Siku za kupiga kura zisiwe IJUMAA, JUMAMOSI AU JUMAPILI

Shakaliti

Member
Feb 13, 2013
48
95
Kufanya siku hizi kuwa za kupiga kura inaleta inconvenience kwa waumini wanaosali siku husika.

Napendekeza kuwa iwe siku ya kawaida ya katikati ya juma ambayo itafanywa siku ya mapumziko ili watu wote wawe huru kwa ajili ya shughuli maalumu ya kuamua kuhusu hatima ya nchi yao. Iwe ni kura za maoni, uchaguzi mkuu au serikali za mitaa.

Nawasilisha.
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225

Shakaliti Siasa za NCHI yetu kwa sasa hivi hazina DINI... Na sio kila Mwananchi atakuwa Anaabudu Masaa yote hayo...?
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,216
2,000
Isiwe weekend , Iwe siku ya kazi ya kawaida ya serikali,ambayo itengwe maalum.
 
moondampwani

JF-Expert Member
Dec 4, 2014
517
250
UVIVU wa kazi tu hamna hoja, mbona ijumaa sio siku ya mapumziko ili waislam waabudu kwa uhuru badala yake imekuwa ndio siku ya mitihani na vikao hilo nalo vp...
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Hata majirani zetu wengi siku ya uchaguzi huwa siku ya wiki... sio weekend. Na hufanywa holiday ili kuipa uzito
 
MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,169
0
Kufanya siku hizi kuwa za kupiga kura inaleta inconvenience kwa waumini wanaosali siku husika.
Napendekeza kuwa iwe siku ya kawaida ya katikati ya juma ambayo itafanywa siku ya mapumziko ili watu wote wawe huru kwa ajili ya shughuli maalumu ya kuamua kuhusu hatima ya nchi yao. Iwe ni kura za maoni, uchaguzi mkuu au serikali za mitaa.
Nawasilisha.
ni siku za wakristo kwenda kusali kanisani. naunga hoja
 
Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,090
2,000
Naunga mkono hoja, ,
Jana nilisali kanisa fulanibtoka saaa sita hadi kumi jioni n.a.ondojka pale walikuwa bado,

Mchg alituuliza tufunge mapema kuna kupiga kura,,,
Watu wakaijbu endeleeeeaaa....
Akauliza
Mshapiga kura baadhi wakajibu endeleeea,
Kwa hiyo mtu hawezi

kuacha upako akapige kura, ni muhimu kura

zipigwe jumatatu
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
2,907
2,000
naunga mkono hoja kwa 100% siku ya kumchagua rais wa nchi ni muhimu kuliko sherehe ya sabasaba na nanenane.ni siku ya kuchagua viongozi wa nchi hivyo inapaswa watu wasiwe na shughuli yeyote zaidi ya kupiga kura.niliwahi weka uzi kama huu haukudumu hata kwa siku moja.Pia nilipendekeza uandikishaji wa wapiga kura usifanyike wanavyuo wakiwa vyuoni kwa sababu siku za uchaguzi mkuu vyuo hufungwa hupoteza haki yao ya kupiga kura hasa kwa wale wanafunzi wanaorudi makwao mikoani nyakati za likizo.
 
Shakaliti

Member
Feb 13, 2013
48
95
UVIVU wa kazi tu hamna hoja, mbona ijumaa sio siku ya mapumziko ili waislam waabudu kwa uhuru badala yake imekuwa ndio siku ya mitihani na vikao hilo nalo vp...
Wewe unachepuka! Mada hapa ni siku ta kupiga kura.
Kama unataka siku ya Ijumaaiwe free jenga hojaor anzisha uzi usaidiwe mawazo.
 
jorodan

Member
Nov 14, 2014
26
0
Simba yanga hazita fika mbari kwa ujinga hu tatizo liko kwa wachezaji wenye mapenzi na timu pinzani bira kujari wako kwenye ajira waki pewa kitu kidogo tu kama mnakumbuka kuna beki alikuwa yanga mafuta mechi ya simba na yanga razima ampigie m2 bira sababu anapewa kadi nyekundu antoka yanga hawakugunduwa hilo mpema kama ni mchezo wanafanyiwa walipogunde yanga waka mtimuwa akwafata simba wakamba ajira leo hii tena hiyo tabia iko kwa yondan mechi ya juzi anakwenda kupiga okwi bira sababu na kama lefa asingekuwa mwelewa dakika ya kumi yanga wangekuwa pugufu akasababisha kuwa towa wachezaji wenzake kwenye mchezo kama yanga asipo gunduwa hilo atafukuza makocha mpaka basi
 
Shakaliti

Member
Feb 13, 2013
48
95
Shakaliti Siasa za NCHI yetu kwa sasa hivi hazina DINI... Na sio kila Mwananchi atakuwa Anaabudu Masaa yote hayo...?

