Siku zinavyosonga mbele Tanzania inazidi kuangamia

Siku zinavyosonga mbele Tanzania inazidi kuangamia

CCM ndio himetufikisha hapa hinapenda watu hambao hawajaelimika hasa vijijini sasa tuseme himetosha
Kwa maandishi yako inaonesha uko miongoni mwa wasioelimika kiasi cha kushindwa hata kuandika sentenso ya Kiswahili iliyonyooka!!
 
Agreed, lakini mkuu, we don't have that much options. Kwa bara usipoitaja CHADEMA utakitaja chama kipi tena!? Sasa angalia staratergies zake, they are not honest, why should we trust them? Kimegeuka chaka la opportunists, wale figures waliowajenga wamefanya kazi ya kuwabomoa! We need changes, but who should we entrust then?
Yes you have a point, kuna wengi walioichoka CCM lakini wanaendelea kuichagua na 2020 wataichagua tena CCM Kwa sababu we have no alternative.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Paskali
 
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ya MIMMK ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake, wale wenzangu tuliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.
utamaduni wa Wajinga:

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui na kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa tatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite changamoto, na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite fursa. Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu, "watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike.
Kazi za serikali ni 2: kuendeleza watu na kuwalinda watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu. Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa.

Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...
Nimesoma aya mbili za ufafanizi. Nimesita kuendelea kwasababu kimantiki naona haupo sawa kwani ukiandikacho sicho ulichokusudia.
Ujinga uliozungumzwa na kupimwa ni ule uwezo wa kutokujua kusoma na kuandika na si wepesi wa kudanganywa.
Wepesi wa kudanganywa si rahisi kuupima. Tumekuwa tukishuhudia wasomi wenye mashahada yao wakifanya mambo ya hivyo.
 
Ndio nilikuwepo. Na kujinyea sio tusi. Ni hali ya mtu kushindwa kuzuia mishipa ya makalio na kuachia kinyesi. Kama alivyofanya mheshimiwa sana pale stand.

Mheshimiwa mwingine yuko ndani watu wanalegeza misuli.
Ninavyojua angekuwepo usingeacha kutoa clip.Lakini sababu ni maneno ya kumakshifu MTU mzima sababu una chuki naye siyo heshima hata kidogo.Imegine ni baba yako anaambiwa hivyo ungejisikiaje
 
Ninavyojua angekuwepo usingeacha kutoa clip.Lakini sababu ni maneno ya kumakshifu MTU mzima sababu una chuki naye siyo heshima hata kidogo.Imegine ni baba yako anaambiwa hivyo ungejisikiaje
Baba mwenye heshma zake katulia nyumbani. Ukishaingia katika siasa wewe ni jalala. Maneno ya kejeli na kuvunjiana heshma ni kawaida. Ndio maana ikaitwa siasa.

Mnakaa mnasema magufuli ana ugonjwa wa moyo, hajui kiingereza na huku mnamwita sizonje imagine angekuwa baba yako anaambiwa hivyo ungejisikiaje? Huo ni mfano tuu.

So acheni kulialia kama watoto wadogo ukiwekewa bampa weka bampa iwe bampa tu bampa. Huyo mgombea wenu kanya kayaza pale stand bila aibu.

Huku mkewe mitaa fulani kwenye sherehe watu wakapima oil tigoni. Au na hiyo unataka clip?
 
T

Tatizo lako adabu zenu UVCCM ni ndogo.Na mnapenda kudhalilisha Upinzani. Maneno haya angeambiwa yule mnayemuabudu Mtukufu sana sidhani kama ungekuwepo humu.Kuumwa.ugonjwa wa moyo ni tusi??Akili zenu mnazijua wenyewe ika siku moja.utakuja kuelewa.kama Maharage ni futari au mboga.Ni.muda ndiyo.unaosema
 
T

Tatizo lako adhabu zenu UVCCM ni ndogo.Na mnapenda kudhalilisha Upinzani. Maneno haya angeambiwa yule mnayemuabudu Mtukufu sana sidhani kama ungekuwepo humu.Kuumwa.ugonjwa wa moyo ni tusi??Akili zenu mnazijua wenyewe ika siku moja.utakuja kuelewa.kama Maharage ni futari au mboga.Ni.muda ndiyo.unaosema
Tatizo mwana mama kukaa sana kwa Lema magereza kumekuathiri kichwani.

Nimekuuliza hapo juu. Imagine baba yako angekuwa ndio magufuli anaambiwa kuwa hajui kiingereza, anaitwa sizonje na maneno kibao ya kejeli ungejisikiaje?

Au ni sawa kumkejeli mtu yoyote asiye chamani kwako ila akiwa kwenye chama unachoshabikia basi ni kumvunjia heshma. Mkuki kwa nguruwe

Huyo jamaa ni Mubashara alikunya stand na mkewe watu wakapiga misumali kunako akiwa katika sherehe. Au unataka clip uone watu wakipima oil ya zege
 
Bavicha wanashida, kweli yaan kila ck hamuachi kulalamika, kwa hiyo nyie mko kipengele cha wajanja cio
 
Inatakiwa ijipangaje??
Sijui kwanini haijipangi, kila siku ni afadhali ya jana!. Mfano wameisha mjua mgombea wa CCM mwaka 2020 ni JPM, wao kama wapinzani makini by now wangekuwa wameishafanya head hunting ya someone who has the ability to knock him down, saa hizi ingekuwa ni grooming time na kumjengea the capacity to knock him down.
Sioni hili likifanyika, as times goes, it might reach a time, muda uliobakia ukawa too little too late! .

Kama bado wanamtegemea yule "jamaa yangu", they will doing a terrible mistake. His time was 2015 and not 2020.

Paskali
 
Sijui mkuu unazungumzia ujinga upi, maana suala la takwimu umefeli.
Afrika nzima nchi yenye raia ambao wengi sio wajinga kuliko nchi zote afrika ni ZIMBABWE.
Na hawahawa ndio ambao huendelea kukichagua chama tawala pamoja na uchovu wake.

Incompetence ya Chadema haiwezi kujificha kwa kuwaona walioichagua CCM ni wajinga.
Pili unachanganya mambo hadi unasahau na wewe unajichanganya,
Tuchukue lipi,
Watanzania ni wajinga kwa kuichagua CCM au Msimamo wa chadema kuwa mliibiwa ila watanzania waliwachagua?
Hueleweki unataka kutuaminisha kipi

kama na mawazo haya ni ya kijinga. Naomba niwe mkuu wao
 
Mbona umemalizia kwa kujihami,kua atakaepinga ulichoandika atakua ni mjinga,kutaka kusifiwa na kukubaliwa na watu wote kile usemacho siyo aina nyingine ya ujinga?any way.usiku mwema
 
Takwimu za kupikwa na akili zako za kutumika.

Unaandika ili wasomi na wasio wasomi watumie, si kufurahisha wanasiasa.
 
Mkuu Yericko, japo sikubaliani na takwimu zako, kwasababu hazija reflect the truth reality lakini hoja yako ni ya msingi sana.

Kipindi cha Nyerere, there was a time Tanzania ndio ilikuwa na the highest literacy levels in Africa kufuatia elimu bure, UPE, na kisomo cha watu wazima ile elimu ya ngumbaru.

Ila nakubaliana na hoja yako kuwa Tanzania taifa la watu wajinga wajinga na sisi wengine hili tuliisha lisema sana tukalaumiwa tunawatukana Watanzania kuwa ni ma ignorants.

Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.Tuache Cherry Picking Kutafuta Mbuzi Wa Kafara!.

Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji

Paskali
Mkuu wangu nakushukuru sana kwakuchagiza mada hii, kimsingi sijaweka vyanzo vya tafuti na sampuli za utafuti ili nijiridhishe na ujinga wa watu hawa kupitia maoni yao, nadhani mkuu unaiona hali ilivyo....
 
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ya MIMMK ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake, wale wenzangu tuliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.
utamaduni wa Wajinga:

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui na kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa tatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite changamoto, na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite fursa. Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu, "watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike.
Kazi za serikali ni 2: kuendeleza watu na kuwalinda watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu. Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa.

Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

Na mjinga mkubwa ni yule ambaye hata hajijui yeye ni nani, hata jina la ukoo wake halijui amebaki kuparamia majina ya ukoo wa wengine ili aonekane nae ni mtu. Roiko, no I mean Yeriko umenena!
 
Nakuahidi nimeamua nitachukua likizo ya ghafla Kwa ajili yako. Nitakutrack na kukutrace had nikupate and al fix you up. Nitakukabiz maumivu Makali sana Na beto za kutosha. Nitakuzaba makofi mfulululizo Kwa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki.

nisubiri nakuja nitatenga million 40 kwaajili yako heshima iwepo.

Amphibian wewe!
Hahahahahaa daah nimesoma maoni na minyukano yenu hapa kamanda nimejizuia kucheka lakini imeshindikana hahahahaaa daaah
 
Back
Top Bottom