Siku zinavyosonga mbele Tanzania inazidi kuangamia

Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ya MIMMK ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake, wale wenzangu tuliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.
utamaduni wa Wajinga:

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui na kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa tatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite changamoto, na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite fursa. Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu, "watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike.
Kazi za serikali ni 2: kuendeleza watu na kuwalinda watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu. Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa.

Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

JE wewe uko kwenye group gani? La wajinga sana ama mwerevu sana?
 
Nilikuwa nasikia tu ili jina lako Leo Nimeona ata humu Jf umetupa data haujasema chanzo ni nini? Nawe jamaa ni attention seeker mzuri tu
 
Sijui kwanini haijipangi, kila siku ni afadhali ya jana!. Mfano wameisha mjua mgombea wa CCM mwaka 2020 ni JPM, wao kama wapinzani makini by now wangekuwa wameishafanya head hunting ya someone who has the ability to knock him down, saa hizi ingekuwa ni grooming time na kumjengea the capacity to knock him down.
Sioni hili likifanyika, as times goes, it might reach a time, muda uliobakia ukawa too little too late! .

Kama bado wanamtegemea yule "jamaa yangu", they will doing a terrible mistake. His time was 2015 and not 2020.

Paskali
Paskali Ukiniuliza nilikuwa against jamaa yako toka enzi zile na sitokaa nimkubali.Si kuwa proMagufuli wala Lowassa wote kwangu walikuwa hawataki.Kama CDM ingechagua MTU mwingine na Lowassa akatumika kupiga debe tu.

Tatizo hatukueleweka.Nilimjua Magufuli ni.MTU asiyependa kufuta Katiba hivyo kwa Magufuli kuwa rais kungeleta kizaazaa na Leo tunakiona cha moto. Sheria na Katiba kwake haina maana ni sawa na kumi zilizotiwa Maji zikidhaniwa zitawaka.Tupo hatupendi mbele Bali twarudi nyuma.Kilichoongezeka ni vitisho matamko na chuki hakuna cha maana.Tunapiga marktime
 
Kabla cjaliza kuusoma huu Uzi nilikuwa nimesha like......
Umegonga penyewe mkuu.Binafsi cjuagi watanzania wanataka nn ??/ngoma itakayopigwa wao ucheza.
Nakumbuka enzi za kikwete watu walitetea na kusapoti mabaya yote yaliyokuwa yakitokea ktk taifa hili. Sasahivi kunamtu anaimba eti nchi hii ilikuwa imeoza na tumechezewa vya kutosha .,watu wote wanamponda kikwete na kuungana na mtu anaesema nainyoosha nchi.najua atatoka na atapita,atakuja mwingine na kuanza kumponda yanayofanyika kipindi hiki.,kama kawa ya watz watamwona mzee wa hapa kazi hovyoo kama wanavyomwona mzee wa maisha bora kuwa ndo kasababisha nchi kupinda so inanyooshwa. Kipindi kile walisema ni chaguo la Mungu 2005 na huyu wa 2015 tunaambiwa ni chaguo la Mungu.
Tz Mungu anawaona.
 
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ya MIMMK ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake, wale wenzangu tuliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.
utamaduni wa Wajinga:

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui na kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa tatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite changamoto, na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite fursa. Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu, "watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike.
Kazi za serikali ni 2: kuendeleza watu na kuwalinda watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu. Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa.

Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...
Mkuu hongera kwa ujumbe mzuri na wenye kuelimisha jamii
 
Hahahahahaa daah nimesoma maoni na minyukano yenu hapa kamanda nimejizuia kucheka lakini imeshindikana hahahahaaa daaah

Badala ya kutoa references ya takwimu zako kama watu wanavyotaka,..wewe unakuja kujichekesha chekesha tu hapa ..ama kweli nimegundua kusoma maandiko yako ni kupoteza muda tu...uporoto mtupu unatuletea hapa
 
Kama huniamini mimi, utaamini usichokiona wala kukijua?
 
Hacha unafiki wewe bwana mdogo, umri mdogo unakuwa mnafiki, ukizeeka c utakuwa mchawi? Inamaana huoni kabisaa maendeleo yanavyokuja kwa kasi au umevaa miwani ya mbao na kujitoa akili?
Amezungumzia ujinga,kutokujua Mara pia ni uji..
 
HUU PIA NI UJINGA , KUTOA TAKWIMU BILA SOURCE ! TUONDOLEE PROPAGANDA ZA KIJINGA .!
Katika watu walifilisika kimawazo ni pamoja na huyu Yericko.Kama utafiti wako ni scientific&Quantitative ulipaswa kuweka data za kueleweka na sio kubandika % tu
Hoja za kijinga sana kuwahi kutolewa na mjinga tuliyemzowea!!
Daa inaangamia na wewe umebakia?kama hizi ndio akili za upinzani....ni bora CCM itawale tu karne nyingi zijazo...endelea kusubiri "uangamie" hakika msukule hufifishwa akili
Source ni yeye mwenyewe kama ujinga upo jf kiasi hichi mlivyo je huko nje mtaani ikoje nadhani takwimu zitakuwa 80% wapumbavu 19% Wajinga 0.5 Waelevu 0.5% Waelevu sana Tunaelekea 0
 
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ya MIMMK ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake, wale wenzangu tuliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.
utamaduni wa Wajinga:

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui na kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa tatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite changamoto, na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite fursa. Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu, "watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike.
Kazi za serikali ni 2: kuendeleza watu na kuwalinda watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu. Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa.

Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...
HIZI TAKWIMU NA WEWE UMEZITOA KWENYE UJINGA WA AKILI ZAKO?
 
Mkuu Nyenyere, msikilize huyu mtu aliwahi kusema nini...
Albert Einsten aliwahi sema:

"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results"

Na Mwalimu Nyerere aliwahi kusema
"Kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia makosa". Akaendelea kusema "Kila awamu ina mazuri yake na mengine ya kijinga, nashangaa sana watawala wetu wanayaacha mazuri na kukumbatia ya kijinga", hivyo hiyo ni proof kuhusu Ignorance yetu sisi Watanzania!.

And the issue is not about Chadema, bali ni kitendo cha licha ya madudu yote, lakini Watanzania wanaendelea kukichagua chama kile kile, watu wale wale na mambo yale yale.

Siku za nyuma we had no alternative, but now days we have a choice to choose from and not necessarily Chadema.

Paskali
Bwana Paskali,
Hakika katika mazingira yaliyopo ni bora kuendelea kuichagua CCM kwa sababu hata hao Wapinzani hawana jipya zaidi ya kusubiri Makapi ya CCM ndio wayasimamishe kugombea Urais. Sasa kwa nini tupigie nakala wakala ORIGINAL IPO?
 
Mkuu Gangongine, naunga mkono hoja.
Toka 2015 nilisema
Kuelekea 2015: Ni Mbio Za Magari Kati ya Mkweche na Mashine Mpya!

Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !.
Paskali
 
Back
Top Bottom