Issue inakuwa upo ktk foleni ya kupiga kura muda wa kwenda kuswali unafika, mchakato wa kwenda msikitini na kurudi tena siyo rahisi hivyo. Pia kuchomoka kwenda kanisani ni kurudi ktk foleni pia siyo rahisi. Hii ita/nasababisha kupoteza idadi kubwa ya wapigakura walokuwa na nia ya kushiriki tukio hilo muhimu. Uko hapo?
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
Issue inakuwa upo ktk foleni ya kupiga kura muda wa kwenda kuswali unafika, mchakato wa kwenda msikitini na kurudi tena siyo rahisi hivyo. Pia kuchomoka kwenda kanisani ni kurudi ktk foleni pia siyo rahisi. Hii ita/nasababisha kupoteza idadi kubwa ya wapigakura walokuwa na nia ya kushiriki tukio hilo muhimu. Uko hapo?
Shakaliti
Toka Miaka ya Uhuru Mpaka sasa Mpangilio ulikuwa huo huo na Wananchi walikuwa wanajitokeza kwa Asilimia %99; kwanini sasa hivi hivyo visingizio vya UDINI vichukue haki ya Demokrasia ???

Yaani Ungependa siku ya kufanya kazi ndiwe iwe siku ya kupiga kura???
 
99%!!!!!!!!!! Not true. Fuatilia takwimu zote unazozungumzia; idadi ya walojiandikisha vs idadi walopiga kura utagundua uongo wako.

Siku ya kufanya kazi maana yake ni nini?

Kupiga kura ni yenyewe ni KAZI, tena ya muhimu sana. Na hii inakuwa muhimu kama ujajua maana ya kura moja.
 
dovillenproperty

JF-Expert Member
Nov 24, 2014
1,956
2,000
Kikubwa ni viongoz wa dini kuahilisha Ibada xku za uchaguzi kwa masaa flan na kuwaruhusu waumini wao kwenda kupiga kula, ukisikia uongoz uliopo umewekwa na mungu ni kwa sababu watu wamepiga kula
Asa utaombeaje nchi yako wakti wew hupigi kula?
Na nchi ikivamiwa cku ya Ibada wanajeshi watasema leo hatufanyi kazi hatutalinda nch?

Uzalendo kwanza na ipende nchi yako hata kama kupiga kura ni uxku wa manane wew nenda
 
kahtaan

JF-Expert Member
Jul 11, 2009
17,627
2,000
ni mbinu za FaizaFoxy kahtaan MZIMU@kikwajuni one kuhakikisha wakristu hawapigii kura wenzao
Tunaanza kuyaona MAKUCHA YENU WAKRISTO.

Kumbe Nyie Nia yenu na MIPANGO YENU NI Kuwapigia Kura watu Kwa sababu WAO NI WAKRISTO TU!! Bila kujali Utendaji wao au Elimu zao Sio?

Tunaendelea Kuwasoma Pole pole.

Naionea Huruma Nchi yangu maskini.

Nyie ndio mtakayo igeuza nchi hii kuwa kama RWANDA.

Waislamu Mnaona WAKRISTO wanavyosema?

Sasa Akili kichwani mwenu Ifikapo 2015.
 
Last edited by a moderator:

Washabiki wa UDINI wanamawazo mgando sana!
Hii mada haitengi watu wa dini hii au ile,
INAHUSU MPIGAKURA KUWA HURU, HATA SIKU ZA KAZI IKIWA SIKU YA KUPIGA KURA IWE NI SIKU YA MAPUMZIKO ILI WAAJIRI WASIWABANE WAAJIRIWA ITAKAYOPELEKEA MTU KUKOSA FURSA ADHIMU.

HII ISSUE SIYO YA DINI FULANI GUYS! INAHUSU KUTOA FURSA SAWA KWA WOTE WENYE NIA YA KUPIGA KURA, IWE SIKU HURU.
 
Shakaliti

Member
Feb 13, 2013
48
95
Kikubwa ni viongoz wa dini kuahilisha Ibada xku za uchaguzi kwa masaa flan na kuwaruhusu waumini wao kwenda kupiga kula, ukisikia uongoz uliopo umewekwa na mungu ni kwa sababu watu wamepiga kula
Asa utaombeaje nchi yako wakti wew hupigi kula?
Na nchi ikivamiwa cku ya Ibada wanajeshi watasema leo hatufanyi kazi hatutalinda nch?

Uzalendo kwanza na ipende nchi yako hata kama kupiga kura ni uxku wa manane wew nenda
Kama ni uzalendo kwanza, wangapi wanaoweza kuacha kwenda kazini akagande kwenye foleni ya kupiga kura endapo ikiwa siku ya kazi. Then kesho yake akajieleze kwa bosi "nilikuwa napiga kura". Hautaeleweka!
Ifanywe siku ya kawaida na itangazwe kuwa mapumziko. Ndipo itakuwa haki kwa wote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom