nikamuuliza alifikiria nini kumkubali ambae kwa kawaida binti mwenye elimu yake,umbo safi,anatongozwa kila kona,,asingekubali hilo.Jibu lake halikuwa refu,alisema "napenda kujenga maisha"
..
Imani yangu ilikuwa imepotea kuhusu mitazamo ya wanawake humu ndani,lakini kumbe nilikosea,wapo ambao wanajua maisha na wanatambua nini kinatakiwa ktk ndoa.
...
WALE WANAOTAFUTA WACHUMBA,wasikate tamaa Wanawake wapo ambao kweli wanahitaji ndoa bila vigezo na masharti ya kuvunja moyo.
^^
 
himidi unachosema ni kweli kabisa, wapo wenye nia na wenye mapenzi ya kweli ambao hawaangalii kipato cha mtu, na maisha yao bado ni ya amani na furaha sana. Binafsi namfahamu dada mmoja, ni mhasibu wa shirika fulani, boss mwenye Masters yake ya uhasibu na CPA, kaolewa na mlinzi, yaani mlinzi unayemjua wewe! Ndoa yao ina miaka 10 sasa na wako happy kabisa!

Ukisoma makala nyingi za humu, na ukiona jinsi ambavyo baadhi ya wadada wanavyoshadadia pesa, kama ni mwanaume usiye na kipato cha kueleweka unaweza kuogopa na kukata tamaa, na hata kama ukibahatika kuoa mwenye elimu na uwezo, basi maisha yako yanaweza kuwa ya hofu mno kutokana na mtazamo wa baadhi ya wadada kuhusa pesa.

Nawashauri akina kaka ambao wanajiona hawana uwezo wa kutosha, wasikate tamaa, wajaribu bahati zao kwa wale wanaowapenda wenye uwezo yumkini wanaweza kubahatika. Na hapa napenda kueleweka, si wanaume wasio nauwezo waoe wenye uwezo kama mtaji, hapana, ninamaanisha kama wana mapenzi ya kweli na pia wako tayari kupigana na maisha na siyo kulelewa. Na jambo moja muhimu hapa, ni kuwa mtu ukishazaliwa mwanaume, hatakiwi kukaa kaa bila mipango, lazima ajishughulishe na ajitume kwa bidii zote na kujiwekea malengo. Huyo jamaa niliyemtolea mfano hapo juu, hakujali wadhifa wa mkewe, na kwamba mkewe angeweza kumtunza bila matatizo, lakini aliamua kufanya japo kazi ya ulinzi ili ale jasho la mikono yake mwenyewe na si kulala lala ndani hovyo mtoto wa kiume huku unahudumiwa! Ni aibu na kashfa kubwa!
 
Last edited by a moderator:
wewe tu na namna utakavotengeneza aina ya mahusiano yako na mkeo!
harakati za MMU wakati mwingine mnaweza mkazilaumu bure tu!lakini kama umekaa kibwege ----- na na hela zangu akuchosha tuuu!
ila kama unajua kusimamia misimamo yako ya mwanaume hasa!ile mwanaume hasa kama alivokuwa babangu aaah mbona heshima mbele tu!nakupigia goti kila ukiingia ndani,akupikia,nakuogeshea watoto,nakuezi ile kike hasa!
sasa we unailetea habari za kulia lia na wehu wa kidot com dot com naachaje kukutupia macredentials yangu na kukukumbusha how much dough i make kila uchao!
mmezidi a nyie kulemaa lemaa!
KOMAENI !WACHENI MPANGO WA KULIA LIA KILA WAKATI!
PROVE THAT U R A MAN ENGOUGH KUNIOA hata kama unafunga viatu!
NTASUMBUA WATU OFISINI NIKIRUDI NYUMBANI HESHIMA!
 
Kumbe ilihitaji kuona kwa macho, au kupata first hand experience?
Mbona liko wazi tu hata kwa logic ya kawaida, kuna wanaume na wanawake ambao wana mapenzi ya dhati na sio chati. Changamoto ni kumpata tu, hata ukipitia majanga mfululizo wa5 haimaanishi kuwa hawapo, inabidi kujievaluate njia unayotumia kuwapata, wapi unawatafuta na vigezo utumiavyo.
 
snowhite, l hope watakuelewa vyema kwamba being a man he should haihitaji kuprove kwa ngumi au ubishi wenye lengo la kuprove kwamba yeye ni mwanaume.

Kuna rafiki yangu ilibidi aiache ndoa aliyoipenda na kuifanyia kazi kwa 6 years kwa kile mwanaume alichokuwa anafanya kuwaprovia wengine kuwa he is a man of the house, alikuwa anampiga mkewe hadharani kwa sababu zisizokuwa na mshiko kabisa.
 
Last edited by a moderator:
^^
Ni jambo ambalo tayari nilishaliondolea tumaini,,kwamba kuna wanawake wasomi ambao hawana harakati ninazoziona MMU
..
Nilimtembelea rafiki angu ambae ni mhitimu wa kidato cha sita.Ana biashara ndogo ndogo tu,,lakini ni kukuta ameoa mwanamke anaepigiwa mfano na kila mtu,,ambae ni
.Mhitimu Chuo Kikuu,
.Hatangulizi pesa anaishi kadri ya uwezo,
.Mahitaji yake sawa na watu wengine,
.Anajua kupata na kukosa,
.Hamtoi kasoro mumewe,
Nilimdadisi kujua kama amepitia matatizo ktk maisha yake,akasema hapana Nikamuuliza alifikiria nini kumkubali ambae kwa kawaida binti mwenye elimu yake,umbo safi,anatongozwa kila kona,,asingekubali hilo.Jibu lake halikuwa refu,alisema "napenda kujenga maisha"
..
Imani yangu ilikuwa imepotea kuhusu mitazamo ya wanawake humu ndani,lakini kumbe nilikosea,wapo ambao wanajua maisha na wanatambua nini kinatakiwa ktk ndoa.
...
WALE WANAOTAFUTA WACHUMBA,wasikate tamaa Wanawake wapo ambao kweli wanahitaji ndoa bila vigezo na masharti ya kuvunja moyo.
^^

Ulianzaje kumuuliza mke wa mwenzio maswali ya kizushi kama hayo? Siyo wanawake wote wana tabia za kishenzi za kupendwa maisha ya juu au kuonyesha vyeo, usomi kwa wenza wao.
 
snowhite, l hope watakuelewa vyema kwamba being a man he should haihitaji kuprove kwa ngumi au ubishi wenye lengo la kuprove kwamba yeye ni mwanaume.

Kuna rafiki yangu ilibidi aiache ndoa aliyoipenda na kuifanyia kazi kwa 6 years kwa kile mwanaume alichokuwa anafanya kuwaprovia wengine kuwa he is a man of the house, alikuwa anampiga mkewe hadharani kwa sababu zisizokuwa na mshiko kabisa.

si ndio hapo luv!
yani heshima huwa inakuwa earned
wasifikir watu kujishusha tu na kuwa wanawake na bra zao sio ishu ya masikhara!
lazziiiiima uniconvice!laziiiiima!
PIIIGA KAMPENI! HASA!
 
snowhite, l hope watakuelewa vyema kwamba being a man he should haihitaji kuprove kwa ngumi au ubishi wenye lengo la kuprove kwamba yeye ni mwanaume.

Kuna rafiki yangu ilibidi aiache ndoa aliyoipenda na kuifanyia kazi kwa 6 years kwa kile mwanaume alichokuwa anafanya kuwaprovia wengine kuwa he is a man of the house, alikuwa anampiga mkewe hadharani kwa sababu zisizokuwa na mshiko kabisa.
oh!! hell no.
kumbe bado kuna wanaume wanaoprove 'uanaume' by physical violence
 
Wapo na wanapatikana, ni uoga tu na kutokujiamini kwa wanaume walio wengi. Binfsi na mfahamu dada wa rafiki yangu ana masters na ameolewa na standard seven leaver but they are happy married with three daughters for ten years now. Tena hiyo masters kahitimu wakiwa tayari kwenye ndoa, mbona mume hakumzuia hata kusoma!!!!!
Kikubwa zaidi ni kumtanguliza Mungu katika yote
 
hivi mi huwa nawashangaa sana wakaka!
..binafsi naamini when it comes to lov kuna vitu wala ht haviingii, elim cjui nn huko!
Inategemea mmeamua kuyajenga vipi hayo mahusiano!
,..ckatai we a differ,...
..ss mwanaume anakuaproach,mko powa tu mapenz yanaanza vzr,ukimwambia tu nina masters,kosa anaanza kujishtukia,hajiamini,muoga!ooh,unajua ww umenizidi eli bla bla kibao,..ht mi nakupotezea coz hujiamini
..mtu anaweza kuwa ana elim ya kawaida lkn ana focus!na hili ndo la mhimu!anafikiria mikakati/mipango ya baadae
..badirikeni,mjue mtu wako weka pembeni mambo ya elim etc,km anaringia hyo elim na vingine tema tafuta mwingine
 
wewe tu na namna utakavotengeneza aina ya mahusiano yako na mkeo!
harakati za MMU wakati mwingine mnaweza mkazilaumu bure tu!lakini kama umekaa kibwege ----- na na hela zangu akuchosha tuuu!
ila kama unajua kusimamia misimamo yako ya mwanaume hasa!ile mwanaume hasa kama alivokuwa babangu aaah mbona heshima mbele tu!nakupigia goti kila ukiingia ndani,akupikia,nakuogeshea watoto,nakuezi ile kike hasa!
sasa we unailetea habari za kulia lia na wehu wa kidot com dot com naachaje kukutupia macredentials yangu na kukukumbusha how much dough i make kila uchao!
mmezidi a nyie kulemaa lemaa!
KOMAENI !WACHENI MPANGO WA KULIA LIA KILA WAKATI!
PROVE THAT U R A MAN ENGOUGH KUNIOA hata kama unafunga viatu!
NTASUMBUA WATU OFISINI NIKIRUDI NYUMBANI HESHIMA!

Ha haaa, nimeipenda hii
 
af kingine!KINGIIIIINE!
huwezi kuwa unaleta ubishoo kitandani na kufanya game za kijinga jinga na kisharobaro ukategemea nikasahau maakili yangu!
PIIIIGA KAZI!
nifanye nijue kuwa mimi ni mwanamke !
NTASAHAU TU KUWA kuna watu wananiita boss immediate nikifika nyumbani!
 
Ulianzaje kumuuliza mke wa mwenzio maswali ya kizushi kama hayo? Siyo wanawake wote wana tabia za kishenzi za kupendwa maisha ya juu au kuonyesha vyeo, usomi kwa wenza wao.

^^
Caroline Danzi
Nilitumia udadisi wa kawaida,maana lengo halikuwa baya isipokuwa kujua undani wa anavoheshimika na jamii inayomzunguka.
Kuna wakati najiuliza mabinti wanaotoka mf.vyuoni mara nyingi misimamo yao inafanana unaweza fikiri wamelelewa na mwalimu mmoja aitwae Pesa
^^
 
Last edited by a moderator:
Msemakweli hapendwi!
Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom