Bado Kidogo 2015
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 207
- 78
Niliposoma heading nikajua Chadema wamemfukuza Shibuda kumbe maigizo tu...Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Shibuda hata siku moja Shibuda ni Kamanda sio diwani wa Arusha utamfukuza kwa barua.
Akishatimuliwa, usisite kuleta masaburi yako humu. Hiyo akili si yako peke yako, unatuonyesha picha ya kwenu mlivyo na uwezo kiasi gani wa kujenga hoja.CHADEMA haina uwezo wa kumfukuza Shibuda.Nakuuliza mleta mada, Mchagga anaweza kumfukuza anaemuingizia fedha? Maawee!
Shibuda hawezi akawa gamba, Shibuda ni ganda ndani ya chadema..Magama ni kama Lowasa, Chenge ndani ya CCM amabayo kuya vua ni yanaweza kupelekea kifo.......shibuda ni gamba kuu alivuliki ni kama lile la kobe ukilivua nae anakufa ngoja alejee kwenye dini yake ya mafisadi
Hopefully na yeye huenda ameshasoma alama za nyakati, unless awe na kiburi!
Wa mwache tu abwabwa je, muda ukifika ataondoka mwenyewe bila madhala yoyote....Sisimizi akitumbukia kwenye glass ya maziwa unamwaga maziwa au unamchomoa sisimizi na kuendelea kunywa maziwa? Shibuda ni sisimizi ndani ya CDM. MCHOMOENI AKIFIE HUKO.
CHADEMA haina uwezo wa kumfukuza Shibuda.
Nakuuliza mleta mada, Mchagga anaweza kumfukuza anaemuingizia fedha? Maawee!
Akifukuzwa,AMEONEWA!!
Akiachwa,AMEOGOPWA!!
watu wengine mnakera kweli.sasa umendika nini hapo!si uandike tu kiswahili?you will never tired of democracy tundu acha kuchemsha
Ushauri wangu kwa chadema wasimfukuze Shibuda ila,wasimpe cheo chochote alafu wasimjipishe wala
ujadili chochote atakacho sema,naendapo wataulizwa kusema chochote huhusu kauli zake jibu liwe rahisi tu
kuwa atujadili kauli za mtu bali mstakabali wa nchi yetu.fullstop!
you will never tired of democracy tundu acha kuchemsha